Kuchubua Ngozi Na Mimba: Athari Za Kujichubua Ngozi Kwa Mtoto

Kuchubua Ngozi Na Mimba: Athari Za Kujichubua Ngozi Kwa Mtoto

Skin bleaching chemicals are usually very powerful substances. Nothing should endanger your baby's health at this time.

Kujichubua ngozi kunaweza athiri mtoto aliye tumboni mwa mamake? Uhusiano kati ya kuchungwaa ngozi na mimba ni upi? Unashangaa iwapo kueusha ngozi unapokuwa na mimba kuna athari? Soma zaidi upate kufahamu athari za kuchubua ngozi kwa mtoto unapokuwa na mimba.

 Athari za Kuchubua Kwa Mtoto: Kujichubua ngozi ni nini hasa?

Skin Bleaching And Pregnancy

Picha shukrani kwa; Shutterstock

Kuchubua ngozi ama kuieusha kuna maana sawa. Kulingana na NHS, kueusha ngozi ni utaratibu wa kimapambo ambao watu hufanya ili kueusha ngozi zao na kufanya waonekana weupe.

World Health Organisation iligundua kuwa asilimia 77 ya wanawake wa Nigeria wanatumia bidhaa za kuchungwaa ngozi.

Watu wengi wanakumbatia kuchungwaa ngozi wanapo taka kuimarisha kuonekana kwa alama za kuzaliwa ama alama nyeusi kama vile melasma. Kwa ujumla, watu wanao eusha ngozi hufanya hivyo ili kugeuza ngozi zao.

Kujichubua ngozi kuna tendeka vipi?

athari za kuchubua ngozi kwa mtoto

Kulingana na NHS, kuchubua ngozi hupunguza kiwango cha melanin kwenye ngozi na kupunguza utoaji wa melanin. Melanin ni hali ya ngozi ya kuwa na rangi nyeusi. Inasaidia kulinda ngozi kutokana na miale hatari ya jua.

Kwa kutumia bidhaa za kuchubwaa ngozi kila mara, ngozi inakuwa nyeusi na kupunguza melanin.

Athari za Kuchubua ngozi kwa mtoto: Hiari zilizoko za kujichubua ngozi

bleach

Watu wanao amua kuchubua ngozi wanapaswa kufikiria kwa kina kabla ya kuamua mbinu watakayo tumia. Hata kama mbinu iliyo maarufu zaidi ya kuchubua ngozi inahusisha utumiaji wa krimu za kuchungwaa ngozi ama mafuta ya kuchungwaa na mbinu zingine zilizoko.

Hizi ni kama vile:

  • Tembe za kemikali
  • Krimu za kuchungwaa ngozi
  • Matibabu ya laser
  • Tembe ama sindano za glutathione

athari za kuchubua ngozi kwa mtoto

Tembe na kemikali za kuchubua ngozi 

Tembe za kemikali za kuchubua ngozi hufanya kazi vitofauti ikilinganishwa na tembe za kawaida. Huu sio utaratibu wa kutoa seli mpya tu na kuacha ngozi freshi na iliyo changa zaidi. Tembe za kemikali za kuchungwaa ngozi unapokuwa na mimba huwa na viungo vinavyo punguza utoaji wa melanin vinaongezwa kwa kemikali. Matokeo yake ni ngozi isiyo ng’aa.

Kuchubua ngozi kwa kutumia sitima ama laser

Sitima inatumika kutoa ngozi iliyo haribika. Sehemu ya juu ya ngozi inapotolewa, joto kutoka kwa laser inasaidia kuboresha utoaji wa seli mpya za ngozi.

Sindano na Tembe za Glutathione 

Nyakati za hivi punde, glutathione imekuwa maarufu sana kwa kuchubua ngozi. Watu wengi wanazichukua zikiwa pamoja ili kupata matokeo ya mbio. Masomo haya yalikuwa na nia ya kujua iwapo ina uwezo wa kuchubua ngozi.

Walakini, kuna watu wanao fanya uamuzi wa kutumia sindano za glutathione ili kupata matokeo ya mbio ikilinganishwa na tembe. Hii inaweza kuwa hatari iwapo una mimba ama la.

Kuchubua ngozi na mimba: Krimu za kuchubua

Unaweza pata tembe ama krimu za kuchubua kutoka maduka tofauti pahali popote. Kiungo kilicho maarufu zaidi ni hydroquinone. Baadhi ya krimu hizi huwa na mercury na steroids ambazo ni hatari sana. Bidhaa za kutunza ngozi zinazo kuwa na mercury, steroids na hydroquinone zimepigwa marufuku katika sehemu nyingi duniani, ila baadhi ya hizi bado ziko kwa soko na madukani.

Je, kuchubuaa kunaweza athiri mtoto aliye tumboni – athari za kuchubua ngozi

 • Kuchubua hufanya ngozi iwe nyembamba na kupunguza uwezo wake wa kupanuke, yenye maana kuwa unapo jichubua ukiwa na mimba, ngozi kwenye sehemu ya tumbo huenda ikaanza kupasuka.
 • Mercury, ni mojawapo ya viungo vya krimu nyingi na inayo sababisha saratani.
 • Kuchubua hutoa rangi nyeusi ama melanin kwenye ngozi yako na kutoa ulinzi wa asili wa ngozi dhidi ya saratani ya ngozi.
 • Ochronosis ni tatizo ya linalo tokana na kuchubua ngozi.
 • Sindano ama tembe za glutathione sio salama unapokuwa na mimba ama ukinyonyesha.
 • Kulingana na NHS, krimu za kuchubua zinaweza sababisha matatizo ya maini, neva na figo.
 • Viungo vinavyo tumika kwa krimu za kuchubua zinaweza sababisha changamoto kwenye watoto na hii ndiyo sababu kwa nini sindano ama tembe za kuchubua sio wazo bora.

Unapaswa kuichubua ngozi yako ukiwa na mimba?

Unacho fanya na ngozi yako ni uamuzi wako bila shaka. Ila, huenda ikakubidi kuwacha kuichubua ngozi yako unapokuwa na mimba. Mimba huja na matatizo mengi ya ngozi, na huenda ukapata majaribio ya kuficha mimba yako ama matatizo ya ngozi kwa kuichubua ngozi. Walakini, unapaswa kuangalia athari hasi za kuchubua unapokuwa na mimba kabla ya kufanya uamuzi

Kumbukumbu: NHS

World Health Organisation (WHO)

Immune Health Science 

BBC News Pidgin

Soma pia: Excessive sleep during pregnancy- Is it normal?

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Julie Adeboye kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio