COVID-19: Mtoto Aliye Tumboni Huenda Asiathiriwe Na Virusi Vya Corona

COVID-19: Mtoto Aliye Tumboni Huenda Asiathiriwe Na Virusi Vya Corona

Virusi hivi havipatikani kwenye amniotic fluid, maziwa ya mama ama kwenye damu.

Huku janga la COVID-19 likiendelea kuathiri nchi nyingi duniani kote, hofu ya jinsi ugonjwa huu uwaathiri watu binafsi na wapendwa wao inaendelea kutanda. Masomo yame thibitisha kuwa watu walio na mfumo wa kinga ulio athirika ama ulio chini kama vile wazee, walio na maradhi sugu wako katika hatari ya kuambukizwa maradhi haya. Ila, je kuhusu wanawake walio na mimba kwa ujumbe, wako katika hatari ya kuambukizwa maradhi ya mfumo wa kupumua kama vile flu ama mafua? Kinachotia wosia kinabaki: athari za covid-19 kwa mtoto aliye tumboni iwapo mama anapata ni nini?

COVID-19 effects on unborn baby

Wakati ambapo utafiti umekuwa ukiendelea kudhibitisha haya, wataalum kwa sasa wanasema kuwa COVID-19 haiko katika hatari za kusababisha matatizo kwa mtoto ambaye hajaziliwa iwapo mama mjamzito apate maradhi haya.

Athari za COVID-19 Kwa Mtoto Ambaye Hajazaliwa

Angalau kwa wamama wajawazito walio kuwa wame athiriwa na COVID-19 katika trimesta yao ya tatu, matokeo yana dhihirisha kuwa “hakuna ushuhuda wa ku athiriwa kwenye uterasi na kuambukizwa kwa maambukizi kutoka kwa mama hadi kwa mtoto”, alisema professa mkuu Tan Hak Koon aliye mkuu obstetrics na afya ya uke katika KK Women’s and Children’s Hospital.

Huku kuna egemezwa kwenye utafiti wa wanawake 9 wa Britain walio athiriwa wakiwa katika trimesta yao ya tatu.

6 kati ya watoto hawa walipimwa na kuwa na vipimo hasi vya COVID-19. Matokeo pia yalionyesha “kutokuwa na vifo vya viinitete” kutokana na maambukizi ya mama wajawazito katika trimesta yao ya tatu.

COVID-19: Mtoto Aliye Tumboni Huenda Asiathiriwe Na Virusi Vya Corona

COVID-19 Effects On Unborn Baby: a study by the Harvard Medical School revealed that the virus was not present in amniotic fluid, the babies’ throats, or in breast milk. | Photo: iStock

Utafiti mwingine kulingana na Shule Ya Kimatibabu ya Havard pia uliegemeza ushuhuda wa athari za covid-19 kwa mtoto aliye tumboni: “Virusi hivi havikuonekana kwenye amniotic fluid, koo ya mtoto ama kwenye maziwa ya mama”.

Walakini, inapo athiri mama katika trimesta yake ya kwanza ama ya pili, Professa Tan alionya kwamba hakuna utafiti wa kisayansia kuhusu athari za COVID-19 kwenye kiinitete.

Utafiti mwingi unahitajika kabla ya kufanya uamuzi utakao hatarisha mimba na kusababisha kuharibika kwa mimba ama matatizo ya kifizikia ya kiinitete kwenye trimesta ya kwanza ama ya pili, “Professa Tan alisema.

Kwa kulinganishwa kwa marafiki wao ambao hawakuwa na mimba, mama wajawazito” hawana matokeo mabaya zaidi” katika kesi ya maambukizi ya Covid-19, kuegemea kwa ripoti zilizoko.

COVID-19 effects on unborn baby

Kuwa na mimba hakuongezei hatari ya maambukizi

Professa mkuu Su Lin Lin, mkuu wa sekta ya matibabu ya mama ya kiinitete katika hospitali ya National University Hospital anakubaliana na hivi.

Wakati ambapo wamama wajawazito kwa ujumla huwa katika hatari zaidi ya kupata maambukizi ya virusi vya mfumo wa kupumua kama vile mafua, alisema kuwa haisababishi kinga ya chini kwa COVID-19.

Professor Su alisema kuwa wamama wajawazito, hawako katika hatari ya juu zaidi ya kuambukizwa na COVID-19 ama kuwa ingesababisha hatari kwa mtoto aliyekuwa tumboni.

Lakini kwa kuyaangazia yote, kinacho huzunisha kujua ni kuwa “watoto wachanga hawaonekani kuwa na virusi dharura” alisema Roger Shapiro, profesa mkuu wa kinga na maradhi ya kuambukizwa katika shule ya kimatibabu ya Havard. Ila hakujakuwa na masomo mengi kuhusu jambo hili.”

Iwapo mama wajawazito wanafuata tahadhari za kijumla za usalama kama vile kuzingatia umbali wa muingiliano, na usafi wa kibinafsi unao zidi na kuepuka makundi ya watu, hapaswi kuwa na wasiwasi usio faa.

Vyanzo: Harvard Medical School, The Straits Times

Soma PiaHere’s Everything You Need To Know About Coronavirus And Pregnancy

Makala haya yaliandikwa na Jia Ling na kuchapishwa tena na idhini ya theAsianparent kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio