Sababu 7 Za Kuwa Hamasisha Wanawake Kwenye Jamii

Sababu 7 Za Kuwa Hamasisha Wanawake Kwenye Jamii

Uhamasishaji wa wanawake huwapa uhuru, na njia zaidi za kufanya uamuzi. Pia, masomo ni kifaa cha uhamasishaji kilicho muhimu kama fedha.

Mengi yame andikwa kuhusu kuhamasisha wanawake na yana zidi kurudiwa mara baada ya nyingine. Kikundi kilicho filisishwa duniani kitawezaje kujitoa katika mahali ambapo mara baada ya nyingine, kina zidi kupata chini ya kinacho wafaa kama binadamu kila siku? Wanawake hupata masomo ya chini, mshahara wa chini kwa kazi iliyo fanywa katika nchi nyingi kama sio zote. Wakati ambapo hawapatiwi chini ya wanacho hitaji, shughuli zao za kila siku zina fuatiliwa kutoshea kwenye jisanduku linalo wazuia kwa kila njia. Jambo ambalo lina wakazia wanawake kuishi maisha mema. Mbali na kuwa wanawake watapata uhuru wao, umuhimu mwingine wa kuwa hamasisha wanawake ni jukumu lake katika maendeleo endelevu.

Umuhimu wa kuhamasisha wanawake

kuhamasisha wanawake

Cha zaidi ni kuwa, umuhimu wa kuwa hamasisha wanawake hauwezi sisitizwa vya kutosha. Ina athari zaidi. Mwanamke anapo hamasishwa ana nafasi zaidi za kufanya uamuzi, aina ya uamuzi anao fanya, na wakati anapo amua. Hasa katika nyanja za ujinsia na uzazi. Masomo ni mojawapo ya njia kuu za kuwa hamasisha wanawake. Lakini ina hitaji zaidi ya hayo. Ina hitaji pia kubadilisha sera zinazo athiri uhusikaji wa wanawake katika maisha ya uma, yanayo kubalisha u-imara wa kifedha kupitia kwa usawa kazini.

Kuna sababu nyingi kwa nini uhamasishaji wa wanawake ni muhimu. Hapa chini kuna sababu chache.

1.Kuongeza uwezo

Wanawake wana tengeneza hadi asilimia 50 ya idadi ya watu wote ulimwenguni. Lakini kuna mahali duniani ambapo uhusikaji wa wanawake na kuchangia kwao katika maisha ya uma yana katazwa kufuatia jinsia yao. Kuna nafasi zisizo sawa na kuegemea ujinsia mmoja katika mahali pa kazi, na kuwacha uwezo huo kama hujatumika.

2. Kupunguza vita vya kinyumbani

Vita vya kinyumbani ni maarufu katika ndoa na nyumba nyingi. Huku wanao athiriwa wakibaki chini ya wanaume wanao washambulia kwa sababu wanakosa fedha za kutoka chini ya bawa la washambulizi wao. Kwa hivyo wana baki na kuendelea kufanyiwa chochote na wanaume wale. Uhamasishaji wa wanawake huwapa uhuru, na njia zaidi za kufanya uamuzi. Pia, masomo ni kifaa cha uhamasishaji kilicho muhimu kama fedha, kwa sababu mwanamke anapata kuelewa kinacho kubalika na kisicho.

3. Kuonyesha ushupavu wa wanawake

kuwa hamasisha wanawake

Huwezi onyeshana uwezo wako ikiwa hauko hata kwa uwanja ukicheza. Lazima uwepo ili uonyeshana unacho weza kufanya. Na wanawake wame kosekana kabisa kwenye uwanja hata katika viwango vya nchi nzima. Usimamizi huu ni muhimu sana kuonyesha kuwa wanawake ni sawa ama hata wana uwezo zaidi na shupavu ikilinganishwa na wanaume. Uhamasishaji wa wanawake unasaidia pakubwa katika safari ya uhusikaji.

4. Kupunguza umasikini

Kwa sababu ya majukumu ya kijinsia, wanawake wana tarajiwa kuto fanya kazi. Wana tarajiwa kubaki nyumbani na kutunza, kuhakikisha kuwa familia iko sawa, wakati ambapo wanaume wana tarajiwa kutimiza jukumu la kutafuta pesa za kuikimu familia. Kuenda kazi kila siku ili kupata chakula. Kwa kuwahamasisha wanadada kuenda kutafuta pesa pia, wanaume wana punguziwa mzigo, na kupunguza umasikini katika duara ya familia.

5. Kupigana dhidi ya ufisadi

Vita dhidi ya mabaya yote kwenye jamii ukihusisha ufisadi, kudhililishwa kingono, kuibiwa na aina zote za mabaya, vinahitaji mikono yote kazini. Na mikono yote itakuwaje kazini wanawake wasipo patiwa nafasi sawa kama wanaume inapofika kwa kazi kama vile kwa polisi. Sio kana kwamba wanawake wachache walioko katika nyanja hizi hawafanyi vizuri, sawa na wanaume ama zaidi. Na haiishi na kazi rasmi. Wanawake wanapo simami viti vya kuongoza uma, hawachukuliwi kwa makini, kama wanaume.

6. Hisia chanya

Kila mtu anataka kuwa na hisia nzuri na chanya kujihusu. Ungependa kuchangia na kujulikana kwa unayo changia. Hisia chanya huja na kuchangia na kutumika, kwa familia, kazini ama kiwango cha nchi. Uhamasishaji wa wanadada unawa himiza kuchangia katika maendeleo.

Hizi ni baadhi ya faida za kuhamasisha wanawake, lakini kwa jumla, tunapaswa kujenga jamii inayo endelea. Uhamasishaji huu unaweza timika kwa njia tofauti, na mahali pa kuanza baadhi ya wakati hulingana na mahali uliko. Kuwaelimisha, kuwapa majukumu ya kufanya uamuzi, kupata nafasi zaidi za kazi, kupunguza kazi bila malipo, na kuwa mfano wa kuigwa.

Soma Pia:Jinsi Ya Kulea Wasichana Shupavu Wenye Maarifa Wasio Jua Maana Ya ‘Siwezi’

Written by

Risper Nyakio