Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Jinsi Kupata Watoto Kunavyo Athiri Mapenzi Yenu

3 min read
Jinsi Kupata Watoto Kunavyo Athiri Mapenzi YenuJinsi Kupata Watoto Kunavyo Athiri Mapenzi Yenu

Watu huingia katika ndoa wakiwa na matarajio ya kupata watoto. Sherehe nzima ya ndoa huonyesha matarajio haya.

Punde tu unapo badili mtazamo wako kuhusu mambo tofauti unapo toka kuwa peke yako na kuwa na mchumba kutoka hali hiyo hadi kufunga ndoa. Kuna vitu ambavyo hubadilika kati yako na mchumba wako mnapo pata watoto.. ama hata msipo pata wawatoto. Watoto huathiri uhusiano wenu kwa njia moja ama nyingine - kufuatia kujifungua ama hata baada ya kushindikana kupata watoto mnapo taka. Tazama athari za watoto kwa uhusiano.

Kuto pata watoto kuna athiri uhusiano wenu kwa njia hasi: athari za watoto kwa uhusiano

athari za watoto kwa uhusiano

Duniani kote, idadi kubwa ya watu wanataka kuwa na watoto, kujifungua na kuwacha kizazi kinacho kuwa na geni zao na kinacho beba jina la familia na historia yake. Hamu hiyo huwa nyingi zaidi katika upande huu wa dunia ambapo kupata watoto na hasa zaidi ya mmoja kuna himizwa.

Watu huingia katika ndoa wakiwa na matarajio ya kupata watoto. Sherehe nzima ya ndoa huonyesha matarajio haya, na jinsi wazazi na marafiki wana wangoja mpate watoto. Kuwa na kiwango hiki cha matarajio kisha yakose kufanyika kutafanya uchanya kwenye ndoa uishe. Na badala yake kuwa na shaka na hata mapenzi huenda yakapungua.

Hata wanandoa walio karibiana zaidi na walio na mapenzi mengi huenda wakashuhudia misuko suko kwenye uhusiano wenu wanapo kosa watoto. Baada ya kuwa na matarajio ya juu, ni vigumu kwa mawazo haya kuisha. Hata wanandoa wanapo ishi pamoja na kuziba macho yao kwa kupata watoto na kushughulika zaidi na mapenzi na kusaidiana kwa magumu yote maishani. Hamu isiyo kamilika ya kupata watoto bado itakuwa akilini mwao, ni vigumu kwa mapenzi kunoga na uhusiano wao utaadhirika. Huenda wakawa na utangamano zaidi ama waka tengana zaidi.

Kuwa na watoto kuna athari zake

athari za watoto kwa uhusiano

Mojawapo ya vitu maarufu zaidi vinavyo tendeka kwa uhusiano kati ya wanandoa wanapo pata watoto ni kuwa, wanakuwa makini zaidi kwa watoto wao ikilinganishwa na wachumba wao. Na wakati ambapo hili sio mbaya, ni vyema kukumbuka kuwa walikuwa wachumba badala ya kuwa wazazi.

Ni vigumu kusawasisha kuwa mama ama baba na bado kubaki kuwa wachumba. Mapenzi bado yanapaswa kuendelea kunoga, wakati ambapo watoto wana stahili kuangaliwa. Una mengi ya kufanya, na ngono huathiriwa pia kwa sababu una kazi nyingi kuwaangalia watoto huku uki wakasirikia. Na wana utaratibu spesheli wa kulala wakati ambapo wazazi wanataka kulala. Ni vigumu kupata wakati tosha wa kuenda nje na mchumba wako hata, kwa sababu una mtoto unaye paswa kujali kuhusu. Ni vigumu kuhisi kuwa unapendeza huku ukiwa na mtoto mgongoni mwako.

Kuwa mzazi ni kazi ya siku nzima ambayo huendelea kuwa bora na wakati. Na pia kuna uzoefu wa wanawake kuwapa watoto wao kipau mbele ikilinganishwa na wachumba wao. Wamama wengi huamini kuwa tuzo la kuwaangalia watoto wao wakikua kuna dhamani zaidi ikilinganishwa na uhusiano wao wa kimapenzi, lakini sio lazima iwe hivyo. Unaweza sawazisha yote mawili!

Soma Pia: Matunda 8 Ya Kula Unapo Nyonyesha Kuboresha Utoaji Wa Maziwa Ya Mama

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Parenting
  • /
  • Jinsi Kupata Watoto Kunavyo Athiri Mapenzi Yenu
Share:
  • Kufanya Mapenzi Baada Ya Kupata Watoto: Jinsi Ya Kuendeleza Hamu Kati Yenu

    Kufanya Mapenzi Baada Ya Kupata Watoto: Jinsi Ya Kuendeleza Hamu Kati Yenu

  • Mama Hakikisha Kuwa Umeangazia Vitu Hivi Kabla Ya Kupata Mimba!

    Mama Hakikisha Kuwa Umeangazia Vitu Hivi Kabla Ya Kupata Mimba!

  • Malengo 10 Ya Uhusiano Yatakayo Fanya Mapenzi Yenu Yakue

    Malengo 10 Ya Uhusiano Yatakayo Fanya Mapenzi Yenu Yakue

  • Hizi Ni Sababu Kwa Nini Wanawake Hawa Hawataki Kupata Watoto

    Hizi Ni Sababu Kwa Nini Wanawake Hawa Hawataki Kupata Watoto

  • Kufanya Mapenzi Baada Ya Kupata Watoto: Jinsi Ya Kuendeleza Hamu Kati Yenu

    Kufanya Mapenzi Baada Ya Kupata Watoto: Jinsi Ya Kuendeleza Hamu Kati Yenu

  • Mama Hakikisha Kuwa Umeangazia Vitu Hivi Kabla Ya Kupata Mimba!

    Mama Hakikisha Kuwa Umeangazia Vitu Hivi Kabla Ya Kupata Mimba!

  • Malengo 10 Ya Uhusiano Yatakayo Fanya Mapenzi Yenu Yakue

    Malengo 10 Ya Uhusiano Yatakayo Fanya Mapenzi Yenu Yakue

  • Hizi Ni Sababu Kwa Nini Wanawake Hawa Hawataki Kupata Watoto

    Hizi Ni Sababu Kwa Nini Wanawake Hawa Hawataki Kupata Watoto

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it