Ukuaji na Hatua Muhimu: Mtoto Wako wa Miaka 5 na Miezi 11

Ukuaji na Hatua Muhimu: Mtoto Wako wa Miaka 5 na Miezi 11

What will your child amaze you with this month? Find out what developmental milestones your child should be hitting around now.

Mwezi mmoja tu umesalia mtoto wako afikishe miaka. 5 years 11 months child! Anapokaribia kuenda shuleni saa, ukuaji wa 5 years 11 months child uko kwa kasi zaidi. Kutoka kutambaa, kujaribu kuongea, mtoto wako kwa sasa anakimbia, kuruka, kupanda na kuongea kwa urahisi.

Je, ni hatua zipi za ukuaji unazo tarajia kuona katika mwezi huu? Jumuika nasi tupate ufahamu zaidi. Katika wakati huu, tafadhali kumbuka kuwa ukuaji huu si sawa kwa watoto wote, na kuwa kila mtoto atafikisha hatua zake muhimu za ukuaji katika mwendo wake. Iwapo unashaka kuhusu ukuaji wa mtoto wako, hakikisha kuwa unawasiliana na mtaalum wa afya ya watoto.

how they play

5 Years 11 Months Old Child Ukuaji na Hatua Muhimu: Je, mtoto wako anakua ipasavyo?

Ukuaji wa Kifizikia

5 years 11 months old child ana uwezo zaidi kudhibiti mienendo na mwendo wake kuliko alivyokuwa miezi michache iliyopita. Amepoteza unene mwingi wa utotoni alio kuwa nao na mwili wake unatoshana vyema kwa sasa. Urefu na uzito wake kwa sasa, unatoshana hivi:

 • Wavulana
  – Urefu: 115.1 cm (45.3 inchi)
  – Uzito: 20.6 kg (45.4lb)
 • Wasichana
  – Urefu: 114.4 cm (45.0 inchi)
  – Uzito: 20.1 kg (44.4lb)

Walakini, pia kumbuka kuwa urefu na uzito wake una lingana kwa sana na urefu wa wazazi wako, kwa hivyo jaribu kujiepusha kutokana na kumlinganisha mtoto wako na wanarika wake. Mtoto wako ana uwezo 20/20 wa kuona kwa sasa.

Tuna angazia baadhi ya ukuaji wa kifizikia- zinazo husika kwa mwendo wake hasa na wa kijumla - ambazo huenda ukaona kwenye 5 years 11 months child.

 • Kusakata densi kwa nyimbo anazo sikia
 • Ana weza kuendesha baiskeli ya migurudumu miwili
 • Uwezo wa kusoma michezo inayo husika na udhibiti wa kifizikia
 • Kushika kalamu ama penseli kwa kutumia vidole vitatu
 • Kuruka kamba vyema
 • Kusawasisha mguu mmoja kwa hewa huku amefunga macho kwa sekunde chache
 • Ana upiga mpira vyema
 • Kutumia makasi kukata miundo kwa ustadi
 • Kukimbia kwa kasi bila kutatizika

Vidokezo

 • Hakikisha kuwa mtoto wako anacheza kwa angalau lisaa limoja kila siku.
 • Himiza maisha iliyo hai wakati wote kwa kujihusisha na shughuli zinazo himiza ukuaji wa kifizikia kama familia. Huenda ikawa ni michezo rahisi kama kurusha mpira ama kadanda.
 • Dhibiti wakati wa kutazama runinga hadi masaa 1.5 kwa siku.
 • Msajilishe mtoto wako kwa michezo ama shughuli za kifizikia kama vile kuogelea, kusakata densi ama kucheza kadanda. Huku kuna himiza ukuaji wake wa kifizikia na pia kumfunza mtoto wako mambo muhimu kama vile kutangamana na wengine, nidhamu na kuwa kuwajibika.

Wakati wa kumwona daktari

Iwapo mtoto wako

 • Anapoteza uwezo ambao alikuwa nao hapo awali
 • Anatatizika kushika kalamu ama penseli vyema
 • Kushindwa kufanya mambo vyema hasa ya kifizikia
 • Anaonekana kuwa na matatizo ya kuona ama kusikia

speech and language has developed

Ukuaji wa kiakili

Kwa muda wa mwezi mmoja ama miwili, 5 years 11 months child ataweza kuanza kurasa mpya ya maisha yake: shule! Kwa sasa, ukuaji wa kiakili wa mtoto wako umeimarika kwa sana. Kiasi kuwa anatimiza mahitaji ya "mtoto mzima" ya shule.

