Baba Ambaka Bintiye: Nilitaka Kudhibitisha Ubikira Wake- Aliiambia Korti

Baba Ambaka Bintiye: Nilitaka Kudhibitisha Ubikira Wake- Aliiambia Korti

Kesi nyingine ya baba kumbaka bintiye, huku mwanamme wa miaka 37, akikiri kumbaka bintiye wa miaka 15 na kuiambia korti kuwa alitaka kudhibitisha ubikira wake.

Mwanamme wa miaka 37, Wasiu Orilonise amekiri kumbaka bintiye wa miaka 15 mara kwa mara. Alisema kuwa alifanya hivi ili kudhibitisha ubikira wake na kumlinda. Hii ni kesi nyingine ya baba ambaka bintiye wa kweli duniani hii. Ni jambo la kuhuzunisha kuwa kisa hiki cha ubakaji kimekuwa kwa ongezeko siku hizi.

Wasiu aliye fika korti ya Oyo State huko Ibadan, walakini aliililia korti imsamehe kwani alifanya hivyo kudhibitisha ubikira wa bintiye.

Mwendesha mashtaka, Bwana Sunday Ogunremi, aliiambia korti kuwa mhukumiwa mwezi wa Disemba mwaka wa 2018, huko kijiji cha Omo, Agbofieti, Ibadan, katika mkoa wa Ibadan alimbaka mwathiriwa bila kukubali kwake.

Ogunremi alisema kuwa kosa hili linapaswa kuadhibiwa chini ya Section, 34, sub-section 1 na 2 ya Sheria za Kumlinda Mtoto za Oyo State, Nigeria, 2006.

Ombi la mshtakiwa lili puuzwa katika kipindi hicho cha korti.

Ushuhuda: Baba Ambaka Bintiye

real daddy rape daughter

Magistrati Mkuu, Bwana Taiwo Olaniran alimwuliza kilicho msukuma kumbaka mtoto wake. Orilonise alisema kuwa alikuwa mlezi wa pekee na mtunzaji wa mwathiriwa na ndugu zake. Aliieleza korti jinsi alipoteza bibi yake miaka michache iliyo pita. Na kusema kuwa alifanya hivyo ili kumlinda mtoto wake.

Orilonise alisema kuwa kisa hicho kilifanyika alipokuwa anajaribu kuona iwapo mwathiriwa alikuwa amepoteza ubikira wake. Aliongeza kuwa alianza kufanya ngono na bintiye mara kwa mara baada ya kudhibitisha kuwa bado alikuwa bikira. Angefanya ngono naye bila kibali chake kabla ya kuenda shuleni na usiku.

Magistrati alikerwa na tabia za mwanamme huyu na wengine wanao wabaka binti zao na watoto wenye umri mdogo; kusema kuwa wanamkubalisha shetani kuwatumia kuharibu jamii.

Ali amrisha mshtakiwa abaki jela huko Agondi akingoja ushauri wa kisheria kutoka kwa mwelekezi wa mashtaka ya kijamii. Cha zaidi, ali ahirisha kesi hiyo hadi tarehe Julai 30, 2019.

Hii ni ripoti kutoka kwa Uajenti wa Habari Nigeria.

Jinsi Ya Kuwa Funza Mabinti Zenu Kuepuka Kesi Zingine Za Baba Ambaka Bintiye

Daddy Raping His Daughter

Awe mwangalifu

Wafunze watoto wenu kuwa iwapo mtu angependa kuwapa uangalifu usio takikana ama kuongea na yeye kwa njia isiyo faa, wanapaswa kumwuliza mtu huyo asiwasumbue. Ila kwa heshima hata kama ni mtu wanaye mfahamu. Wabakaji mara nyingi huwa watu wanao wajua.

Kufahamu kati ya mguso mzuri na mbaya

Mkalishe binti yako na kijana wako na uwafunze kuhusu mguso mzuri na mbaya. Wakiwa na maarifa haya watakuwa salama zaidi.

Hakikisha macho na masikio yako yako wazi wakati wote

rape

Iwapo mtoto wako hupanda basi kuenda shuleni, mshauri asilale anapo rudi nyumbani na anapaswa kuhakikisha kuwa dereva ana endesha upande unaofaa. Waonyesha mahali maarufu, nyumba, duka wanazo paswa kuangalia iwapo wanasikia kuwa dereva anawapeleka mahali ambapo hawaja zoea. Anapaswa kukaa na marafiki wake kwenye basi ya shule.

Aombe msaada na awasaidie wengine

Mhimize mtoto wako kuomba msaada na kuwasaidia wengine. Iwapo mtoto wako atajipata akiwa taabuni, anapaswa kuomba msaada. Pia, mwulize mtoto wako awasaidie wengine anapo ona mtu ako kwa shida. Iwapo hana uwezo wa kuwasaidia, anapaswa kuuliza mtu mwingine awasaidie. Kupiga nduru, kukimbia ama kujificha, ila mtoto wako hapaswi kunyamaza.

Kumbukumbu: Huffpost

Soma pia: Comedienne Helen Paul reveals she was conceived from rape

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio