Ukuaji na Hatua muhimu: Mtoto wako wa Miaka 5 na miezi 8

Ukuaji na Hatua muhimu: Mtoto wako wa Miaka 5 na miezi 8

What is your child up to this month? Take a peek into this development and find out if your kiddo is on track.

Kutoka kwa mtoto mchanga hadi kwa 5 years 8 months child, mtoto wako mdogo anaendelea kukushangaza na vipawa vyake kila siku.

Katika makala haya, tuna angazia hatua muhimu za kawaida ambazo 5 years 8 months child anapaswa kuwa akitimiza. Ila, tafadhali kumbuka kuwa kila mtoto ni wa kipekee na atafikisha hatua hizi muhimu katika mwenendo wake.

5 Years 8 Months Child Ukuaji na Hatua muhimu: Mtoto wako anakua ipasavyo?

5 years 8 months child

Ukuaji wa Kifizikia

5 years 8 months child anaweza kujivalisha na kujivua nguo peke yake. Hata kufunga kamba za viatu na ni ishara ya jinsi uwezo wake wa mwendo umeimarika. Mtoto wako kwa sasa ana kilo 20! Unalifurahikia jambo hili? Kwa kumlisha kwako kumeanza kuwa na mazao?

Katika umri huu, urefu wake unakaribia:

Katika hatua hii, urefu na uzito wa mtoto wako* unapaswa kuwa ifuatavyo:

 • Wavulana
  – Urefu: 113.5 cm (44.7 inchi)
  – Uzito: 20 kg (44lb)
 • Wasichana
  – Urefu: 112. 7 cm (44.4 inchi)
  – Uzito: 19.6 kg (43.1lb)

Kabla ya muda mrefu kupita, atakuwa mrefu kama wewe! Ila, bado kwa sasa.

Michezo ya kifizikia ni muhimu sana. Hakikisha kuwa unamhimiza mtoto wako kucheza nje, badala ya kukaa mahali pamoja akikitumia kifaa cha sitima.

Iwapo mtoto wako anaonyesha hamu ya kucheza michezo iliyo imarika kama mpira, ni wakati wa kumwanzisha kwa michezo hii. Michezo haimsaidii kukua kifizikia tu ila, pia kunamsaidia kukuza uwezo wake wa kuongoza na mambo mengine chanya kwenye mtoto wako.

Vidokezo

 • Msaidie mtoto wako kukuza vipawa vyake vya mwendo kwa kumhusisha katika shughuli za kifizikia nje ya nyumba. Jaribu michezo ya kusisimua kama vile kusawasisha ndimu kwa kijiko. Pia ni wakati mwafaka wa kuingiliana.
 • Himiza vipawa vyake vya mwendo kwa kumfanya aandike. Kuweka kijitabu cha kukumbuka ni njia mwafaka ya kufanya hizi. Kutakuza uwezo wake wa kuhesabu.

Wakati wa kumwona daktari

 • Iwapo mtoto wako anashindwa kukimbia bila kutegwa.
 • Kama mtoto wako anashindwa kusimama kwa mguu mmoja ama kurusha mpira chini ya mkono wake.
 • Mtoto wako anatatizika kushika penseli ama kalamu vyema.

Ukuaji wa kiakili

Kwa sasa, mtoto wako huenda anaweza kusoma na kuandika vyema na kuhesabu hadi 50 na zaidi. Maswali yata zidi kwani akili zake zinaendelea kukua.

Kuza upendo wa mtoto wako wa kusoma na hesabu. Kwani huu ni msingi wa kuhesabu na kuandika ambazo ni muhimu kwa ukuaji wake wa kiakili. Kwa sasa, mtoto wako anaelewa maana ya jana, leo na kesho. Pia katika umri huu, anaelewa tofauti kati ya yaliyo pita, yanayo tendeka na yajayo.

Vidokezo

 • Mtafutie mwanao vidoli vya STEAM (Science, Tech, Engineering, Arts, Maths) vya kucheza navyo kuhimiza ukuaji wake wa kiakili. Baadhi ya hizi ni puzzles, blocks na shughuli za art-na-craft.
 • Cheza michezo ya kusisimua na umhimize kufikiria. Kwa mfano mchezo wa kutafuta kitu.
 • Husisha masomo kwenye shughuli zenu za kila siku kuufanya wa kupendeza zaidi. Kwa mfano, kutembea ni njia bora ya kumfunza mtoto wako sayansi. Nunua pizza na uhesabu robo zilizoko. Kuna mfunza hesabu. Tembea kwenye mbuga na umpe historia ya maisha.

