Haya ni Baadhi ya Mambo ya Kufanya Mwaka wako wa Kwanza wa Uzazi

Haya ni Baadhi ya Mambo ya Kufanya Mwaka wako wa Kwanza wa Uzazi

Ni rahisi kwa mama mchanga kutojua jinsi ya kumbadilisha mtoto nguo Ikiwemo mambo mengineyo muhimu. Ni muhimu kwa mama huyu kujua mambo ya kimsingi na kufanya mazoezi ya mambo haya.

Kujifungua mtoto ni baraka tele ila kuja kwa mtoto kuna fuatiwa na mahitaji chungu mzima na kuufanya mwaka wa kwanza wa kujifungua mgumu na wenye kuchokesha. Fahari na furaha pamoja na kukosa usingizi, mipango ya mbio, shida za kindoa na shinikizo za kazini. Sio jambo la kushangaza kuwa asilimia 80 ya wazazi wapya kupitia usumbufu wa mhemko ama hali, kutoka kwa furaha ya mwana hadi kwa huzuni ya baada ya kujifungua. Kujifungua mtoto ni baadhi ya changamoto zaidi za maishani ambazo mzazi mchanga atakumbana nazo. Miezi kabla na baada ya kujifungua huwa na dhiki zaidi. Katika Makala haya, tuna kupa njia za kimsingi na mawaidha ambayo yanaweza kufanya rahisi muda huu kwako.

Matayarisho ni muhimu kwa mlezi mchanga

Wazazi wengi wana wasiwasi wa kuto kuwa wamejipanga ipasavyo siku hii kuu inapowadia. Hizi ni baadhi ya njia ambazo zitakusaidia kupunguza wasiwasi huu.

Usaidizi wa kwanza wa mtoto mchanga

Moja wapo ya wasiwasi mkuu kuhusu kupata mtoto ni kuwa anaweza ugua ama kuumia. Iwapo hakuna kiwango kipi cha matayarisho ambacho kita toa hofu yote ya jambo hili kutendeka, kujua unacho stahili kufanya mkasa ukitendeka ni wazo kamili.

Fanya mazoezi ya vitu vya kimsingi

Unapo mtarajia mtoto wako wa kwanza, yaweza kuwa hapo mbeleni hukuwai mvalisha ama kumbadilisha mtoto yeyote nguo. Siku yako kuu inapo wadia, mambo haya ya kimsingi yanaweza kujaa akilini- lingine lisilo julikana kwa ziwa ya yasiyo julikana. Hatua ya kwanza ni kujua kuwa kazi hizi ni rahisi. Walakini hamna kama kufanya jambo kuipoza akili yako. Kwa hivyo, nunua kidoli ambacho ni saizi sawa na mtoto na ujaribu kulivalisha nguo na kulibeba.

 

Siri za chumba cha kulala

Hakuna watoto wawili walio sawa na hakuna watoto wawili ambao wanaweza lala sawa. Wengine ni wepesi wa kulala, jambo lolote ndogo huwaamsha lakini wengine hawaamshwi wanapo lala. Walakini kuna marekebisho kwa vyumba vya kulala ambayo yana fanya wakati wa usiku rahisi miezi michache ijayo.

Pazia nyeusi

Watoto wanapaswa kulala wakati wa mchana, pazia nyeusi zina kuhakikishia kiwango cha giza wakati wowote ule. Uzoefu huu utasaidia mtoto kupata usingizi.

Zulia ama vitambaa

 Iwapo una sakafu za mbao, weka vitambaa sakafuni ili kuhakikisha sauti inayotolewa unapo ikanyaga imepungua.

Mwangaza wa usiku unaoweza kurekebishwa

Mwenzi wa kimsingi wa pazia nyeusi ni taa ya usiku. Wakati mdogo unapo stahili kuamka kutayarisha chupa ya mtoto, kumbadilisha nguo ama kutumia msalani, jambo la mwisho unalo taka kutendeka ni kuumiza kidole chako cha mwisho kwenye chuma za kitanda ama kukikanyaga kichana.

Mwanga mdogo unaoweza kuufikia kutoka kitandani chako uta kuokoa kutokana na Maumivu mengi ama kumwamsha mtoto.

Uwekaji wa diaper

Eka idadi fulani ya diaper na vitambaa vya kujipanguzia mahali rahisi pa kufikia ukiwa kitandani. Ni wazo mzuri kuwa na diaper ya zaidi na vitambaa kadhalika mahali tofauti kama vile kwa gari, nyumba ya rafiki wako wa dhati ama kwa nyumba ya wazazi wako. 

Lala mtoto anapo lala

Kuna uwezekano kuwa umeliskia jambo hili mara nyingi zaidi hapo awali. Haya ni mawaidha bora. Kujinyima usingizi ni tatizo kubwa ambalo wazazi wachanga wana kumbana nalo. Unahitajika kufanya kazi za nyumba mtoto anapo lala. Matokeo ya jambo hili ni uchovu wasaa wote. Chukua mawaidha haya. Lala mtoto anapo lala. Hata kama ni kulala kwa sekunde chache.

Jitazame kama mzazi mpya

Kujitunza katika siku za kwanza ni muhimu wakati wa uja uzito, umuhimu wa lishe bora kwa mama ni la maana. Kula matunda na mboga na kuepukana na madawa ya kulevya, tobacco na pombe ni lazima. Mtoto anapo zaliwa, Walakini, kujitunza huku kwa kuendelea- pamoja na baba. Uhai wa mtoto unakutegemea, kwa hivyo kuiangalia afya yako ni muhimu. Kuvila vyakula visivyo na dhamana ya juu mwilini kutakufanya kulegea na kuhisi uchovu wasaa wote ambalo halifai. Inaweza kuwa jambo gumu kupata wasaa wa kujipikia, lakini kula lishe bora ni muhimu unapo jifungua mtoto kwanza anapo anza kunyonya.

 

  • Jipe wasaa wako

Kama inawezekana unapo pata nafasi, jipe wasaa fulani. Chukua mapumziko mbali na kutunza mtoto na itakusaidia kisaikologia.

 

  • Kubali usaidizi

Watu wengi wanalipata tatizo la kukubali usaidizi. Kwa maana hawataki kuwatatiza wengine ama wana kiburi kingi. Katika mwaka wa kwanza wa kujifungua, sema “ndio” kubali msaada. Itakusaidia kuboresha akili zako timamu. 

Read Also: Why Your Newborn Might Be Gagging During Feedings

Written by

Risper Nyakio