Wiki 13 ya Ujauzito: Mwongozo wa ujauzito wiki baada ya wiki

Wiki 13 ya Ujauzito: Mwongozo wa ujauzito wiki baada ya wiki

During this week, find out which survival skill your baby will learn now and experience a sense of renewed energy. Exciting times are definitely ahead.

Hongera kwa kufikisha na kupita trimesta yako ya kwanza! Kwa sasa u katika kipindi chako cha kusherehekea cha mimba yako: trimesta ya pili na wiki 13 weeks pregnant wako!

13 weeks pregnant

13 weeks pregnant: Mtoto wako ni mkubwa kiasi gani?

Katika wiki 13, mtoto wako ni tunda kubwa la tufaha. Ana urefu wa sentimita 7.4 na uzito wa gramu 22.9.

13 weeks pregnant

Image courtesy: Wikimedia Commons

Ukuaji wa mtoto wako

Katika wiki hii ya mwongozo huu wa ujauzito wa wiki baada ya wiki, utagundua kwamba:

 • Kwa umbali huu, ukuaji wa kichwa cha mtoto wako kumepiku mwili wake. Ila, kwa sasa mwili wake unakua kwa kasi. Miguu yake inaendelea kurefuk. Ila, wiki hii, mikono yake itakua na kutoshana na mwili.
 • Kwa sasa, ana vidole vya kupendeza na macho na masikio ya kupendeza.
 • Huenda hata ukamwona akiweka mkono wake na mdomo wake na kuanza kunyonya unapo jaribu kumkagua kwa kutua mashine. Huenda hizi zikawa mara za kwanza ambapo mtoto wako anagundua uwezo wake wa mwendo. Uwezo muhimu atakao hitaji anapo zaliwa.
 • Viuongo vyake na mifumo muhimu ya mwili imekua na inafanya kazi ipasavyo.
 • Sehemu zake za kubebea manii ama ovari zimekua katika wiki 13 weeks pregnant.
 • Sehemu zake nyeti zinakua nje ya mwili wake, iwapo ni mapema bado kuwa na uhakika asilimia 100 kuhusu jinsia yake. Isipokuwa vipimo vya Harmony Prenatal test na Non-invasive Prenatal vinapo fanywa.
 • Mtoto wako mchanga kwa sasa anaweza kusikia unapo ongea kutoka nje. Kwa hivyo mnong’onezee maneno matamu na ya upendo!
 • Mpigo wake wa roho una sauti na kusikika vizuri.
 • Ukweli ya kupendeza katika mwongozo huu wa ujauzito wa wiki baada ya wiki ni: Iwapo unatarajia mtoto wa kike, ana karibu mayai milioni mbili kwenye ovari yake yatakayo punguka hadi nusu ya idadi hii anapo zaliwa. Katika umri wa miaka 17, idadi ya mayai itakua imepunguka hadi 700,000!

13 weeks pregnant

Dalili za Ujauzito
 • Kuna uwezekano kuwa unahisi vyema kuliko hapo awali. Kuto kuwa na starehe wakati wa ujauzito kama vile kuhisi uchofu ama kichefu chefu umepunguka kwa  sana katika wakati huu. (Huenda unahisi kuwa na nguvu zaidi. Bila fiche hizi ni habari njema zaidi katika wiki hii ya mwongozo wa ujauzito wa wiki baada ya wiki.)
 • Kutengeneza nafasi tosha ya mwanao anayekua, tumbo lako la mama litapanuka. Na kulazimisha viungo vingine vya ndani kupanda sehemu ya juu ili kupatia kiumbe kipya nafasi ya kuishi. Huenda ukashuhudia kutokuwa na starehe hasa kwenye sehemu chini ya mafua na huenda jambo hili likaongezeka kadri mimba yako inavyo kua.
Utunzaji wa Ujauzito
 • Pregnancy gingivitis huenda ikakuandama iwapo hutunzi meno yako vya kutosha.Iwapo umekuwa ukitapika, hakikisha kuwa unayasugua meno mara kwa mara.
Orodha muhimu ya Kuangazia
 • Kwa kawaida katika familia za ki-Asia, jiwekee siri hii hadi unapo fikisha trimesta yako ya pili. Huu ni wakati murua zaidi wa kugundua jinsi bora zaidi za kuifichua sura yako kwa jamii na familia yako.
 • Kumbusho muhimu ni kuwa katika wiki hii ya mwongozo wako: ratibisha kipimo cha OSCAR iwapo ungetaka kupima uwepo wa matatizo yote kwenye mtoto wako. Vipimo vinafanyika hadi wiki ya 14 pekee.

Wiki yako ijayo: 14 weeks pregnant

Wiki yako iliyopita: 12 weeks pregnant

Je, una maswali yoyote kuhusu mwongozo huu wa ujauzito wa wiki baada ya wiki? Mama, shaka zako ni zipi wakati huu? Tujulishe kwa kuwacha ujumbe mfupi hapa chini!

Republished with permission from theAsianparent

Written by

Risper Nyakio