Mwongozo wa Wiki Baada ya Wiki wa Ujauzito: Wiki 16 ya Ujauzito

Mwongozo wa Wiki Baada ya Wiki wa Ujauzito: Wiki 16 ya Ujauzito

Your baby now has defined eyebrows and eyelashes--can you believe it? As for you, mum, you'll be happy to know that you're most likely experiencing the much coveted "pregnancy glow".

Katika wiki ya 16 ya ujauzito, kwa rasmi sasa u-mjamzito wa miezi minne! Hongera kwa kutunza mja wa kupendeza anaye kua tumboni mwako, mama anayekaribia kuwa. Ni hatua gani muhimu unazo tarajia katika mtoto wako wiki hii ya 16 weeks pregnant? Jumuika nasi tuchambue!

16 weeks pregnant

16 Weeks Pregnant: Mtoto wako ni mkubwa kiasi gani?

Mtoto wako mdogo, katika mwanzo wa wiki hii ana urefu wa sentimita 11.2 na uzito wa gramu 80. Ili kukupa taswira ya kimo cha ukubwa wake, anatoshana tunda la parachichi! Jambo la kupendeza sio? Katika mwisho wa wiki hii, mwanao atakua ameongezeka na kufikia sentimita 11.4 na uzito wa gramu 97.

16 weeks pregnant

16 Weeks Pregnant: Ukuaji wa Mtoto Wako

Katika mwongozo huu wa wiki baada ya wiki, utagundua kwamba:

 • Mwanao anashughulika kuongeza nguvu ya misuli yake, hasa iliyo kwenye mgongo na uso wake.
 • Mtoto wako ana uwezo wa kukasirika ama kutabasamu kidogo.
 • Kope zake zina gundua wakati kuna mwangaza.
 • Nyusi zake na kope zimekua kabisa katika hatua hii.
 • Na mifupa midogo midogo imeanza kukua kwenye masikio ya mwanao, na uwezo wake wa kusikia unaanza kukua.

pregnancy week 16

Dalili za Ujauzito
 • Huenda ukaanza kuhisi mwanao akitembea– ila kwa umbali sana. Mwendo wake kwa sasa bado haujakomaa.
 • Mafua yako yanaanza kuhisi kana kwamba imejaa na huku kukuwacha bila pumzi wakati mwingine.
 • Tumbo lako la mama linaanza kusukuma matumbo yako na huenda ukahisi kana kwamba umevimbiwa tumbo.
 • Habari njema ni kuwa katika wiki hii ya mwongozo huu wa wiki baada ya wiki: kucha na nywele zako zitaanza kukua kwa kasi. Nywele yako itakaa na kuonekana kana kwamba inang'aa kuliko hapo mbeleni. Na kwa sasa una kule "kung'aa kwa ujauzito".
Utunzaji wa mimba
 • Na nguvu zaidi kwenye mgongo na misuli yako ya pelviki, huenda ukataka kufanya mazoezi ili kurejesha nguvu kwa sehemu hizi.
 • Hakikisha unaendelea kula lishe bora na usikubali kuvila vitamu tamu kufuati hamu ya kula ya ujauzito.
 • Huenda ukashuhudia ngozi iliyo kauka na kuhisi kujikuna, tumia mafuta bora kuepuka kujikuna huku.
Orodha muhimu ya kuangazia
 • Na mtoto wako kuanza kusikia, ni wakati wa kumhusisha mumeo katika kuongea na mtoto ili aanze kuijua sauti ya baba yake.
 • Ni wakati wa kujisajili na utunzi kabla ya kujifungua iwapo bado hujaanza. KK Women's na Children's Hospital ina endeleza programu ya wanawake wanao tarajia kuwa mama.
 • Huu pia ni wakati ambao "akili za ujauzito" unaingia, na kukufanya usahau mambo. Kukabiliana na jambo hili, andika orodha ya mambo unayopaswa kufanya!

Wiki yako ijayo: 17 weeks pregnant

Wiki yako iliyopita: 15 weeks pregnant

 Je, una maswali kuhusu mwongozo huu wa wiki baada ya wiki? Shaka zako kwa sasa ni zipi? Tujulishe kwa kuacha ujumbe mfupi!

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio