Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Je, Ni Yapi Ungependa Kujua Kuhusu Ujauzito?

2 min read
Je, Ni Yapi Ungependa Kujua Kuhusu Ujauzito?Je, Ni Yapi Ungependa Kujua Kuhusu Ujauzito?

Mwanamke mwenye mimba huenda akashuhudia kiwango kidogo cha damu kisicho jaza pedi, wiki anayo tarajia kupata kipindi chake cha hedhi.

Mwanamke hutunga mimba manii yanapo rutubisha yai baada ya kuachiliwa kutoka kwa mirija ya mimba katika mchakato wa ovulation. Yai lililo rutubishwa husafiri hadi kwenye uterasi na kisha kujipandikiza kwenye kuta za uterasi. Mchakato huu unapo fanikiwa, mwanamke husemekana kuwa na mimba. Ni vyema kufahamu dalili za mapema za mimba utakazo tarajia.

Kwa kawaida, mimba huchukua wiki 40 kukomaa. Kuna sababu nyingi zinazo athiri ujauzito. Mwanamke ana shauriwa kutembelea kituo cha afya punde tu anapo gundua kuwa ana mimba. Japo anapo anza kwenda kufanyiwa vipimo na kufuata ushauri wa daktari, ndivyo anavyo ongeza nafasi zake za kujifungua mtoto mwenye afya.

Dalili za mapema za mimba

njia asili za kupima mimba

Kuna baadhi ya ishara zinazo onekana mapema hata kabla ya mwanamke kufanya kipimo cha mimba. Huku ishara zingine zikishuhudiwa wiki baada ya kudhibitisha hali yake ya ujauzito.

Kukosa kipindi cha hedhi

Hii ni mojawapo ya ishara za mapema zaidi za ujauzito na iliyo maarufu zaidi. Walakini, kuna sababu zingine ambazo zinaweza mfanya mwanamke kushuhudiwa kipindi kilicho chelewa cha hedhi.

Kuvuja damu

mimba ya siku tatu

Mwanamke mwenye mimba huenda akashuhudia kiwango kidogo cha damu kisicho jaza pedi, wiki anayo tarajia kupata kipindi chake cha hedhi. Mara nyingi wiki moja ama mbili baada ya yai kurutubishwa.

Mbali na kuwa ishara ya mapema ya mimba, kuvuja damu huenda kuka ashiria kuwa na maambukizi ya kingono. Unapo gundua kuwa unavuja damu kiasi kingi, wasiliana na daktari wako kwani huenda ikawa ishara ya kupoteza mimba ama mimba ya ectopic.

Maumivu ya kichwa

Kuumwa na kichwa ni maarufu sana kwa wanawake walio na mimba hasa katika wiki chache za kwanza. Chanzo kikuu ni mabadiliko ya viwango vya homoni mwilini na kuongezeka kwa viwango vya damu. Uchungu kichwani ukizidi, wasiliana na daktari wako, huenda ukawa na tatizo lingine linalo kuathiri.

Kiungulia

Homoni zinazo achiliwa katika ujauzito huenda zikasababisha kiungulia kwa mwanamke.

Maumivu ya tumbo

Kuumwa na tumbo ni maarufu kwa wanawake walio na mimba. Maumivu sawa na unayo shuhudia unapo kuwa katika kipindi chako cha hedhi.

Kuna dalili nyingi za mapema za ujauzito unazo paswa kuzifahamu. Kumbuka kuwa kuna uwezekano wa kuugua mawazo mengi katika kipindi hiki. Ni muhimu kwa mama mjamzito kuhakikisha kuwa ana marafiki na jamii wa kumsaidia katika safari hii. Na pia kuzungumza nao mambo yanapo mzidia.

Soma Pia: Unapaswa Kufanya Nini Unapo Jipata Na Mimba Isiyo Tarajiwa

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Je, Ni Yapi Ungependa Kujua Kuhusu Ujauzito?
Share:
  • Je, Ni Ishara Zipi Zinazo Msaidia Mama Kujua Kuwa Anatarajia Mtoto?

    Je, Ni Ishara Zipi Zinazo Msaidia Mama Kujua Kuwa Anatarajia Mtoto?

  • Ishara Za Mapema Za Mimba Na Wakati Zinapo Anza Kuonekana

    Ishara Za Mapema Za Mimba Na Wakati Zinapo Anza Kuonekana

  • Je, Mwanamke Anaweza Pata Dalili Za Mimba Siku 4 Baada Ya Kurutubishwa Kwa Yai?

    Je, Mwanamke Anaweza Pata Dalili Za Mimba Siku 4 Baada Ya Kurutubishwa Kwa Yai?

  • Dalili 6 Za Mimba Za Kushangaza Zinazo Shangaza Zaidi

    Dalili 6 Za Mimba Za Kushangaza Zinazo Shangaza Zaidi

  • Je, Ni Ishara Zipi Zinazo Msaidia Mama Kujua Kuwa Anatarajia Mtoto?

    Je, Ni Ishara Zipi Zinazo Msaidia Mama Kujua Kuwa Anatarajia Mtoto?

  • Ishara Za Mapema Za Mimba Na Wakati Zinapo Anza Kuonekana

    Ishara Za Mapema Za Mimba Na Wakati Zinapo Anza Kuonekana

  • Je, Mwanamke Anaweza Pata Dalili Za Mimba Siku 4 Baada Ya Kurutubishwa Kwa Yai?

    Je, Mwanamke Anaweza Pata Dalili Za Mimba Siku 4 Baada Ya Kurutubishwa Kwa Yai?

  • Dalili 6 Za Mimba Za Kushangaza Zinazo Shangaza Zaidi

    Dalili 6 Za Mimba Za Kushangaza Zinazo Shangaza Zaidi

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it