Utafiti Mpya Unahusisha Chanjo Za Mdomo Na Kesi Za Polio Afrika

Utafiti Mpya Unahusisha Chanjo Za Mdomo Na Kesi Za Polio Afrika

Polio ni ugonjwa unaosababishwa na Poliovirus. Ugonjwa huu unaenezwa kutoka kwa mtu mmoja hadi kwa mwingine kupitia maji au chakula. Lakini hivi karibuni kumekuwa na habari zinazohusisha chanjo cha mdomo na polio Afrika. Watu wanashikwa na ugonjwa huu kwa kutumia chanjo cha mdomo. Kumekuwa na kesi ambapo watu wanapoozwa na poliovirus wanapata kupitia chanjo cha mdomo. Chanjo hii ilitengenezwa ili kuzuia kushikwa na virasi hii ya Poliovirus. Makala haya yana angazia chanjo za mdomo na polio Afrika.

Ripoti za uhusiano kati ya chanjo za mdomo na kesi za polio katika bara la Afrika

chanjo za mdomo na polio Afrika

Kulingana na ripoti kutoka kwa WHO, nchi nne za Afrika zimeripoti kesi za watu ambao wameshikwa na ugonjwa huu wa Polio baada ya kupewa chanjo cha mdomo. Nchi hizi nne ni Nigeria, Kongo, Central African Republic na Angola. Kesi zingine kama hizi zimeripotiwa katika maeneo mengine Afrika, Asia na Pakistani.

Chanjo cha Polio kina umbo chache sana la Poliovirus. Ni kama kwa kiasi kushikwa na ugonjwa na kisha kutumia umbo la ugonjwa wa kiasi ili kupata tiba. Kwa hivyo kuna nafasi ya mambo kutoenda kama ilivyopangwa. Tangu kuanza kwa chanjo cha Polio, imefanya kazi vizuri kote duniani lakini wanasayansi wameishi kujua kwamba kungekuwa na uwezakano wa kesi za watu kugonjeka kutokana na chanjo hii. Hii ni kwa sababu kuna uwezekano wa virusi hivi vilivyo hai ndani ya chanjo cha polio, kubadilika kwa umbo ambalo linaweza sababisha magonjwa mapya.

chanjo za mdomo na polio Afrika

Katika nchi za Afrika, watu ambao waliadhiriwa na Poliovirus waliapata ugonjwa huu baada ya kupata chanjo hii ya mdomo. Wakubwa wa sekta hizi wameendelea kutegemea hii ya mdomo sababu si ghali na inaenezwa na kupatiwa watu kwa urahisi. Lakini chanjo cha mdomo hakitumiki katika nchi za nje. Wanatumia njia ambazo ni ghali ambayo haiwezi kusababisha Polio.

Jinsi ya kukabiliana polio

How To Eradicate Polio

Ili kumaliza ugonjwa huu wa polio, asilimia 95 ya watu wanapaswa kupata chanjo cha polio. Kwa kawaida Poliovirus inaadhiri watoto wa chini ya miaka tano, ikienezwa kwa urahisi kupitia chakula na maji. Virasi hii inasababisha mtu kupooza, au pia kufariki kutoka na shida za kupumua. Kati ya watu mai mbili kuna mmoja ya watu ambao wana ugonjwa huu, huadhirika kwa kupooza. Kumekuwa na mbinu tofauti zimetumika katika maeneo ambayo yana Poliovirus. Jukumu kuu limekuwa kumaliza Polio kabala yam waka 2000. Baada ya kufeli wamekuwa wakiweka tarehe ya mwisho na kubadilisha kila wakati.

Lakini wameweka tarehe ya mwisho ili kusuluhisha janga hili la Polio, inayo sababishwa na chanjo ya mdomo. Jukumu lao ni kumaliza magonjwa yote yanayo sababishwa na chanjo siku 120 badala ya ugonjwa kujulikana. Lakini kulinganan na Independent Monitoring Board wanakamati wamekuwa wakifeli kwa kishindo. Kikundi hiki kinaonelea kuwa kamati ya WHO kimepumzika.

Read also:

Nytimes

Written by

Risper Nyakio