Wakati wa kuongea na daktari

 • Iwapo mtoto wako anashindwa kuhesabu angalau hadi 20.
 • Mtoto wako hawezi soma sentensi rahisi ya maneno matatu ama manne, kwa mfano, paka yule ni mkubwa.
 • Mtoto wako anaonyesha hamu ya kusoma na ya dunia inayo mzingira.

5 years 8 months child

Ukuaji wa Hisia na Muingiliano

5 years 8 months child amekua uwezo wake wa kuingialiana na hisia. Anacheza vyema na wana rika wake na huenda mara kwa mara aka penda kucheza peke yake. Na kukasirika ovyo kumepungua kabisa.

Mtoto wako mdogo huenda akalia kwa sana anapo kasirishwa. Jambo hili ni la kawaida na ni baadhi ya kukua kwa hisia zake katika umri huu. Mfariji mtoto wako jambo hili linapo fanyika na umhimize kujieleza anapo kasirika.

Siku ambazo mwanao hakutaka kuvigawa vitu vyake vimeisha. Utagundua kuwa anagawa vidoli vyake na watoto wengine na marafiki wake wakicheza. Huenda pia akataka kuwa kati ya mazungumzo ya watu wakubwa. Ni jambo njema kwa ukuaji wake wa muingiliano.

Vidokezo

 • Fanya unacho hubiri. Ukimwuliza mwanao asidanganyane, hakikisha kuwa kudanganyi mbele ya mwano, itasaidia mtoto wako kupata ujumbe unao mwambia.
 • Usipuuze hisia za mwanao. Zichukulie vyema na ujaribu kujua kinacho mkasirihsa. Usisahau kuwa hasa na hisia zako: " Unahisi vibaya kwa sababu nyanyako alienda nyumbani?"
 • Acha ubaguzi ikifika ni wakati wa jinsia na hisia, kwa mfano, "wavulana hawalii." Wavulana hulia na jambo hili ni sawa.
 • Wakati kumfunza mwanao adabu ni sawa, usimlazimishe kuwa kumbatia watu (anao wajua ama asio wajua) iwapo hilo silo atakalo.
 • Elewa kuwa baadhi ya wakati, mtoto wako huenda akakosa kujisikia kucheza na wengine. Hili ni sawa na umpe mtoto wako wakati anao utaka.

Wakati wa kumwona daktari

 • Unapo ona tabia za mwanao zimebadilika mbio sana. Kwa mfano, iwapo ameanza kuogopa kwenda shuleni, ama nyumba fulani ama siku za kucheza na marafiki wake.
 • Iwapo mtoto wako anaonyesha tabia za kikatili.
 • Mtoto wako hataki kucheza na watoto wengine hata.

Ukuaji wa Mazungumzo na Lugha

5 years 8 months child huenda akakushangaza na mazungumzo yake kana kwamba ya mtu mzima. Watoto wa umri huu huongea kwa ufasaha na wakati mwingine sentensi zisizo kamili ila ngumu kidogo. Usijali matamshi mabaya ya ki lugha ya mara kwa mara kwenye mazungumzo yak. Haya yatarekebishwa kadri muda unavyopita.

Kwa sasa, mtoto wako anaelewa unacho sema hata maagizo vizuri. Huenda ukagundua kuwa mtoto wako anapenda kuwa amrisha marafiki wake wachanga kumliko ama ndugu zake, kwa kutumia matamshi yake yanayo endelea kukua.

Vidokezo

 • Mhimize mtoto wako kuongea mbele ya kioo. Jambo hili litamsaidia kujiona anapo ongea na ishara zinazo husika na maneno kadhaa ama mawazo.
 • Mtoto wako anaiga tabia zako hata mazungumzo yako. Kumbuka kutumia majina kama "tafadhali" na "asanti" na ujaribu kuidhibiti sauti yako unapo kasirika.
 • Endelea kumhimiza mtoto wako kupenda vitabu kwa kumnunulia vitabu vinavyo faa vya umri wake. Mnunulie kamusi ya watoto na kisha umfunze kuitumia.

Wakati wa kumwona daktari

 • Iwapo mtoto wako ana kigugumizi
 • Mtoto wako anashindwa kutamka sentensi moja rahisi

 

nutrition for 5years 8 month old

Afya na Lishe

Japo mtoto wako anavyo zidi kukua kwa kasi, ni muhimu kwako kumpa lishe bora ili akue ipasavyo. Mara kwa mara, pizza ama ice-cream si mbaya. Utagundua kuwa ataacha kuvililia vyakula fulani na kuanza kuvipenda vingine.

Kwa ujumla, kalori zinazo hitajika kwa wavulana na wasichana katika umri hii ni ipasavyo:

 • Wavulana: 1,724 Kcal/kwa siku
 • Wasichana: 1,614 Kcal/kwa siku

Mtoto wako anapaswa kunywa maji ya kutosha ili awe na maji tosha mwilini. Kiwango kinacho shauriwa ni 1500ml kwa siku. Pia anapaswa kula angalau mara tatu kwa siku. Tuna angazia mahitaji ya lishe ya mtoto wako wa 5 years 8 months child.

Jamii ya maziwa

Vyakula vya maziwa kama vile yogurt na maziwa ina virutubisho muhimu vya 5 years 8 months child. Mtoto wako atahitaji vikombe vitatu vya maziwa ama yoghurt kila siku kwenye lishe yake. Kwa ujumla, mtoto anahitaji vikombe 2.5 vya maziwa ama yoghurt kwenye lishe yake.

Iwapo mtoto wako hapendi maziwa, tafuta njia bunifu za kuhusisha vitu hivi kwenye vyakula vyake kama mboga na smoothies.

Jamii ya protini

Kwa watoto katika hatua hii, CDC ina shauri gramu 32.4 za protini kila siku. Vipande viwili ama vitatu vya nyama, yai moja na kikombe kidogo cha legumes. Iwapo mtoto wako anapenda kuchagua chakula, usiwe na shaka. Karibu watoto wote wanapenda mayai, matunda, kuku na yogurt.

Jamii ya matunda na mboga

Matunda na mboga humpatia mtoto wako nafasi ya kuwa mbunifu. Watoto kwa ujumla wanahitaji vikombe vitatu vya matunda na vikombe viwili vya mboga kila siku. Kwa hivyo, ni vyema zaidi ukimwanzishia mtoto wako kama mapocho pocho kisha kuyachanganya kwenye chakula mara nyingi uwezavyo. Hiyo ni ndizi moja, tofaha moja, na bakuli ya matunda yaliyo changanywa. Changanya matunda na pancakes pia.

5 years and 8 months child pia anahitaji ounsi zisizo pungua 4 za nafaka na njugu kila siku. Hii inajumuisha wali angalau mara moja kwa siku na mkate angalau kipande kimoja.

Kwa ufupi, haya ni baadhi ya mahitaji ya mtoto wako ya kila siku (tazama viwango tulivyo angazia hapo juu)

 • Mboga: vikombe viwili kwa wavulana; na vikombe viwili kwa wasichana
 • Matunda: Vikombe vitatu kwa wavulana; vikombe vitatu kwa wasichana
 • Nafaka: ounsi nne kwa wavulana; ounsi nne kwa wasichana
 • Protini: gramu 32.4 kwa wavulana; gramu 32.4 kwa wasichana
 • Maziwa: 17-20 ounsi kwa wavulana; 17-20 ounsi kwa wasichana
 • Maji: 1500 ml kwa wavulana; 1500 ml kwa wasichana (karibu vikombe sita)

Vidokezo

Endelea kumtunza mwanao hasa afya yake ya meno. Tafadhali ratibisha kumtembelea daktari wa meno iwapo bado hujafanya hivi hapo mbeleni.

 • Mfunze mtoto wako kuhusu ajali kwani atakuwa huenda akapatana nazo anapo cheza. Hakikisha kuwa anaelewa hatari ya kutembea barabarani bila kuwa makini, kuchomeka na moto ama sitima na kadhalika.
 • Mhusishe mwanao katika kutayarisha vyakula rahisi kwa uangalifu. Kutamsaidia kukuza uwezo muhimu sana maishani na kumhimiza kujua umuhimu wa lishe bora.
 • Mwanzishe mtoto wako kwa matunda aina tofauti, mboga, nafaka na nyama ili ale lishe bora.
 • Ni vyema kumpatia mtoto wako maji ya sharubati na peremende iwapo hazina umuhimu wowote wa kiafya.

Chanjo na magonjwa ya kawaida

Katika umri huu, nyingi baadhi ya chanjo za mtoto wako zitakuwa zimekamilika. Kuna chache ambazo hupeanwa kila mwaka, kama vile za flu shot. Wasiliana na daktari wako kupata habari zaidi kuhusu chanjo hizi.

Japo mtoto wako anavyo zidi kuwa shuleni wakati mwingi, huenda akapata ama akakosa kupata homa na mafua. Kwa hivyo, kuwa mwangalifu kwa upele, ama kuumwa na mwili. Himiza mtoto wako kukwambia anapo hisi kusumbuka mwilini na umepeleke hospitalini iwapo hauna uhakika na chanzo.

Kwa maradhi, tarajia homa ama mafua kwani mtoto wako anakumbana na vitu vingi na wadudu anapokuwa shuleni na anajenga kinga yake.

5 years 8 months child

Kutibu magonjwa ya kawaida

Kukabiliana na matatizo ya kimatibabu yaliyo kawaida sana kwa watoto - joto jingi, kukohoa na homa -  jaribu mambo yafuatayo:

 • Kutibu joto jingi: Wakati ambapo joto jingi ni ugonjwa wa kawaida, unaweza tibiwa nyumbani na matibabu ya kawaida ya nyumbani. Iwapo mtoto wako ana joto ya hadi 38°C (100.4°F), mpe maji kwa wingi na umhimize kupumzika. Pia, unaweza mpaka maji ya vuguvugu kwenye uso, makwapa na sehemu nyeti zake kwa kutumia kijitambaa kisafi ili kupunguza joto yake. Hakikisha amevalishwa nguo nyepesi. Iwapo joto yake inapanda zaidi ya 38°C (100.4°F) mpeleke hospitalini na ufuate ushauri wa daktari.
 • Kutibu kikohozi: Iwapo kukohoa ni njia ya mwili kuosha koo, huenda ikasumbua iwapo inaandamana na homa na kupiga chafya. Kwa kawaida, tumia matibabu ya kinyumbani kama vile tangawizi na asali kisha uchanganye na maji ya vuguvugu. Kukunywa maji kwa wiki angalau glasi nane za maji kwa siku. Iwapo mtoto wako anaendelea kukohoa baada ya siku tatu ama tano, mpeleke hospitalini atibiwe.
 • Kutibu homa: Isipokuwa ikikuliwaza zaidi, epuka kuchukua madawa za kununua kutibu homa. Homa husababishwa na viini na madawa hayatasaidia. Iwapo mtoto wako pia anahisi kuumwa na mwili na joto jingi, huenda akawa na influenza. Unapaswa kumpeleka hospitalini atibiwe.

Ni vyema kufahamu kuwa iwapo baadhi ya matibabu ya magonjwa ya kawaida huenda yaka nunuliwa bila ushauri wa daktari, chaguo lako la kwanza linapaswa kuwa matibabu ya kinyumbani.

Kwa mfano, kama mtoto wako ana homa ama kikohozi anapaswa kupewa maji moto kiasi. Pia anapaswa kunywa maji moto yenye chumvi kisha ayateme kabla ya kumeza iwapo anaumwa na koo. Nasal saline ni nzuri ya kusafisha mapua.

Ni muhimu kumfunza na kumhimiza mtoto wako kuangazia hali ya juu ya usafi. Hasa kunawa mikono ili kuepuka kuugua magonjwa ya kawaida.

Wakati wa kumwona daktari

Iwapo mtoto wako:

 • Ana joto jingi zaidi ya 39 degrees Celsius.
 • Ana vidonda, kufura na upole usio wa kawaida.
 • Hulia kuumwa na kichwa mara nyingi
 • Amekuwa akitapika ama kuharisha zaidi ya siku mbili mtawalia

Vyanzo: WebMD

MayoClinic

Mwezi uliopita: 5 years 7 months

Mwezi ujao: 5 years 9 months

Republished with permission of theAsianparent

Written by

Risper Nyakio