Utafiti: Faida Za Manii Kwa Mtoto Wako Unapokuwa Na Mimba

Utafiti: Faida Za Manii Kwa Mtoto Wako Unapokuwa Na Mimba

Wataalum wanasema kuwa mimba kwa ujauzito ina afya kwako. Na sio kwako tu ila kwa mtoto pia.

Inapofika kwa manii, yote ambayo wanawake wote wajawazito hushughulika nayo ni kazi yake katika kusaidia katika kutunga kwa yai. Ila, haimaanishi kuwa inaenda unapo pata mimba. Iwapo unafurahi kufanya mapenzi sana ama kufanya kitendo kile mara moja baada ya wiki chache, huenda ukawa unashangaa, je manii ni mazuri kwa mtoto wako unapokuwa na mimba? Iwapo wataalum wana himiza ngono ya mimba, faida za manii kwa mtoto wako.

Huenda ukajua baadhi ya faida za ngono ya ujauzito: shinikizo ya damu iliyo punguka, usingizi bora, uhusiano ulio imarika na mchumba wako. Ila, ulifahamu kuwa manii yana faida kwa mtoto wako? Huku nyingi kati ya hizi zikihitaji utafiti zaidi, hizi ndizo sababu kwa nini kuanzisha manii kwa mfumo wako wa uzazi huenda ukawa sio jambo mbaya.

Faida Za Manii kwa Mtoto Wako

Utafiti: Faida Za Manii Kwa Mtoto Wako Unapokuwa Na Mimba

Utafiti wa hivi majuzi imetoka kwa Robinson Institute katika Chuo Kikuu cha Adelaide. Ilipata kwamba seminal fluid ya mwanamme ina athari kubwa kwa afya ya mtoto wako inapo achiliwa kwa mfumo wako wa uzazi.

"Tumegundua kwamba sio manii tu. Ila vitu vyote kwenye fluid hiyo ina jukumu muhimu kwenye afya ya usoni ya mtoto wako. Na hii inaonekana sana kwenye watoto wa kiume," mtafiti mkuu na Mkurugenzi wa Robinson Institute, Profesa Sarah Robertson alisema.

Robertson na wenzake kutoka Chuo Kikuu cha Australia walifanya somo lao wakitumia vikundi viwili vya panya walio kuzwa kwenye maabara. Timu hii ilisoma athari za seminal fluid kwa ukuaji wa kiini tete na afya baada ya kuzaliwa. Kabla ya kuwekwa pamoja na panya wa kike, kikundi cha kwanza cha panya kilitolewa gland ya seminal vesicle. Ili kusimamisha utoaji wa seminal fluid. Kikundi cha pili cha panya kiliendelea kuwa na panya wa jinsia ya kike bila usaidizi wowote kutoka timu ya utafiti.

Hapo mwanzoni, mtoto wa panya wa kikundi cha kiume zilizo kuwa na seminal vesicle gland zilikuwa na kipimo cha chini cha uzito. Ila, punde tu baada ya kufikisha umri wa makamo, uzito uliongezeka kwa kasi sana na mara kwa mara kupata uzito zaidi. Matatizo ya afya ya kikundi hicho kingine cha panya yaliendelea kuongezeka, ikiwemo kisukari cha aina ya pili, hypertension, kuchakata kwa chukula kuliko punguka.

"Tunafahamu kutoka kwa masomo mengi yaliyo fanyika kuhusu uzito mwingi kwenye waume unaweza fuatiliwa kwenye usaidizi wa mama kwenye muda wa kutunga," Robertson alieleza. Ila, sasa tunaanza kuelewa ishara ngumu na ujumbe kupitishwa kupitia kwa seminal fluid na matokeo ni kuwa seminal fluid na tishu za kike zina ingiana kwa njia za kufurahisha."

Utafiti Zaidi Na Matokeo

Kupitia kwa utafiti zaidi, watafiti walipata ishara hasa kwenye seminal fluid zilizo ingiana na mfumo wa uzalishaji wa kike. Pia ilikuwa na kazi kuu katika utungaji na afya ya uchakataji wa watoto. Kuashiria kutoka kwa seminal fluid na jukumu katika kubadili mfumo wa uzalishaji wa kike. Ni muhimu pia katika kuweka kazi ya manii.

"Iwapo seminal fluid si nzuri, ina athiri uwezo wa mwanamke kuegeza embryo. Iwapo ina ishi hata na seminal fluid isiyo nzuri, fetusi itabadilika. Na kuifanya iwe na uwezekano wa kupata matatizo ya shinikizo la juu la damu, uzito mwingi," Robertson alisema.

Kwa kukosa uwezo wa uzalishaji, karibu robo ya panya kutoka kwa kikundi cha seminal-deficient, walipata mimba. Ila walikuwa na watoto wachache ikilinganishwa na panya wa mimba ya kawaida. Watoto wa kiume kutoka kwa kikundi cha panya cha seminal-deficient walikuwa na tatizo la ukuaji mbaya na maendeleo ya kiinitete. Timu ya utafiti inaangalia kuzalisha matokeo yao kwa binadamu. Zinasaidia kutatua matatizo ya afya ambayo watato wanao zaliwa kupitia kwa IVF wanapata.

"Ni dhahiri kwetu sasa kuwa seminal fluid inatoa ishara za kiinitete kinahitaji kwa mwanzo bora wa kuanza maisha. Mbinu za kusaidia kujifungua, hata kama ni nzuri leo, haziwezi fanana na ugumu huu. Kwa hivyo, ina saidia iwapo tunaweza pata njia zingine za kuhimiza wanandoa kutunza afya yao ya uzalishaji. Ikiwemo waume na wanawake," Robertson aliongeza.

Hitimisho

is sperm good for your baby

Hata kama utafiti unahitajika, ni dhahiri kuwa manii yanapaswa kujulikana zaidi kushinda ya vile yana vyo julikana. Manii yana fanya kazi nyingi zaidi ya kutunga tu. Manii yenye afya yanafanya kazi na mwili wako kutunza mtoto wako anaye kua. Ina faida kwa kiinitete kwa sehemu hizi:

  1.  Inasaidia kulinda dhidi ya ukuaji wa kiinitete na maendeleo.
  2. Manii yana saidia mwili wako kuegeza mtoto wako anaye kua.
  3. Inasaidia kwenye mfumo wa kinga wa mtoto.
  4. Manii yana protini zinazo saidia mfumo wa kinga wako na wa mtoto wako.
  5. Inalinda mtoto kutokana na athari za kisukari na uzito mwingi.

Kumbukumbu: Medical Daily

Soma pia: Heres how to know if your partners sperm is healthy just by LOOKING at it

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio