Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Jinsia Ya Kujua Iwapo Una Mimba Kabla Ya Kufanya Kipimo

3 min read
Jinsia Ya Kujua Iwapo Una Mimba Kabla Ya Kufanya KipimoJinsia Ya Kujua Iwapo Una Mimba Kabla Ya Kufanya Kipimo

Ishara za mimba changa huwa sawa na dalili za kipindi cha hedhi, tazama tofauti.

Je, una mimba? Njia pekee ya kuwa hakika ni kufanya kipimo. Lakini hata kabla ya kukosa kipindi chako cha hedhi, huenda ukawa na shaka ama kutumaini kuwa - una mimba. Tuna kuelimisha kuhusu dalili za mimba changa na zinavyo tendeka. Ukiwa na maarifa haya, utaweza kujua unapokuwa na mimba na kuchukua hatua zinazo faa kuhakikisha kuwa umeanza utunzi wa mimba mapema.

jinsi ya kupima mimba kwa kutumia chumvi na mkojo

Dalili Za Mimba Changa

Hizi ndizo ishara maarufu zaidi za mimba changa:

  • Kukosa kipindi chako cha hedhi. Ikiwa uko katika miaka yako ya kupata watoto na wiki imepita bila kupata kipindi chako cha hedhi, huenda ukawa na mimba. Walakini, ishara hii inaweza kukanganya ikiwa vipindi vyako vya hedhi sio vya kawaida.
  • Chuchu laini ama zinazo uma. Mabadiliko ya mapema ya homoni katika kipindi chako cha mimba kinaweza fanya chuchu zako kufura. Huenda kuto starehe huku kukapungua baada ya wiki chache mwili wako unavyo zidi kuzoea mabadiliko ya homoni mwilini.
  • Kichefu chefu na kutapika. Ugonjwa wa asubuhi unaweza kutendekea wakati wowote wa mchana ama usiku na mara nyingi huanza mwezi mmoja baada ya kupata mimba. Walakini, baadhi ya wanawake huhisi kichefu chefu mapema na wengine hukosa ishara hii. Wakati ambapo chanzo cha kichefu chefu wakati wa mimba hakija dhibitika, homoni za mimba huwa na jukumu.
  • Kuenda haja ndogo mara nyingi. Huenda ukajipata unakojoa mara nyingi kuliko ilivyo kawaida. Kiwango cha damu mwilini wako huongezeka unapokuwa mjamzito, na kufanya maini kuchakata maji zaidi ambayo lazima yatolewe mwilini kama mkojo.
  • Uchovu. Uchovu huwa mojawapo ya ishara za mapema za ujauzito. Wakati wa ujauzito wa mapema, viwango vya homoni ya progesterone huzidi - na huenda ikakufanya kuhisi usingizi.

dalili za mimba changa

Dalili zingine za mimba changa

Ishara zingine za mimba ambazo unaweza kuwa ukishuhudia zisizo kuwa nyingi katika trimesta yako ya kwanza ni kama vile:

  • Mhemko wa hisia. Wingi wa homoni mwilini katika mwanzo wa ujauzito huenda zikakufanya uwe na hisia nyingi na uhisi kulia. Mhemko wa hisia ni kawaida katika mimba.

vyakula vya mama mwenye mimba

  • Kufura tumbo. Mabadiliko ya homoni katika ujauzito huenda yakakufanya uhisi kufura tumbo sawa na unavyo hisi mwanzo wa kipindi chako cha hedhi.
  • Kutoa damu . Baadhi ya wakati, kutoa viwango vidogo vya damu ni ishara za kwanza za ujauzito. Kuna tendeka yai lililo pevuka linapo jishikilia kwenye kuta za uterasi. Siku 10-14 baada ya kutunga. Kutoka kwa damu huku hutendeka wakati sawa na kipindi chako cha hedhi. Ila, sio wanawake wote wanao shuhudia hili.
  • Kuumwa na tumbo. Baadhi ya wanawake hushuhudia kuumwa na tumbo siku za mwanzo za safari yao ya mimba.
  • Kuto enda msalani. Mabadiliko ya homoni katika mfumo wako wa utumbo hupungua, na huenda huku kuka sababisha kuto enda msalani.
  • Hamu ya kula vyakula tofauti. Unapokuwa na mimba, huenda ukawa na matamanio ya vyakula ambavyo hapo awali haukua unapenda kula. Huenda vyakula vingine vikakufanya uhisi kutapika. Hamu hii ya kula vyakula na kuchukia vingine katika mimba huwa kawaida katika ujauzito.

Je, Kwa Kweli Unatarajia?

Baadhi ya ishara hizi za mimba changa huenda zikawa sawa na ishara za kipindi cha hedhi ama hata ukawa mgonjwa. Pia, una weza kuwa na mimba na ukose ishara hisi. Njia dhabiti ya kuhakikisha kuwa una mimba ama la ni kufanya kipimo. Ukigundua kuwa una mimba, ni vyema uanze utaratibu wa utunzaji wa mimba kabla ya kujifungua.
Soma Pia:Vyakula Ambavyo Unapaswa Kuepuka Katika Mwezi Wako Wa Kwanza Wa Ujauzito

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Jinsia Ya Kujua Iwapo Una Mimba Kabla Ya Kufanya Kipimo
Share:
  • Dalili 6 Za Mimba Za Kushangaza Zinazo Shangaza Zaidi

    Dalili 6 Za Mimba Za Kushangaza Zinazo Shangaza Zaidi

  • Jinsi Ya Kubaini Kuwepo Kwa Mimba (Dalili Za Mwanzo Za Mimba)

    Jinsi Ya Kubaini Kuwepo Kwa Mimba (Dalili Za Mwanzo Za Mimba)

  • Je, Mwanamke Anaweza Pata Dalili Za Mimba Siku 4 Baada Ya Kurutubishwa Kwa Yai?

    Je, Mwanamke Anaweza Pata Dalili Za Mimba Siku 4 Baada Ya Kurutubishwa Kwa Yai?

  • Ishara Za Mapema Za Mimba Na Wakati Zinapo Anza Kuonekana

    Ishara Za Mapema Za Mimba Na Wakati Zinapo Anza Kuonekana

  • Dalili 6 Za Mimba Za Kushangaza Zinazo Shangaza Zaidi

    Dalili 6 Za Mimba Za Kushangaza Zinazo Shangaza Zaidi

  • Jinsi Ya Kubaini Kuwepo Kwa Mimba (Dalili Za Mwanzo Za Mimba)

    Jinsi Ya Kubaini Kuwepo Kwa Mimba (Dalili Za Mwanzo Za Mimba)

  • Je, Mwanamke Anaweza Pata Dalili Za Mimba Siku 4 Baada Ya Kurutubishwa Kwa Yai?

    Je, Mwanamke Anaweza Pata Dalili Za Mimba Siku 4 Baada Ya Kurutubishwa Kwa Yai?

  • Ishara Za Mapema Za Mimba Na Wakati Zinapo Anza Kuonekana

    Ishara Za Mapema Za Mimba Na Wakati Zinapo Anza Kuonekana

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it