Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Aina 7 Ya Vyakula Muhimu Katika Kuongeza Uzito Kwa Watoto

4 min read
Aina 7 Ya Vyakula Muhimu Katika Kuongeza Uzito Kwa WatotoAina 7 Ya Vyakula Muhimu Katika Kuongeza Uzito Kwa Watoto

Wakati mwingi, kumsaidia mtoto wako kuongeza uzito ni jambo la kuongeza kalori kwenye lishe yake na kuwa makini na lishe yake.

Kiasili, watoto huongeza uzito wanapo zidi kukua. Baadhi ya wakati, huenda watoto wakawa wembamba kiasili. Hata kama uzito na jinsi mtoto anavyo onekana sio ishara nzuri za kuonyesha maendeleo ya mtoto, watoto pia wana mahitaji hasa ya uzito. Kulingana ana masharti ya BMI ya ulimwengu. Vyakula muhimu katika kuongeza uzito kwa watoto vimejazwa na virutubisho.

Ikiwa wewe ni mzazi na una mtoto aliye na uzito wa chini, bila shaka una hamu ya kumlisha mtoto wako lishe iliyo na kalori nyingi kuboresha uzito wake. Lakini kula chakula chenye afya ni muhimu zaidi. Unacho hitajika kufanya ni kuhakikisha kuwa mtoto wako anapata virutubisho kutoka kwa lishe yake. Virutubisho ni muhimu zaidi kuliko kalori.

Lishe iliyo na wingi wa virutubisho itamsaidia mtoto wako kuongeza uzito. Na si hayo tu, mbali atapata vitamini, madini, na protini zinazo hitajika kuhimiza ukuaji wake. Kuwa na uzito mwingi huenda kukaanza matatizo ya uzito wa mwili. Na kusababisha magonjwa mengi ya mtindo wa maisha katika umri mchanga. Ufuta ni muhimu kwenye lishe ya mtoto, lakini aina inayo faa ya ufuta inayo saidia katika ukuaji wa ubongo na homoni zake. Baadhi ya vyakula bora zaidi katika kuongeza uzito kwa watoto ni kama:

Tazama vyakula hivi vyenye ladha

  • Vyakula vyenye protini nyingi

Aina 7 Ya Vyakula Muhimu Katika Kuongeza Uzito Kwa Watoto

Protini zinamsaidia mtoto kukua. Pia zinasaidia misuli yake kukua ipasavyo. Samaki ni chanzo kizuri cha protini kwa sababu ina Omega-3. Ina saidia katika kila upande wa ukuaji na maendeleo ya mtoto. Maharagwe na mimea ingine kutoka familia hii ina saidia na vitamini na madini. Mayai ni vyanzo vizuri vya protini. Jaribu kumlisha mwanao yai baada ya kila siku ikiwezekana.

  • Vyakula vyenye maziwa

Aina 7 Ya Vyakula Muhimu Katika Kuongeza Uzito Kwa Watoto

Vyakula kama maziwa na cheese zina kalisi ambayo ni muhimu katika ukuaji wa mifupa yenye nguvu. Pia, watoto wengi wanapenda vyakula hivi. Maziwa hasa ni nzuri kwa watoto walio na uzito wa chini kwa sababu yana ufuta na kalisi nyingi. Ufuta ulio kwenye maziwa utawasaidia na uzito wao.

  • Matunda yenye nishati

Aina 7 Ya Vyakula Muhimu Katika Kuongeza Uzito Kwa Watoto

Matunda kama vile mandizi na parachichi yana nishati nyingi na pia kalori. Na sio hayo tu, ni mazuri ya kumpongeza mtoto. Watoto wengi wanafurahia kula matunda kwa sababu yana ladha na ni tamu. Itakuwa rahisi kwako kumhimiza mtoto wako kula matunda. Ikiwa ana kataa, siagwa iwe smoothie kisha ume. Unaweza changanya matunda tofauti.

  • Oats

Aina 7 Ya Vyakula Muhimu Katika Kuongeza Uzito Kwa Watoto

Oats zina fiber, madini na vitamini nyingi. Ukiongeza oats kwa maziwa na matunda, haijalishi ikiwa yame kauka ama freshi, utakuwa umetengeneza lishe yenye virutubisho vingi kwa mtoto wako. Oats zina magnesium, thiamine, phosphorous na manganese nyingi. Pia zina kolesteroli na ufuta usio tumika mdogo. Na mtoto mchanga, yote unayo hitajika kufanya ni kusiaga oats ziwe laini zaidi.

  • Wanga yenye virutubisho

Aina 7 Ya Vyakula Muhimu Katika Kuongeza Uzito Kwa Watoto

Wanga iliyo chakatwa kama vile mchele mweupe husababisha ongezeko la viwango vya sukari. Kwa hivyo badala ya kujaza sahani ya mtoto wako na mchele, endea hiari zenye virutubisho zaidi. Nafaka nzima zina fiber nyingi na manufaa mengi ya kiafya lakini ni vigumu kwa watoto wachanga kuchakata. Na huenda wakahisi kushiba kwa kasi. Endea viazi, malenge na mboga zingine za mizizi.

  • Maziwa ya bururu

home remedies for bad breath

Kwa sababu maziwa ya bururu ni rahisi kula na ni nzuri kwa afya yako, ni bora kwa watoto wachanga. Walakini, kaa mbali na hiari zenye sukari zilizo na sukari ya kuongeza na uchague maziwa ya bururu yaliyo wazi.

  • Njugu na mbegu

ogbono seeds

Ikiwa mtoto wako anapenda vitamu tamu vya kutafuna, nafasi kubwa ni kuwa wata furahia peanuts, almonds na njugu zingine. Hakikisha kuwa unamlisha vyakula visivyo na ufuta ulio mgumu kutumika mwilini. Ufuta huu husaidia na kolesteroli. Ikiwa mtoto wako ni mchanga, hakikisha kuwa una siaga njugu na kutengeneza smoothie.

Wakati mwingi, kumsaidia mtoto wako kuongeza uzito ni jambo la kuongeza kalori kwenye lishe yake na kuwa makini na lishe yake. Ni muhimu kukumbuka kuwa, hii haimaanishi kuwa mtoto wako anakosa virutubisho tosha ama hana afya. Wazazi wengi huongeza lishe ya watoto wao sukari na vyakula vya kukaangwa kuwasaidia watoto wao kuongeza uzito. Kufanya hivi kuta haribu hamu yao ya kula vyakula vyenye ladha na vilivyo jazwa na virutubisho.

Chanzo: Klay schools

Soma Pia:Sababu Kwa Nini Unahitaji Utaratibu Wa Kulala Yako Na Watoto Wako

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Health
  • /
  • Aina 7 Ya Vyakula Muhimu Katika Kuongeza Uzito Kwa Watoto
Share:
  • Vyakula Vyenye Virutubisho Vya Kusaidia Watoto Kuongeza Uzito

    Vyakula Vyenye Virutubisho Vya Kusaidia Watoto Kuongeza Uzito

  • Vyakula 8 Vitakavyo Msaidia Mtoto Wako Kuongeza Uzito Wa Mwili

    Vyakula 8 Vitakavyo Msaidia Mtoto Wako Kuongeza Uzito Wa Mwili

  • Wanandoa Wenye Furaha Huongeza Uzito Pamoja Kulingana Na Sayansi

    Wanandoa Wenye Furaha Huongeza Uzito Pamoja Kulingana Na Sayansi

  • Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Unaongeza Uzito Hata Baada Ya kufanya Mazoezi

    Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Unaongeza Uzito Hata Baada Ya kufanya Mazoezi

  • Vyakula Vyenye Virutubisho Vya Kusaidia Watoto Kuongeza Uzito

    Vyakula Vyenye Virutubisho Vya Kusaidia Watoto Kuongeza Uzito

  • Vyakula 8 Vitakavyo Msaidia Mtoto Wako Kuongeza Uzito Wa Mwili

    Vyakula 8 Vitakavyo Msaidia Mtoto Wako Kuongeza Uzito Wa Mwili

  • Wanandoa Wenye Furaha Huongeza Uzito Pamoja Kulingana Na Sayansi

    Wanandoa Wenye Furaha Huongeza Uzito Pamoja Kulingana Na Sayansi

  • Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Unaongeza Uzito Hata Baada Ya kufanya Mazoezi

    Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Unaongeza Uzito Hata Baada Ya kufanya Mazoezi

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it