Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Mambo 5 Usiyo Yafahamu Kuhusu Familia Ya Billionea Peter Obi

4 min read
Mambo 5 Usiyo Yafahamu Kuhusu Familia Ya Billionea Peter ObiMambo 5 Usiyo Yafahamu Kuhusu Familia Ya Billionea Peter Obi

Ulifahamu kuwa Peter Obi ni mkatoliki?

Jina billionea Peter Obi sio la kigeni kwa nyumba ya wastani ya Nigeria. Kwanza, tunamjua kama gavana wa Anambra aliye fanya vyema sana na kukishikilia kiti hiki kwa miaka minane. Pia alikuwa mwenyekiti wa Tume yaUsalama na Mabadilisho mwaka wa 2015. Bw. Obi alijulikana na nchi alipo wania uchaguzi wa kirais. Aliwania nafasi ya naibu wa rais wakiwa na Atiku Abubakar aliye kitaka kiti cha urais na chama cha Peoples Democratic Party.

Lakini hii siyo sababu kwanini billionea Peter Obi ni kipenzi cha wana Nigeria wengi leo. Alikuwa gavana wa Anambra na alikuwa makini sana katika kutumia ipasavyo raslimali za umma. Leo hii, ni Anambra tu ambayo haina madeni ya wafanya kazi wake. Na si hilo tu, ina mali na kufuzu vyema sana, yote kwa sababu ya kiongozi mwenye maono ya maisha ya usoni. Peter Obi pia ni mtu wa familia. Na amefanya vyema kuiweka familia yake siri. Tuta kujulisha mambo 5 ambayo huenda haukujua kuhusu familia yake.

Hapa kuna mambo manne usiyo yajua kuhusu familia ya Peter Obi

Ana watoto wawili

peter obi

Billionea Peter Obi alifunga pingu za maisha na bibi yake Margaret Brownson katika mwaka wa 1992. Pamoja, walibarikiwa na watoto wawili; Gabriella Nwamaka Francis Obi na Gregory Peter Oseloka Obi. Watoto hawa wawili wanaishi nchi za ugenini. Kwa mtu wa enzi zake, sio kitamaduni kuwa ana watoto wawili tu. Wengi wa wanarika wake wana zaidi.

Familia ya Obi ni ya Kidini

Peter Obi

Mtu wa kidini, na pia ameiongoza familia yake kwa njia hiyo. Peter Obi ni mkatoliki. Nyingi kati ya sherehe zake za familia ni mikusanyiko ya kikanisa.

Peter Obi

Bibi yake Margaret ana penda almasi

Peter Obi

Hata kama billionea kabla ya kuanza siasi, Obi alisema kuwa alikuwa na saa moja tu ya mkononi. Alisema kuwa alikuwa ametumia saa hiyo kwa miaka 17 kwa sababu, "kazi ya saa ni kuzingatia wakati." Ila usemi huu uliwekwa doa baada ya picha ya saa nyingi za mkononi alizokuwa amevalia kwa miaka ili onekana. Ila hakuna aliye shuku usemi wake ukizingatia hadithi ya jinsi alivyo punguza magari ya kumuandama na kusafiri na moja tu ikimzindikisha.

Walakini, bibi yake aliye zaliwa Calabar, Margaret (nee Brownson Usen), anapenda mitindo. Kulingana na This Day Newspaper, Margaret ni mtawaliwa wa almasi ambaye mapenzi yake ya shanga yana onekana kwenye mitindo yake ya mavazi yote. Mkusanyiko wake wa mapambo yana tofautisha na wanarika wake. Inapofika wakati wa kununua mapambo ya almasi anayo penda, hakuna kiwango ambacho ni kingi sana kwake. Na anapenda kucheza na mapambo ya thamana. Kama vile aquamarine, emerald, sapphire, topaz na Italian corals.

Hakuna magari kwa watoto wa billionea

Mambo 5 Usiyo Yafahamu Kuhusu Familia Ya Billionea Peter Obi

Katika mkusanyiko wa uma hivi majuzi, Obi alisema kuwa amewafunza watoto wake kujitegemea. Aliongezea kuwa alikuwa amchagua kuto jiunga na watu wanao penda kuuliza maswali ya kale. Alisema, "Nina watu wawili wenye shahada ambao wanafanya kazi, mvulana na msichana. Na wote wawili hawana gari kwa sababu hawaja tengeneza pesa tosha za kununua gari.

“Walikuwa huku wakati wa sherehe za krisimasi, na nilikuwa naongea na watu wengine kuwahusu. Mtu huyu alisema kuwa alimwona mvulana wangu na kuwa anatumia mabasi kusafiri.

“Baadhi ya watu hawapendi ilivyo. Wana amini kuwa nina mali na kuwa watoto wangu hawapaswi kutembea, na kuwa wanapaswa kupatiwa magari.

“Ila, naamini hawana pesa; kwa hivyo lazima watembee kwa miguu."

“Nani ataaye wapatia magari- ni mimi? Pesa zangu ni zangu peke yangu; kwa hivyo, wanapaswa kufanyia zao kazi.”

Baadhi ya watu hawafurahii. Wana sema kuwa kuishi nchi za kigeni inakupatia fursa ya kufurahia njia ya kusafari iliyo na starehe kuliko kuwa na gari.

Twa sema, sasa unamfahamu mtu ambaye alikuwa karibia kuwa naibu wa rais vyema, umekaribishwa!

Hakuna Mazishi ya Kifahari ya Wanajamii Walio Aga

Mambo 5 Usiyo Yafahamu Kuhusu Familia Ya Billionea Peter Obi

Hivi majuzi, alipoteza ndugu yake wa kike, Bibian. Wana Nigeria hawakuwa na shaka kwani kama ilivyo desturi, Peter hakumpa sherehe ya kuzikwa ya kifahari inayo tarajiwa kutoka kwa billionea. Kwa mbadala, alifikiria kujenga hospitali na kutengeneza jengo la shule ili kumtwika heshima. Alipo ulizwa, alisema kuwa alikuwa na deni yake ya maombi tu hakuna kingine.

Soma pia: Nigeria's Most Expensive Universities Revealed

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Ayeesha kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Lifestyle
  • /
  • Mambo 5 Usiyo Yafahamu Kuhusu Familia Ya Billionea Peter Obi
Share:
  • 5 Things You Didn't Know About Peter Obi's Family

    5 Things You Didn't Know About Peter Obi's Family

  • Actress Susan Peters Says Women Should Be Allowed To Marry Two Husbands

    Actress Susan Peters Says Women Should Be Allowed To Marry Two Husbands

  • Five Google Map tools to outsmart Lagos traffic

    Five Google Map tools to outsmart Lagos traffic

  • How to clean a blender, the easy way

    How to clean a blender, the easy way

  • 5 Things You Didn't Know About Peter Obi's Family

    5 Things You Didn't Know About Peter Obi's Family

  • Actress Susan Peters Says Women Should Be Allowed To Marry Two Husbands

    Actress Susan Peters Says Women Should Be Allowed To Marry Two Husbands

  • Five Google Map tools to outsmart Lagos traffic

    Five Google Map tools to outsmart Lagos traffic

  • How to clean a blender, the easy way

    How to clean a blender, the easy way

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it