Kutoka kuwa na uwezo wa kushika kalamu vyema na hata kusoma na kuandika kidogo, na kuanza kukwaza, kufikiria ama hata kuwa na mjadala, hapa ni baadhi ya ishara za ukuaji wa kiakili ambao huenda ukagundua kwa mtoto wako mchanga:

 • Anazijua herufi vyema
 • Kuhesabu hadi 20 ama zaidi
 • Kuweza kusoma majina ya maneno mawili
 • Ana uwezo wa kujadili na kukufanya uelewe hasa anapotaka vidoli vipya vinavyo mpendeza
 • Ana kumbukumbu njema
 • Kuwa makini kwa jamba kwa angalau dakika 10-15
 • Ana weza kurudia nambari tatu kinyume nyume
 • Anajua kati ya mchana na usiku, kushoto na kulia
 • Kuanza kusoma vitabu vilivyo sawa kwa umri wake
 • Anaendelea kuuliza maswali mengi
 • Kuonyesha hamu nyingi kwa mada za historia, anga ama dinosaurs

Vidokezo

 • Huu ni wakati mwafaka wa kumtafutia mwanao kadi awe mwanachama wa maktaba. Mwonyeshe mwanao jinsi ya kuvitafuta vitabu vyenye mada za kupendeza, kuviomba na kuvirudisha kwa wakati ufaao (huku kunamfunza kuwajibika)
 • Himiza ukuaji wa kufikiria wa mwanao kwa kumshughulisha kwa vitu kama vile kwa kujibu swali na swali lingine ("je, unafikiria aje kuhusu jambo hili?"). ama kumwuliza akuelezee anavyo fikiria kuhusu kitabu mlicho soma pamoja ("Kwa nini unafikiria Jane alikasirika?" "Ungependa kuimaliza hadithi hii kivipi").
 • Mpeleke mwanao mahali kunako himiza na kutia moyo, kama vile mbuga ama mahali kwa kihistoria. Hata safari ya kwenda kwenye duka huenda kukamfunza mtoto wako mambo muhimu ya kihesabu.
 • Soma, soma, soma! Vitabu vitafungua njia ambazo huwezi kufikiria kwa kusoma kwa maisha kwa mtoto wako.
 • Usimsukume mtoto wako kufanya vyema kwa mambo ya skuli. Huenda kukam katisha hamu ya kusoma na ya muhimu zaidi kuto furahikia kusoma.

Wakati wa kumwona daktari

Iwapo mtoto wako,

 • Anashindwa kuhesabu hadi 20
 • Hajui herufi
 • Haonyeshi hamu yoyote kwa kuuliza maswali ama kupata maarifa zaidi

shows little or no interests playing

Ukuaji wa Muingiliano na Hisia

Mtoto wako wa 5 years 11 months old child, amekuja njia ndefu katika ukuaji wake wa muingiliano na hisia. Kutoka kukataa kucheza na vidoli vyake na watoto wengine, kukasirika ovyo miaka michache iliyopita. Hadi kufurahia kucheza na vidoli vyake na kuto kasirika ovyo, kwa sasa mtoto wako ni kipepeo cha muingiliano.

Kuwa makini kuona hatua zifuatazo, pia:

 • Mtoto wako anapenda kutangamana kwa sana na watu, kucheza na vidoli vyake na watoto wengine, pia hata kuwapea watoto wengine hasa marafiki wake wa karibu
 • Ana fuata maagizo ya michezo
 • Huenda akapenda kupeana maagizo
 • Ni mkarimu kwa wengine na anaelewa hisia zao
 • Anawa fariji marafiki wake walio kasirika ama kukasirika
 • Kupenda kucheza na watoto wa jinsia yake
 • Anapenda kucheza na marafiki wake ikilinganishwa na kucheza peke yake
 • Hakasiriki kwa urahisi kama hapo mbeleni
 • Anatumia maneno kama vile "tafadhali" na "asanti"
 • Anataka mapenzi na faraja zako
 • Kufurahikia kusifiwa na watu wazima
 • Huenda akawa na "rafiki wa dhati"
 • Anasikiza maagizo

Vidokezo

 • Iwapo mtoto wako anaona aibu, usimsukume kuingiliana na wengine. Badala yake, fikiria kumsajilisha mwanao kwa mambo ya makundi kama vile michezo na darasa za sanaa.  Ama upange siku za kucheza na marafiki wake.
 • Muanzishie mtoto wako nidhamu ya meza.
 • Mwongoze mtoto wako kuwa na nidhamu njema anapo kuwa nyumbani na anapotoka nje. Kwa mfano, hakuna kuruka foleni ama kuwakatiza watu wanapokuwa wakiongea.
 • Mtoto wako anaiga tabia zako, kwa hivyo hakikisha kuwa unafanya vile ambavyo ungependa mtoto wako afanye. Onyesha heshima, ukarimu na kuwapenda wengine na utakuwa na uhakika kuwa mtoto wako atafanya hivyo pia.
 • Mpe mtoto wako adhabu ila kwa utulivu, na bila ya kukasirika zaidi. Mtoto anayekaribia miaka 6 huenda bado akakukasirisha, ila, anaelewa kuwa kuna matokea ya tabia zisizo faa (kama mtoto).
 • Ongea na mtoto wako kuhusu hatari za watu wageni. Mfunze mtoto wako anacho paswa kufanya iwapo mtu mgeni amkaribie ama anapo tenganishwa naye katika shughuli zenu mnapo kuwa nje.
 • Ni sawa mtoto wako kubokea. Epuka kujaza kalenda ya mtoto wako ya muingiliano na shughuli nyingi. Badala yake, mfunze mtoto wako jinsi ya kufurahikia wakati anao kuwa peke yake. Huenda ikawa ni kusoma kitabu, kufanya mambo ya kisanaa, kuchora, kurembesha ama kwenda nje.

Wakati wa kuongea na daktari

Iwapo mtoto wako,

 • Bado anadhibitisha hisia nyingi ama kukasirika mara kwa mara
 • Anakataa kucheza na watoto wengine
 • Anakataa kujumuika na watoto wenye umri zaidi yake ama watu wazima
 • Ana ukatili mwingi anapo kasirika

how your child eats at 5 years 11 months old

Afya na Lishe

Endelea kumpatia 5 years 11 months child lishe bora kuhimiza ukuaji wa mwili wake. Usisahau, kumtia moyo anywe maji mengi siku yote. Epuka switi, vitamu tamu kadri iwezekanavyo.

Mtoto wako anahitaji kalori kati ya 1,700 hadi 1,800 kila siku.

Kwa kijumla, kalori zinazo hitajika kwa wavulana na wasichana katika umri huu, ni kama ifuatavyo:

 • Wavulana: 1,744 Kcal/kwa siku
 • Wasichana: 1,636 Kcal/kwa siku

Lishe na virutubisho vinapaswa kuwa ifuatavyo:

Protini

Mtoto wako anahitaji protini mara mbili (kwa pamoja, gramu 32.4) kila siku. Mara moja ni sawa na vijiko vitatu  vya nyama, kuku ama samaki, vijiko vinne ama vitano vya maharagwe iliyo kauka ama yai moja.

Matunda

Pia anahitaji vikombe vitatu (gramu 100) vya matunda kila siku. Kikombe kimoja cha matunda ni sawa na yaliyo toka shambani, yaliyo gandishwa ma kukaushwa. Nusu (1/2) tofaha moja kubwa, 1/8 ya ndizi, na zabibu.

Iwapo mtoto wako anataka kunywa maji ya sharubati, hakikisha kuwa ni asilimia 100 ya maji matamu bila sukari za kuongezwa.

Mboga

Katika hatua hii, mtoto wako anahitaji vikombe visivyo pungua viwili vya (gramu 100 kila moja) vya mboga kila siku. Jaribu kumpa fiber na mboga zilizo na iron nyingi kama vile spinachi, karoti zinginezo. Pia, unaweza kumpa kikombe kimoja cha mboga kinacho toshana na kikombe kimoja cha mboga zilizo pikwa, mboga za majani, nyanya moja kubwa na karoti mbili.

Mpe mwanao mboga tofauti za rangi nyingi kutoka kijani, nyekundu, rangi ya machungwa, maharagwe kila wiki. Unapo chagua mboga zilizo hifadhiwa, chagua zilizo na kiwango cha chini cha sodium.

Nafaka

Mwanzishie mwanao ounsi nne za nafaka katika lishe zake. Ounsi moja ya nafaka ni sawa na kipande kimoja cha mkate,kikombe kimoja cha nafaka zilizo tayari ama nusu kikombe cha wali uliopikwa.

Unaweza chagua kutoka kwa nafaka nzima kama vile, mkate usio wa mtama mweupe, mchele wa hudhurungi. Ila, usisahau kupunguza kiwango cha nafaka zilizo tayarishwa kama vil mkate mweupe ama mchele.

Maziwa

Katika umri huu, mtoto wako anapaswa kunywa maziwa angalau ounsi 17 hadi 20 za maziwa kila siku. Huenda ukampa maziwa yaliyo hifadhiwa ama yogurt badala ya maziwa, na ounsi mbili za cheese iliyo tengenezwa.

Kwa kifupi, haya ni baadhi ya mahitaji ya mtoto wako ya kila siku (tazama viwango tulivyo angazia hapo juu)

 • Matunda: vikombe vitatu kwa wavulana; na vitatu kwa wasichana
 • Mboga: vikombe viwili kwa wavulana; na kikombe viwili kwa wasichana
 • Nafaka: ounsi nne kwa wavulana; ounsi nne kwa wasichana
 • Protini: gramu 32.4 kwa wavulana; gramu 32.4 kwa wasichana
 • Maziwa: 17-20 ounsi kwa wavulana; 17-20 ounsi kwa wasichana
 • Maji: 1500 ml kwa wavulana; 1500 ml kwa wasichana (karibu vikombe sita)

Chanjo na Magonjwa ya kawaida

Hakuna chanjo mpya zinazo karibia mwezi huu. Kujua ni chanjo zipi ambazo mtoto wako anapaswa kuwa amepata hadi wakati huu, tazama iwapo ratiba hii imeafikiana na tarehe ya leo, bonyeza hapa.

Huenda mtoto wako akapata homa, mafua na maradhi ya kawaida kama vile ugonjwa wa Hand Foot and Mouth.Iwapo hizi zote zinahimiza uwezo wake wa kukabiliana na maradhi, wasiliana na daktari wako iwapo mtoto wako ana dalili za kuto kuwa na starehe, ama kutapika, kuharisha ama joto jingi.

Mfunze mtoto wako kuangazia hali ya juu ya usafi, hasa kunawa mikono.

Kutibu magonjwa ya kawaida

Kutibu matatizo ya kiafya yaliyo kawaida sana kwenye watoto- joto jingi, kukohoa na homa - fuata maagizo haya:

  • Kutibu joto jingi: Iwapo mtoto wako ana joto ya hadi 38°C (100.4°F), mpe maji kwa wingi na umhimize kupumzika. Pia, unaweza mpaka maji ya vuguvugu kwenye uso, makwapa na sehemu nyeti zake kwa kutumia kijitambaa kisafi ili kupunguza joto yake. Hakikisha amevalishwa nguo nyepesi. Iwapo joto yake inapanda zaidi ya 38°C (100.4°F) mpeleke hospitalini na ufuate ushauri wa daktari.
  • Kutibu kikohozi: Iwapo kukohoa ni njia ya mwili kuosha koo, huenda ikasumbua iwapo inaandamana na homa na kupiga chafya. Kwa kawaida, tumia matibabu ya kinyumbani kama vile tangawizi na asali kisha uchanganye na maji ya vuguvugu. Kukunywa maji kwa wiki angalau glasi nane za maji kwa siku. Iwapo mtoto wako anaendelea kukohoa baada ya siku tatu ama tano, mpeleke hospitalini atibiwe.
  • Kutibu homa: Isipokuwa ikikuliwaza zaidi, epuka kuchukua madawa za kununua kutibu homa. Homa husababishwa na viini na madawa hayatasaidia. Iwapo mtoto wako pia anahisi kuumwa na mwili na joto jingi, huenda akawa na influenza. Unapaswa kumpeleka hospitalini atibiwe.

Ni vyema kufahamu kuwa iwapo baadhi ya matibabu ya magonjwa ya kawaida huenda yaka nunuliwa bila ushauri wa daktari, chaguo lako la kwanza linapaswa kuwa matibabu ya kinyumbani.

Kwa mfano, mtoto anaye ugua homa ama kikohozi anapaswa kupatiwa maji zaidi. Anywe maji yenye chumvi kisha ateme kabla ya kumeza kuponya koo inayo uma.

Wakati wa kumwona daktari

Iwapo mtoto wako:

 • Ana joto jingi, zaidi ya 39 degree Celsius
 • Ana upele, vidonda na uvimbe usio wa kawaida
 • Hulia kuumwa na kichwa mara nyingi
 • Amekuwa akitapika ama kuharisha kwa zaidi ya siku mbili

Mwezi uliopita: 5 years 10 months

Mwezi ujao: 6 years

Vyanzo: Web MD

Makala haya yamechapishwa tena na idhini ya theAsianparent

Written by

Risper Nyakio