Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Wiki 22 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wa wiki baada ya wiki

2 min read
Wiki 22 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wa wiki baada ya wikiWiki 22 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wa wiki baada ya wiki

Mum, enjoy your pregnancy by arranging for a maternity shoot.

Fahamu iwapo mtoto wako amepata mfumo wa kulala na kuamka katika 22 weeks pregnant.

week 22

Mtoto wako ni mkubwa kiasi gani?

Katika 22 weeks pregnant, mtoto wako ni mkubwa kiasi cha papai. Ana sentimita 27.7 na uzito wa gramu 430.

pregnancy week 22

Image courtesy: Pixabay

Ukuaji wa mtoto wako

Katika mwongozo huu wa ujauzito wa wiki baada ya wiki, utagundua kwamba:

  • Kwa sasa, mtoto wako anakaa mtoto aliyezaliwa na nyusi na midomo iliyo kua.
  • Sehemu yake ya kumea meno inaanza kukua.
  • Viungo vyake vya mwili vinaendelea kukua, na kongosho yake inatoa homoni muhimu.
  • Iwapo unatarajia mtoto wa kike, katika 22 weeks pregnant, sehemu zake nyeti zimekua.
  • Kwa sasa, anapaswa kuwa na mfumo dhabiti wa kulala na kuamka.

pregnancy week 22

 Dalili za ujauzito
  • Mtoto wako anajaza nafasi ndani ya mwili wako kwa kasi sana. Matokeo ni anasukuma dhidi ya mafua yako, kwa hivyo kufanya kupumua kuwa vigumu kwako.
  • Kwa sasa, unaanza kupata miguso kwa tumbo lako kutoka kwa watu tofauti kwani watu wana msukumo kwa wanawake wajawazito. Kubalisha jambo hili, ila tu, unapo hisi ni sawa. Iwapo unahisi hauna starehe, kuwa huru kusema ‘hapana’.
  • Kitovu chako kinaonekana kwa nguo na kimetokea kwa sana kwani mtoto anayekua ndani yako anasukuma nje. Ila, usitie shaka kwani punde tu unapo jifungua, kitovu chako kitarudi hali yake ya kawaida.
Utunzaji wa ujauzito
  • Unapo safiri, chukua tahadhari, zinazo faa, hasa unapo safiri kwa kutumia ndege.
  • Kaa wima na utegemeze mgongo wako unao uma kwa kutumia mto.
  • Iwapo uvimbe ulio mikononi na kwenye miguu unafanya kuvalia pete kuhisi hakuna starehe, toa mapambo yote kwa wakati huu.
  • Valia viatu vyenye starehe vitakavyo egemeza miguu yako inayo endelea kukua.
Orodha muhimu ya kuangazia
  • Mtembelee mtaalum wa afya ya wanawake mara kwa mara ili afuatilie ukuaji wa mtoto wako.
  • Ifurahikie nywele yako yenye mng’ao wa ujauzito. Kwa wanawake wengi, homoni za ujauzito hufanya nywele kuwa nene na yenye kung’aa.
  • Usifanye kazi zaidi. Fikira nyingi ni hatari kwako na kwa mwanao unaye mtarajia!

Wiki yako ijayo: 23 weeks pregnant

Wiki yako iliyopita: 21 weeks pregnant

 Je, una maswali yoyote kuhusu mwongozo huu wa wiki baada ya wiki? Shaka zako ni zipi? Tujulishe kwa kutuachia ujumbe mfupi!

Makala haya yame chapishwa tena kwa idhini ya theAsianparent

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Wiki 22 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wa wiki baada ya wiki
Share:
  • Wiki ya 21 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wiki baada ya wiki

    Wiki ya 21 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wiki baada ya wiki

  • Wiki 24 Ya Ujauzito: Mwongozo Wa Wiki Baada Ya Wiki

    Wiki 24 Ya Ujauzito: Mwongozo Wa Wiki Baada Ya Wiki

  • Wiki 23 ya Ujauzito: Mwongozo wako ujauzito wa wiki baada ya wiki

    Wiki 23 ya Ujauzito: Mwongozo wako ujauzito wa wiki baada ya wiki

  • Wiki 25 ya Ujauzito: Mwongozo Wako Wa Wiki Baada Ya Wiki

    Wiki 25 ya Ujauzito: Mwongozo Wako Wa Wiki Baada Ya Wiki

  • Wiki ya 21 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wiki baada ya wiki

    Wiki ya 21 ya Ujauzito: Mwongozo wako wa ujauzito wiki baada ya wiki

  • Wiki 24 Ya Ujauzito: Mwongozo Wa Wiki Baada Ya Wiki

    Wiki 24 Ya Ujauzito: Mwongozo Wa Wiki Baada Ya Wiki

  • Wiki 23 ya Ujauzito: Mwongozo wako ujauzito wa wiki baada ya wiki

    Wiki 23 ya Ujauzito: Mwongozo wako ujauzito wa wiki baada ya wiki

  • Wiki 25 ya Ujauzito: Mwongozo Wako Wa Wiki Baada Ya Wiki

    Wiki 25 ya Ujauzito: Mwongozo Wako Wa Wiki Baada Ya Wiki

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it