Orodha Ya Chakula Cha Kuongeza Nguvu Za Kiume

Orodha Ya Chakula Cha Kuongeza Nguvu Za Kiume

Iwapo ungependa kudumu zaidi kitandani, ni vyema kuboresha nguvu zako za kiume kwa kutumia vitu asili.

Unngependa kuwa na ujuzi na maarifa kuhusu chakula asili cha kukusaidia kudumu zaidi  kitandani? Orodha yetu ya chakula cha kuongeza nguvu za kiume itakusaidia kwa sana.

Kutosheka kimapenzi ni muhimu kwa uhusiano wenye afya na furaha. Mara moja mwanamme alisikia kuwa kula sehemu ya kibofu ama ya nyuma ya mnyama inasaidia kuongeza hamu yake ya ngono. Wiki mbili kabla ya bibi yake kurudi kutoka ziari nchi za ugenini, alikula nini mbali na kibofu cha mbuzi. Siku aliyo fika, hangeweza kuenda zaidi ya mara moja baada ya kuanza. Maskini!

Sio lazima uwe mtu huyu. Kuna vyakula asili vya kudumu kitandani, soma makala haya upate ujumbe zaidi.

Orodha ya chakula cha kuongeza nguvu za kiume 

Vyakula asili vitakusaidia kuwa na vipindi virefu vya ngono na hasa ni matunda na mboga. Lazima uhakikishe kuwa unajaza lishe yako na vyakula vyenye afya. Yote yana anza na kuisha na lishe!

Hivi ni vyakula asili vya kula iwapo ungetaka kudumu zaidi kitandani:

Mandizi
chakula cha kuongeza nguvu za kiume

chanzo cha picha : Pixabay

Ndizi ni imarisho kuu kwa wanaume. Iwapo unataka kuwa na kipindi cha kufurahisha cha ngono, kula mandizi zaidi. Kula mandizi mengi kutahakikisha kuwa unapo pata hamu ya ngono, itakuwa nyingi.

Kitunguu saumu
natural foods to make you last longer in bed

Usiangazie harufu kali; kitunguu saumu ni chakula bora! Inafanya damu iwe nyembamba kati ya mambo mengine; na iwapo ungetaka kuboresha hamu yako ya ngono, kitunguu saumu kitakusaidia. Inasaidia kuhakikisha kuwa mzunguko mwingi wa damu unaenda kwa sehemu yako ya chini. Wewe na mwenzio mnaweza faidika kutokana na kiwango cha afya cha kitunguu saumu kabla ya jioni njema. Iwapo nyinyi wote mnaikula, hakuna atakaye angazia harufu hiyo kali.

Maziwa ya bururu
fruits to make you last longer in bed

credits : Pixabay.

Hii ni njema zaidi kwa wanawake. Maziwa ya bururu yanasaidia kusawasisha kiwango cha PH kwenye uke, kwa hivyo hakikisha una yaongeza kwenye lishe yako iwapo unataka kuboresha maisha yako ya ngono.

Parachichi

avocado

Parachichi zinakupatia nishati kwa jambo lolote utakacho hata ngono. Hili ni tunda mwafaka linalo kuwa na asidi ya folic.

Mtita: Mtita ina uwingi wa kalisi, inayo saidia kufanya mishipa yako ya damu kupanuka na kuwezesha mzunguko wa damu mwilini kote (na hata kwenye kibofu unapo hitaji).

Tunda la Tikiti
chakula cha kuongeza nguvu za kiume

chanzo : Pixabay

Kama vile mchicha, tikiti pia inapumzisha mishipa ya damu na baadaye kuongeza hamu ya kufanya mapenzi. Nyama: nyama yenye afya inasaidia kuimarisha mzunguko wa damu hasa nyama ya ng’ombe, kuku na nguruwe.

Ongezeko la mzunguko wa damu lina maana ya kuongeza hamu ya ngono.

Njugu ni mojawapo ya chakula kinacho kusaidia kuwa na nguvu za kiume zaidi

natural foods to boost your libido

Badala ya vitu vitamu, kula kiwango cha kiganja chako cha mbegu na njugu. Cashews na almonds zina uwingi wa zinc na pia kiwango kikubwa cha L-arginine kuifanya damu yako izunguke vyema. Jaribu vitu hivi:

  • walnuts
  • hazelnuts
  • peanuts

Walnuts zina umuhimu mara mbili katika upande wa mapenzi na pia zina uwingi wa omega-3s

Mayai

narural foods to help you last longer in bed

Kama nyama nyekundu, mayai huwa chanzo kikuu cha cholestrol na sehemu ya kinjano hutoa vitamini D. Mguso unao hitaji kusawasisha viwango vyako vya kalisi na kutoa viwango vya juu vya testorone kwa sababu zinasaidia misuli kukaa.

Tufaha

chakula cha kuongeza nguvu za kiume

Tufaha moja kila siku humweka daktari mbali, huenda pia ikaimarisha maisha yako ya kimapenzi. Tofaha na berries, cherries, vitunguu na zabibu zenye rangi nyeusi zina uwingi wa quercetin. Umbali ambao ngono hufika, quercetin ina jukumu kuu katika kuthibiti ishara za prostatitis na interstitial cystitis (IC) na ina imarisha mzunguko.

Divai
chakula cha kuongeza nguvu za kiume

Hii ni kawaida. Glasi ya divai nyekundu huenda ikawasaidia wanadada kupata hamu ya ngono. Utafiti unadhibitisha kuwa glasi moja ama mbili za divai nyekundu kila siku ziliongeza hamu ya kufanya ngono na unyevu kwenye wanawake. Divai nyekundu ina quercetin, ambayo huenda ikasababisha adhari hii chanya. Kunywa viwango zaidi huwa na matokeo tofauti.

Nyama

chakula cha kuongeza nguvu za kiume

Nyama ya ng’ombe, kuku, na nguruwe huwa na kiwango cha carnitine, L-arginine na Zinc. Carnitine na L-arginine ni asidi za amino ambazo zina imarisha mzunguko wa damu. Mzunguko wa damu usiothibitiwa ni muhimu sana kwa mwitikio wa ngono kwa wanawake na waume.

Sio kuhusu kula vyakula asili tu kukufanya udumu muda mrefu katika kitendo cha ngono. Hapa kuna bakshishi zaidi

Mbali na kula vyakula asili kukusaidia kudumu wakati mrefu kwenye kitanda, kuna vitu vingine ambavyo unaweza fanya kuwa mtaalum kwenye chumba cha kulala.

Je, una hamu?

Lazima ujiweke kwenye hamu ya ngono, usipo fanya hivi, haijalishi kitu ambacho mwenzi wako atafanya kukupa hamu, hauta dumu muda mrefu kitandani.

Kucheza kabla ya ngono

Kufanya mapenzi kunaanza kutokana na hamu na kujaribiana kabla ya tendo kuu. Matayarisho ya ngono huenda yakazidisha muda wako wa ngono na kukusaidia kudumu zaidi unapo fanya ngono. Kitu cha muhimu kugundua ni iwapo mwenzako anapendelea na kutimiza vyema. Unapo msaida mwenzako kufika kilele cha ngono, hakuna atakaye kuwa akitazama saa kuona muda mlio tumia.

Madawa

Hii siyo maana kuu ya makala haya, kwani tunataka kukueleza zaidi kuhusu matunda yatakayo kufanya udumu zaidi kitandani. Matibabu yana paswa kuwa suluhu la mwisho pale ambapo hiari zingine zote zinakosa kuwa na mafanikio.

Pole pole na taratibu ndio mwendo 

Tuongee ukweli, ngono inahitaji viwango vikubwa vya nishati. Ifurahie, usikimbilie kumaliza. Kuwa makini kwenye kila mguso na kila busu.

Kujifurahisha kingono mwenyewe

Hiari isiyo kawaida: kujifurahisha kingono mwenyewe huenda kuka kuongezea muda. Ili kupata hamu ya ngono, unaweza jifurahisha kingono mwenyewe kwanza kabla mchumba wako afike. Kuta kuanzisha na pia kutoa udharura.

Chakula asili cha kuongeza nguvu za kiume na kukufanya udumu zaidi kitandani

Vyakula vilivyo sawa vitakusaidia kuimarisha kudumu kwako kitandani. Matumaini yetu ni utapitisha rekodi yako mwenyewe. Lishe itakusaidia kukaa wakati zaidi kitandani!

Vyakula asili vitakavyo imarisha hamu yako ya ngono havitafanya kazi hadi pale utakapo tupilia mbali uraibu huu

1. Mawazo mengi ya kifizikia na kihisia ama ugonjwa

Watu wahadumu muda mrefu kitandani kufuatia sababu kama kukwazwa kiakili, kufadhaika, kutokuwa na nguzu, magonjwa, mabadiliko ya homoni na sababu zinginezo nyingi. Iwapo unakumbana na tatizo la kumwaga manii kusiko komaa, na huchukui muda wako kula vyakula asili kukusaidia kudumu muda mrefu kitandani, huenda hali yako ikakosa kubadilika.

2. Pombe

Je, ulijuwa kuwa viwango vingi vya vileo havihimizi kukaa muda mrefu kitandani? La kuhuzunisha ni kuwa watu wengi wanaamini kuwa wakilewa, wanaweza fanya ngono usiku wote. Kwanza, kwa sababu wamelewa na wamechoka, uwezekano wa kukaa muda mrefu unapunguka. Pia, hamu yao ya ngono na kukaa muda mrefu unapunguka.

Vyakula hivi vina ituliza akili yako, kufungua mishipa, na kuufanya mwili wako kufanya kazi vizuri. Vyakula hivi vitautuliza mwili wako na kuimarisha mtiririko wa mwili ambao ni muhimu sana kwa hamu ya ngono. Cha muhimu zaidi, vyakula hivi vya asili vya kudumu kwa muda kitandani vita imarisha afya yako kwa jumla.

Huja chelewa sana kuongeza vyakula hivi kwenye mpango wako wa lishe wa 2020.

Kumbukumbu: U.S Food and Drug Administration

Soma pia:The All-New List Of Best Fertility Foods For Women And Men

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Ayeesha kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio