Sababu Za Kuona Damu Kwenye Maziwa Ya Mama

Sababu Za Kuona Damu Kwenye Maziwa Ya Mama

Mwigizaji mashuhuri kutoka Thai aliwashtua mashabiki wake baada ya kuweka picha za maziwa ya mama yenye damu.

Kuwa mama ni kazi ya mapenzi ambayo yaweza kuchukua damu, jasho na machozi  – kuongea kwa juu juu. Mwigizaji kutoka Thai, Panward Hemmanee, 39, aliweza kuwashtua mashabiki wake alipoweka picha kwenyae mtandao wa instagram ya damu kwenye maziwa ya mama baada ya kutumia pampu.

Mwigizaji aweka picha kwenye mtandao za damu kwenye maziwa ya mama

Thai actress Panward Hemmanee blood in breast milk

Hio picha ilikuwa ni filamu iliyoonyesha chupa ikiwa na maziwa iliyokuwa na damu na picha iliyokuwa na damu iliyoganda kwenye bakuli na nukuu, “kwa nini kuna maziwa iliyoganda inayotoka?”

Ilihali mashabiki wengine waliitikia kuwa walikuwa wameweza kupatwa na jambo kama lile pia, wengine walishangazwa na kumhimiza Pan kupata ushauri wa daktari.

View this post on Instagram

A post shared by Panward Hemmanee (@ppanward) on

Panward, ambaya ana mtoto wa kiume na wakike, alieleza kuhusu alicho shuhudia na wana habari wa Thai  katika tukio jana(Sept 4), akieleza kuwa daktari wake alimwambia kuwa amekuwa akitumia kifaa cha breast pump vibaya.

Kulingana na daktari wake, alikuwa akitumia pampu iliokuwa na nguvu sana iliyosababisha mishipa ya damu kupasuka na kupasuka kwa chuchu. Damu kutoka kwa mishipa iliyoharibika iliweza kujipenyeza hadi kwa maziwa.

“Nilielewa kimakosa kuwa kusukuma maziwa kwa nguvu kupita kiasi ingeweza kutoa maziwa vizuri na kwa upesi kuzuia kuganda, akasema Panward huko Thai.

Nilikuwa najaribu kuhimili uchungu nikifikiria ilikuwa kawaida. Lakini sasa naelewa kuwa sio lazima…..naweza kuitikia kuwa ata kama mimi ni mama wa watoto wawili, kuna mambo kadhaa ambayo bado siyajui,” akaongeza.

Panward pia alishiriki kuwa alikuwa ameendelea kusukuma maziwa baada ya daktari wake kumhakikishia kuwa haikuwa shida kubwa.

View this post on Instagram

เรื่องน้ำนมของเป้ย คุณหมอได้ทำการตรวจแล้วนะคะ และแจ้งว่าสาเหตุเกิดมาจากการใช้เครื่องปั๊มนมซึ่งเป้ยใช้เบอร์ที่มีแรงดันสูงเกินไป จึงทำให้เกิดเส้นเลือดฝอยฉีกขาด และทำให้หัวนมแตก แต่ไม่มีอะไรร้ายแรงค่ะ และคุณหมอก็ตรวจดูไม่พบก้อนเนื้อหรืออาการอักเสบ นมตัน แต่อย่างใด ส่วนก้อนเลือดนั้น เกิดจากระยะเวลาที่เป้ยปั้มเป็นระยะเวลาที่นานพอสมควร จึงทำให้เลือดจับตัวเป็นก้อนซึ่งพบได้ทั่วไปค่ะ เป้ยยอมรับว่าค่อนข้างตกใจเพราะว่าก่อนหน้าที่เคยเป็นนั้นเป็นแค่ลักษณะแค่น้ำนมสีชมพู แต่ไม่เคยเป็นขนาดนี้ จึงทำให้เป้ยค่อนข้างคิดมากและวิตกกังวลกับเรื่องนี้มากๆค่ะ…เป้ยต้องขอบคุณสำหรับหลายๆคนที่เป็นห่วงถามไถ่กันเข้ามา และแชร์ข้อมูลต่างๆให้เป้ยทราบถึงลักษณะอาการนะคะ ขอบคุณมากๆค่ะ…หน้าที่ความเป็นแม่นั้น ยอมรับว่ามีเรื่องต่างๆเยอะแยะมากมายเข้ามาทำให้เป้ยเรียนรู้ไม่มีวันหมดจริงๆ (ทั้งที่ลูก2แล้วนะคะ ) แต่ก็จะพยายามทำเต็มที่ที่สุด และทำให้ดีที่สุด เท่าที่ผู้หญิงคนนี้จะทำได้ ไม่เหนื่อยที่จะสู้ต่อไป #มนุษย์แม่ ✌🏻

A post shared by Panward Hemmanee (@ppanward) on

Ingawaje, hali ya Panward sio nadra kwa kina mama wanaonyonyesha, ujumbe wake ulitia mwanga kwa shida zinazo wakuba wanaonyonyesha.

Damu kwenye maziwa ya mama ni kawaida

blood in breast milk

Linaweza kushangaza kuona damu kwenye maziwa kwa kina mama, lakini muuguzi aliyehitimu Donna Murray alisisitiza kuwa si jambo la kutia wasiwasi.

Sababu huwa mbalimbali kutoka kwa chuchu zilizoharibika na mishipa iliyovunjika kama kesi ya Panward ama hali kama vile kititi maambukizi yanayo athiri mpaka asilimia 20% ya kina mama wanaonyonyesha.

Kina mama wanaweza kuendelea kunyonyesha na kuwapa watoto wao maziwa iliyosukumwa na pampu ata kama ina damu kidogo.

Ingawaje, kina mama waliona maambukizi ambayo inaweza kusabazwa kupitia kwa damu kama vile viral hepatitis na HIV, wanafaa kuzungumza na daktari kabla ya kunyonyesha.

Kutoa Maziwa ya mama hakupaswi kuuma

Sababu Za Kuona Damu Kwenye Maziwa Ya Mama

Picha: Wikimedia commons

Ingawaje ni kawaida kuhisi uchungu kwa muda mfupi na kulainika kila mwanzo wa kusukuma, kina mama wanafaa kutafuta usaidizi iwapo wanahisi uchungu kwa vipindi mara kwa mara.

Wataalam wanasema kuwa mambo ambayo husababisha kuhisi uchungu unaposukuma maziwa mojawapo ni kutumia kasi isiyotakikana na saizi ya mirija isiyokubalika. Kina mama ata wanaweza kumalizia kuharibu matiti yao na tishu za chuchu zao.

 Makala haya yalichapishwa tena kwa idhini ya from AsiaOne kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

SOMA PIA: This Mummy Shares A Great Recipe For Boosting Breast Milk Supply!

Written by

Risper Nyakio