Bilionea Richard Branson Asema Kuwa Kulea Ni Sawa Na Kuanzisha Biashara

Bilionea Richard Branson Asema Kuwa Kulea Ni Sawa Na Kuanzisha Biashara

Starting a business with a small team also requires taking on many different job roles, having to “pick up new skills on the fly,” he said.

Bilionea Richard Branson asema kuwa kulea watoto ni mojawapo ya mambo yaliyo magumu lakini huridhisha kuliko kuanza biashara. Anasema kuwa zote, kulea watoto na kuanzisha biashara kunaweza leta mambo ya kushangaza lakini humwezesha watu kusoma stadi nyingi na mpya.

richard Branson

Mwanzilishi wa Virgin Group ni baba ya watoto wawili na babu ya watoto watano. Alisema kwenye blogu iliyochapishwa jumatatu kuwa kuanzisha biashara ilikuwa sawia na kupata mtoto.

“Lazima ufanye matayarisho mengi kabla awasili. Lakini haijalishi vile ulivyojitayarisha, jambo ambalo haukutarajia lazima litendeke,” alisema.  Akikumbuka vile bibi yake Joan alivyopatwa na uchungu wa mapema na mtoto wake Holly.

Nukuu za Richard Branson Kutoka Kwa Blogu Ambayo Sasa Ishaenea

Bilionea Richard Branson

“Nilikuwa mwingi wa uchovu kutokana na sherehe huko Virgin na alihitaji kuniamsha ili twende hospitalini,” Branson akaongezea.

  • Kama kuzaa mtoto, kuzindua kampuni pia huleta mambo mapya. Katika ufumbuzi wa Virgin Miami Central Center mapema mwaka huu, Branson alisema ilikuwa mara yake 77 kunusurika kifo. Ubao uliokuwa umetengenezwa kwa chuma ulimwangukia kwenye kichwa.
  • Kama kampuni mpya, mtoto mchanga atachukua wakati wako wote.” Branson aliishi nyumba ya mashua huko London Little Venice pamoja na mke na mtoto wake. Huu ulikuwa wakati wa upanuzi wa rekodi za muziki wa Virgin Records. Alifanya kazi kwa dawati liliokuwa karibu na chumba cha malazi limesukumika kati ya pampu ya bilge na ngazi.
  • Kuanzisha biashara na timu ndogo uhitaji kufanya mambo mengi tofauti na kusoma stadi mpya unapoendelea.
  • Katika njia hiyo hiyo, hutaweza kubadilish nepi mpaka ufanye hivyo. Pia, hutaweza kujua kuuza reklam mpaka uanze,” Branson alisema.

Nukulu Zaidi Za Branson Kuhusu Ulezi Na Kufanya Biashara

Bilionea Richard Branson

  • Kujifunza kuwakabidhi watu majukumu ni jambo la msingi katika huu mchakato. Alibainisha vile wajasirimali na wazazi wapya huumia kwa Kukosa usingizi.

“Mwanya huu pia hukupa fursa ya kuitazama picha iliyokubwa na kuweza kupanga hatua inayofuata. Alilinganisha jambo hii na jinsi wazazi wanavyo chukua hatua ya kuwapa watoto wao nafasi ya kufanya makosa na kusoma kutoka kwa makosa yale wenyewe.

Msichana wake Holly alisomea udaktari kabla ya kujiunga na shirika la babake Virgin Unite. Alifanya kazi kuthibitisha jinsi ya kutoa msaada kwa vijana. Pia alifanya kazi kwa Big Change kabla ya kwenda kuungana na kikosi cha uongozi katika Virgin. Sam, kijana wake Branson, aliweza kujenga kampuni yake ya kutoa filamu inayo julikana kama Sundog. Yeye pia yumo katika bodi ya Virgin Group.

Bilionea Richard Branson

Bilionea Richard Branson asema kuwa yeye hufuatilia biashara zote za Virgin kwa umbali. Anapenda kuwa ruhusu wakurugenzi wakuu na vikundi vya kufanya kazi zao kwa kuwapa nafasi wanayo hitaji. Huweza kuwapa mashauri na msaada unapohitajika bila ya kukandamiza au kusukuma.”

“Kwa miaka mingi, nimesoma moja kwa kibinafasi kuwa hii ndio njia bora zaidi ya kuhakikisha kuwa biashara mpya inakua na kupanuka yenyewe,” akasema.

CNBC

Also read: The best age to give your child a smart phone, according to Bill Gates

Written by

Risper Nyakio