Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Kumpa Mtoto Masi Kunasaidia Kupunguza Uchungu Kulingana Na Utafiti

3 min read
Kumpa Mtoto Masi Kunasaidia Kupunguza Uchungu Kulingana Na UtafitiKumpa Mtoto Masi Kunasaidia Kupunguza Uchungu Kulingana Na Utafiti

Watafiti wamegundua kuwa kuna faida zaidi za masi kwa watoto wachanga - inawasaidia kuhisi vyema katika tukio la kukwaza ama lenye uchungu.

Wazazi huwapa watoto wao wachanga masi hasa kabla ya tukio la kukwaza kama vile chanjo. Watafiti wamegundua kuwa kuna faida zaidi za masi kwa watoto wachanga - inawasaidia kuhisi vyema katika tukio la kukwaza ama lenye uchungu.

Somo lili tafiti utendaji wa ubongo wa watoto 32 kabla na baada ya kipimo cha damu. Nusu ya watoto hawa walipapaswa na brashi laini kabla ya kipimo. Watoto hawa walidhihirisha asilimia 40 ya uchungu mdogo kwenye ubongo wao.

Madaktari wanasema kuwa kasi ya kupiga masi ni sentimita 3 kwa kila sekunde.

"Ikiwa tunaweza eleza zaidi muundo wa neva wa kibiolojia wa watoto wadogo, tunaweza boresha ushauri tunao patia wazazi wa jinsi ya kufariji watoto wao," alisema daktari Rebeccah.

Kumpa mtoto masi kuna fanya neurons za hisia kwenye ngozi zinazo julikana kama afferents. Ambazo zime dhibitika kupunguza uchungu katika watu wazima.

Faida za masi kwa watoto

mtoto kutoa jasho jingi akiwa amelala

Matendo ya mguso yame dhihirika kuwa liza wazazi na watoto. "Kazi ya hapo awali, imedhibitisha kuwa mguso huenda ukaongeza utangamano wa ulezi na kati ya wazazi, kupunguza fikira nyingi kwa wazazi wote na mtoto, na kupunguza muda mnao kaa hospitali," alisema daktari Rebeccah.

Hatua inayo fuata ni utafiti kwa watoto walio zaliwa kabla ya kukomaa. Mfumo wao wa hisia bado unakua na upungufu wa uchungu wa utaratibu wa kimatibabu unaweza wafaidi watoto hawa wachanga.

"Tayari tuna fahamu kuwa mguso chanya- kama vile utunzi wa ngozi kwa ngozi- unafanya tofauti kubwa kwa watoto katika kipindi cha neonatal. Pia ina saidia wazazi kuwa na uhusiano wa karibu na mtoto wao," alisema Caroline Lee-Davey, mkurugenzi mkuu wa Premature and Sick Baby Charity Bliss.

Utafiti zaidi unazidi kufanyika kuhusu jinsi ya kupunguza uchungu katika watoto ambao hawaja komaa kupitia kwa mguso wa wazazi.

"Watu wengi hawafahamu nambari za utaratibu wa kimatibabu ambao watoto wanao zaliwa kama hawaja komaa wana pitia wanapo kuwa hospitalini. Kitu chochote ambacho kinaweza punguza kuto starehe kwa mtoto ni hatua kubwa katika nyanja hii ya utafiti," alisema Caroline.

Mwongozo Wa Hatua Kwa Hatua Wa Kumpa Mwanao Masifaida za masi kwa watoto

  1. Pasha moto kiwango kidogo cha mafuta kwa kusugua kati ya viganja vyako
  2. Kwa utaratibu, sugua kwenye ngozi ya mtoto wako, ukianza na miguu yake
  3. Mpake sehemu zingine
  4. Kwa kifua na tumbo yake, kwa utaratibu, wekelea mikono yote miwili katikati ya mwili wake
  5. Tumia ncha za vidole vyako kumpa masi kwa mzunguko wa duara

Ili kuona jinsi zoezi hili ni la kusisimua, angalia video hii ya mtoto akifurahikia masi yake.

Chanzo: The University of Oxford

Soma Pia:Kuwa Makini Kuona Mabadiliko Haya Katika Mtindo Wa Kulala Wa Mtoto Wako

 

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Ages & Stages
  • /
  • Kumpa Mtoto Masi Kunasaidia Kupunguza Uchungu Kulingana Na Utafiti
Share:
  • Ukuaji Na Maendeleo Muhimu Katika Mtoto Wa Miezi Tatu

    Ukuaji Na Maendeleo Muhimu Katika Mtoto Wa Miezi Tatu

  • Wakati Sawa Kumpa Mtoto Mdogo Maji

    Wakati Sawa Kumpa Mtoto Mdogo Maji

  • Mambo 7 Ya Kufurahisha Kuhusu Kuwa Na Mtoto Wa Kike

    Mambo 7 Ya Kufurahisha Kuhusu Kuwa Na Mtoto Wa Kike

  • Kushikana Mikono Kunaweza Saidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi Kulingana Na Utafiti

    Kushikana Mikono Kunaweza Saidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi Kulingana Na Utafiti

  • Ukuaji Na Maendeleo Muhimu Katika Mtoto Wa Miezi Tatu

    Ukuaji Na Maendeleo Muhimu Katika Mtoto Wa Miezi Tatu

  • Wakati Sawa Kumpa Mtoto Mdogo Maji

    Wakati Sawa Kumpa Mtoto Mdogo Maji

  • Mambo 7 Ya Kufurahisha Kuhusu Kuwa Na Mtoto Wa Kike

    Mambo 7 Ya Kufurahisha Kuhusu Kuwa Na Mtoto Wa Kike

  • Kushikana Mikono Kunaweza Saidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi Kulingana Na Utafiti

    Kushikana Mikono Kunaweza Saidia Kupunguza Uchungu Wa Uzazi Kulingana Na Utafiti

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it