Faida Hizi 10 Za Scent leaf Kwa Ujauzito Zitakusaidia Kula Mara Kwa Mara

Faida Hizi 10 Za Scent leaf Kwa Ujauzito Zitakusaidia Kula Mara Kwa Mara

Scent leaf ina faida nyingi zaidi kuliko kutumika kwa supu za pilipili tu.

Mwanamke anapokuwa mjamzito, mabadiliko ya maisha yake yanakusudiwa. Sio rahisi kuwacha vitu ambavyo ulimi wako ulipenda miaka hii yote, ila baadhi ya vyakula lazima uviweke mbali wakati wa ujauzito wako. Iwapo unashangaa kama bado unaweza kula scent leaf ukiwa mjamzito, unapaswa kwanza kuelewa faida za scent leaf kwa ujauzito. Pia, kuna mambo unayopaswa kujua kuhusu mmea huu wenye harufu ya kuvutia.

benefits of scent leaf in pregnancy

You can eat scent leaf in pregnancy as far as you eat in moderation

Faida za Scent Leaf Kwa Ujauzito: Scent leaf ni nini?

Scent leaf ni mmea ama kiungo chenye harufu kinacho tumika kwenye supu na kitoweo. Unakua kwenye pande zilizo na joto za Nigeria. Jina lake la kisayansi ni Ocimum Gratissimum. Wana Efik wanaujua kama ntong, wana Igbo wanauita nchanwu na wa Yoruba kuuita efirin.

Ni rahisi kukuza, kuna ufanya kuwa maarufu kwenye mashamba ya wana Nigeria wengi. Mbinu hii ya kukuza scent leaf ni rahisi sana. Unaweza panda shina na itaanza kukua baada ya wiki mbili.

Matumizi ya scent leaf

Scent leaf inatumika vyema kwenye supu kama vile egusi, supu nyeusi, supu ya okro na kadhalika. Ni muhimu sana kwa supu ya pilipili ya nyama ya mbuzi, supu ya pilipili ya kuku na supu ya pilipili ya nyama ya ng’ombe na kadhalika. Baadhi ya watu hawatafurahikia supu kama haina scent leaf.

Scent leaf iliyo mbichi huenda ikawa na harufu sawa na basil. Unaweza ihifadhi kwa kukausha na kutumia iliyo kaushwa.

Virutubisho vilivyoko kwenye Scent Leaf

benefits of Scent Leaf In Pregnancy

Unapaswa kujua zaidi kuhusu mmea huu iwapo unapanga kuula; kwa sababu unataka faida zote za scent life katika ujauzito.

Scent leaf ina uwingi wa:

  • Kalisi
  • Iron
  • Phosphorus
  • Vitamini A
  • Na potassium

Hapa kuna faida 10 za scent leaf kwa ujauzito

vegetable soup

Watu kutoka Nigeria kote wanapenda ladha na harufu nzuri ya scent leaf, ila, ulijua kuwa ina faida nyingi za kiafya kwa wanawake na wanaume? Hapa kuna baadhi ya faida za kupendeza za scent leaf:

1. Kutatiza shida za kuto chakata chakula ama matatizo ya tumbo

Scent leaf inatuliza tumbo zisizo hisi vyema. Unaweza weka matawi machache kwenye maji moto na utengeneze chai. Chai hii inasaidia kutuliza dalili za kuendesha, kutokuwa na maji tosha mwilini na kuto chakata chakula.

2. Scent leaf inapunguza damu ya sukari

Kuna utafiti ulio dhibitisha kuwa scent leaf inapunguza sukari ya damu. Watu wanao tatizika kutokana na non-insulin dependent diabetes(NID diabetes) wanaweza tumia mmea huu kupunguza damu ya sukari.

3. Faida dhidi ya kuvu na bakteria

Scent leaf inasaidia kukumbana na bakteria na kuvu. Mojawapo ya sababu ambazo mmea huu unakumbana dhidi ya bakteria ni kwa sababu unakumbana dhidi ya nzi. Nzi za nyumba na za chupa zinajulikana kubeba vijidudu, ila nzi hizi hazitaenda mahali karibu na scent leaf kwa sababu ya harufu yake kali.

4. Faida za Anti-inflammatory

Scent leaf ina idadi kubwa ya kalisi, na kuifanya bora kwa afya ya mifupa. Kuila mara kwa mara kunaweza saidia kuepusha kuwa na mifupa isiyo na nguvu ama kutokua. Watu wanao kuwa na matatizo ya arthritis wanaweza faidika kutokana na kuongeza scent leaf kwenye lishe yao ama kwenye chai wanayo inywa.

Kuna faida nyingi sana za kula scent leaf unapokuwa katika safari yako ya ujauzito

faida za scent leaf kwa ujauzito

5. Ina boresha uzazi wa kiume

Faida za scent leaf kwa ujauzito zinaanza kabla ya kutunga mimba. Ina eugenol na epigenin fenkhona, ambayo inasaidia kufanya uume kwa wanaume uwe na nguvu zaidi. Inaweza wasaidia wanaume pia ambayo wana matatizo ya kumwaga kusiko komaa. Pia inaboresha utoaji wa manii na kuongeza idadi yake.

6. Inahimiza afya nzuri ya macho

Scent leaf ina vitamini A ambayo ni nzuri sana kwa afya ya macho. Inaweza ponya conjuctivitis ama Apollo, kupunguza shinikizo la juu la macho na kuepusha upofu wa usiku.

7. Scent leaf inakumbana na harufu mbaya

Unataka kutoka nje ya nyumba baada ya kula chakula kilicho na harufu kali? Tafuna scent leaf ili upate harufu freshi. Watu wanao tatizika na halitosis wanaweza kumbana na hali hii kwa kufanya mmea huu kuwa sehemu ya lishe yao mara kwa mara.

8. Kukabiliana na athari mbaya za uvutaji wa sigara

Uvutaji sigara unasababisha uharibifu wa wakati mrefu. Wizara ya Afya ya nchini inaonya kuwa wavutaji sigara wako katika hatari ya kufa wakiwa wadogo. Watu walio wacha kuvuta sigara wanaweza tumia scent leaf ili wapate afya nzuri.

9. Scent leaf inapigana dhidi ya mbu

Iwapo unaishi pande za kitropiki, unapaswa kujua kuwa mbu zinaweza kusumbua usingizi wako na kusababisha malaria. Scent leaf kwa ujauzito inaweza fanya kazi kupigana dhidi ya mbu, kwani nzi haziwezi kaa panapokuwa na harufu kali.

10. Utoaji wa maziwa

Bado unaweza furahikia faida za scent leaf baada ya ujauzito. Mama wanao nyonyesha wanao tatizika na utoaji mdogo wa maziwa wanaweza kunywa chai ya scent leaf ili kuongeza utoaji wa maziwa.

Je, unaweza tumia scent life kwa ujauzito?

Scent leaf ina afya katika ujauzito, ila unapaswa kula kila kitu kwa uthibiti. Furahia faida za afya za mmea huu unapokuwa mjamzito. Walakini, wanawake wajawazito wanapaswa kuepuka mafuta ya scent leaf. Mafuta haya yana uwingi usiofaa.

Kumbukumbu: NHS

Guardian.ng

Soma pia: 3 things you need to know about carbs during pregnancy

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Julie Adeboye kisha yakatafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio