Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Dalili Za Mimba Ya Mwezi Mmoja Baada Ya Kufanya Tendo La Ndoa!

2 min read
Dalili Za Mimba Ya Mwezi Mmoja Baada Ya Kufanya Tendo La Ndoa!Dalili Za Mimba Ya Mwezi Mmoja Baada Ya Kufanya Tendo La Ndoa!

Usiwe na shaka ikiwa umekuwa ukijaribu kutunga mimba kwa muda. Asilimia kubwa ya wanawake hawakupata mimba kwa jaribio la kwanza.

Kushiriki katika ngono bila kinga kuna mweka mwanamke katika nafasi ya kupata mimba. Hasa anapo jihusisha katika kitendo hiki wiki mbili baada ya kipindi chake cha hedhi. Nafasi zake za kutunga mimba zina ongezeka. Hii ni kwa sababu siku ya kupevuka kwa yai huwa siku ya 14 baada ya kuanza kipindi chake cha hedhi, kila mwezi. Kwa wanandoa wanao jaribu kutunga mimba, hii ndiyo siku bora zaidi ya kufanya mapenzi. Ili kuongeza nafasi zao za kutunga mimba. Kwa wanandoa walio jihusisha katika kitendo cha wanandoa na wangependa kujua kama wanatarajia, tuna angazia dalili za mimba ya mwezi mmoja.

Dalili za mapema za ujauzito

dalili za mimba ya mwezi mmoja

Katika mwezi wa kwanza, mwanamke anaweza kujua iwapo ana mimba anapo ona dalili hizi.

  • Kuhisi kuchoka wakati wote
  • Maumivu kwenye mgongo wa chini
  • Kuvuja damu kiasi isiyo jaza pedi
  • Kuenda msalani kila mara
  • Mhemko wa hisia
  • Kuchukia chakula fulani huku akipenda zingine
  • Kuhisi kutapika anapo nusia chakula fulani
  • Kukosa kupata kipindi cha hedhi
  • Kuumwa na tumbo ya chini

Dalili hizi hutofautiana kati ya wanawake kwani miili yao ni tofauti.

Mchakato wa kutunga mimba

dalili za mimba ya mwezi mmoja

Baada ya yai kuachiliwa kutoka kwa fuko la mayai ama ovari, lina patana na mbegu za kiume na kurutubishwa. Baada ya kurutubishwa, lina funga mkondo kutoka kwa fallopian tube hadi kwenye uterasi. Yai lina jipandikiza kwenye ukuta wa uterasi, mchakato unao hamika kama implantation. Huku kuna chukua muda wa siku nne hadi sita, kulingana na siku ambayo ngono ilifanyika. Baada ya implantation, mchakato wa mimba huanza.

Uwezo wa mwanamke wa kupata mimba unategemea pakubwa na siku wanayo fanya ngono. Kufanya ngono siku zenye rutuba kuna ongeza nafasi zake za kushika mimba. Kuna sababu ambazo zinaweza kuifanya iwe vigumu kwa mwanamke kushika mimba. Wanawake wanao fanya kazi gumu na nyingi wana nafasi za chini kutunga mimba. Kuwa na mawazo mengi ama kufilisika kimawazo kuna punguza uwezo wa mwanamke kutunga mimba.

Usiwe na shaka ikiwa umekuwa ukijaribu kutunga mimba kwa muda. Asilimia kubwa ya wanawake hawakupata mimba kwa jaribio la kwanza. Zidi kujaribu na uwe makini kwa siku ulizo na rutuba zaidi. Kuwa mwangalifu kugundua dalili za mimba ya mwezi mmoja na mabadiliko mwilini yanayo tendeka.

Chanzo: Healthline

Soma Pia:Aina Ya Maumivu Ya Matiti Yanayo Ashiria Ujauzito: Aina Na Matibabu Yake!

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Dalili Za Mimba Ya Mwezi Mmoja Baada Ya Kufanya Tendo La Ndoa!
Share:
  • Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

    Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

  • Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

    Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

  • Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

    Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

  • Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

    Makosa Ambayo Wanawake Wajawazito Hufanya

  • Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

    Vidokezo vya Ujauzito Wenye Afya kwa Mama Mjamzito

  • Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

    Chakula Bora cha Kujifungua Mtoto Mrembo

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it