Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Chumvi Na Maji Kuzuia Mimba: Njia Asili Za Kuzuia Mimba

2 min read
Chumvi Na Maji Kuzuia Mimba: Njia Asili Za Kuzuia MimbaChumvi Na Maji Kuzuia Mimba: Njia Asili Za Kuzuia Mimba

Tembe za uzazi wa mpango huwa na athari hasi kwa afya ya wanawake na huenda wakataka kufahamu iwapo njia za kiasili kama kutumia chumvi na maji kunaweza kuzuia mimba.

Je, chumvi na maji zinaweza kuzuia mimba? Swali maarufu kati ya wanadada wengi. Wanawake wengi wanataka kufahamu njia za kuepuka mimba kiasili, bila kutumia dawa zozote zile. Walakini, ni muhimu kwa wanawake wanaotafuta njia za kiasili za kuepuka mimba kuthibitisha kuwa ni salama kwa afya zao. Tuna angazia mbinu za kiasili za kuepuka mimba.

Chumvi na maji kuzuia mimba

chumvi na maji kuzuia mimba

Wanawake wengi wanataka kupata maarifa jinsi ya kuepuka mimba kiasili na mbinu ambazo wanaweza kutumia kulinda dhidi ya kupata mimba wakiwa nyumbani. Hata hivyo, ni muhimu kuweka akilini kuwa, baadhi ya mbinu za kiasili hazijapitishwa na Shirika la Afya Duniani. Mbinu kama hizi zinamweka mama katika hatari ya kugonjeka ama kupoteza maisha yake. Iwapo swali lako ni je, chumvi na maji zinazuia mimba? Jibu ni la.

Athari za kunywa maji yenye chumvi

Kunywa maji yenye chumvi mara nyingi kunasababisha hali ya hypertension. Pia kuongeza hatari ya shinikizo la juu la damu na kuathiri maini.

Jinsi ya kuzuia mimba kiasili

vyakula vinavyo sababisha kuharibika kwa mimba

Tembe za uzazi wa mpango huwa na athari tofauti kwa wanawake. Huenda zikawafanya wengine waongeze uzito kwa kasi, kupunguza uzito ama kupata mzio. Jambo linalowafanya wanawake hawa kutafuta njia asili za kuepuka kupata mimba. Njia hizi za kiasili hazina ufanisi wa asilimia 100, na sawa na mbinu zingine za uzazi wa mpango, mwanamke anapaswa kuwasiliana na daktari. Kuhakikisha kuwa mbinu hizi hazina athari hasi kwa afya yake.

Papai. Kuna imani kuwa, ili kulinda dhidi ya kupata mimba kiasili, mwanamke anapaswa kula papai mara mbili kwa siku, kwa siku 3 baada ya kufanya tendo la ndoa. Huku wanaume wakihitajika kula papai kabla ya kufanya mapenzi. Hii ni imani isiyoegemezwa na Sayansi, kwani papai hazitakomesha usafirishaji wa manii kwenye kizazi cha mwanamke.

Rue. Mmea wa rue una pilocarpine na rutin zinazoepusha ujauzito kwa kuharibu mimba mapema. Ili kuwa na ufanisi, mmea huu unahitajika kuchukuliwa kwenye chai mara mbili kwa siku. Hata hivyo, utafiti umedhibitisha kuwa mmea wa rue ni hatari kwa afya ya mtu na huenda ikasababisha maumivu makali ya tumbo, kuathiri maini ama katika visa nyeti kusababisha kifo.

Mwanamke anastahili kuwasiliana na mtaalum wa afya kabla ya kutumia mbinu asili za kuepuka mimba. Daktari atamshauri kuhusu madhara hasi ya mbinu zile na hatari kwa afya na maisha yake.

Chanzo: WebMD

Soma Pia: Mbinu Za Kuepuka Mimba Kwa Njia Asili

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Chumvi Na Maji Kuzuia Mimba: Njia Asili Za Kuzuia Mimba
Share:
  • Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

    Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

  • Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

    Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

  • Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

    Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

  • Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

    Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

  • Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

    Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

  • Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

    Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it