Sababu 4 Zinazo Sababisha Ulemavu Wa Kiakili Wa Mtoto Unapokuwa Mjamzito

Sababu 4 Zinazo Sababisha Ulemavu Wa Kiakili Wa Mtoto Unapokuwa Mjamzito

Kutokuwa mvinyo wakati wa ujauzito wako kutamsaidia mtoto wako sana.

Wamama. ujauzito huwa mojawapo ya mambo ya kufurahikia zaidi kwenye maisha yako bila shaka. Walakini, pia ni wakati ambapo unahitaji kuwa makini zaidi kuhusu unacho kula kunywa ama kujifunua kwani huenda vitu hivi vika athiri ukuaji wa mtoto- hasa wa ubongo wake. Kwa mfano, kunywa pombe unapokuwa mjamzito huenda kukafanya upate hali inayo julikana kama kaswende ya kileo ya kiinitete (fetal alcohol syndrome kwenye watoto) inayo athiri ubongo wake.

Kwa hivyo ili uwe na ujuzi na maarifa, hapa ni vitu vinne vya juu ambavyo huenda vikapelekea ukuaji wa polepole wa ubongo (ulemavu wa kiakili) kwenye mtoto wako unapokuwa mjamzito.

fetal alcohol syndrome kwenye watoto

Unacho kula na kunywa wakati wa ujauzito kina athiri ukuaji wa ubongo wa mtoto wako

1. Hali za kimaumbile

Kuna anuwai nyingi ya hali ya kimaumbile ambayo huenda ikasababisha ubongo wa mtoto kutokua wakati wa ujauzito. Kwa mfano:

 • Magonjwa ya kurithiwa kama vile Down’s Syndrome, Phenylketonuria na Ugonjwa wa Tay Sachs.
 • Matatizo ya kimaumbile huenda yakatendeka wakati ambapo wazazi wote wawili wana jeni ambazo huenda zikapelekea jambo hili.

Ni muhimu kufanyiwa aina ya vipimo vya utunzaji wa ujauzito, ultrasound scans ama ushauri wa jeni kabla ya siku yako ya kujifungua kufika. Kwa njia hiyo, utakuwa na maarifa zaidi kuhusu hali ambazo huenda zikatendeka ili uzithibiti vyema na mtaalum wa afya ya kizuizi cha uzazi.

2. Kujiwacha huku umefunuliwa bila usalama kwa hali sumu
 • Kufunuliwa kwa madini kama risasi, zebaki na hali zingine za sumu za mazingira huenda yaka hatadharisha mtoto wako kupata ulemavu wa kiakili anapo zaliwa.
 • Vitu vingi zaidi vya sumu hutokana na mahitaji ya kijamii. Kunywa mvinyo, kuvuta sigara na wengine ama miongoni mwa wengine (kupelekea kuvuta sigara kwa mpito) ama kuchukua madawa ya kulevya ni miongoni mwa sababu zinazo hatadharisha kujifungua mtoto mwenye ulemavu wa kiakili. Mama anaye tarajia anapaswa kujidhibiti kunywa vileo kwa sababu huenda kukasababisha kaswende ya kileo ya kiinitete (fetal alcohol syndrome) inayo endelea hadi mtoto anapo kuwa ukubwani wake.

Fetal Alcohol Syndrome kwenye watoto (Kaswende ya Kileo ya Kiinitete)

Fetal Alcohol Syndrome (FAS), kwa urahisi ni kuumiwa kwa sana kwa seli za ubongo za mtoto kwenye uterasi kunako sababishwa na vileo ambavyo mama anachagua kunywa.

Vileo hivi vinatembea kwa kasi kwenye placenta na kupita kwenye mipaka ya damu ya mtoto-na ubongo. Vileo hivi vinaosha akili ya mtoto inayokua. Damu ya mtoto inajazwa na pombe hii- kiwango sawa na cha mama – ila inabaki ikizunguka kwa muda mrefu.

Kuna athari nyingi za pombe kukaa kwenye mfumo wa mtoto, bila kuthibitiwa kwa:

 • Ulemavu wa kiakili
 • Kupunguka kwa sana kwenye saizi ya mwili na uzito anapozaliwa
 • Kutokuwa sawa kwa sehemu za uso ambazo huenda zika athiri mapua, midomo na nyusi
 • Matatizo ambayo hupelekea kwa moyo, mfumo wa mkojo na mfumo wa mifupa na sehemu nyeti kutofanya kazi vyema

Utafiti mpya (2018) umedhihirisha kuwa kunywa kiwango chochote kile ni mbaya kwako.

fetal alcohol syndrome kwenye watoto

Fetal Alcohol Syndrome kwenye watu wazima

Watoto wanao adhiriwa na FAS wanakuwa na kuwa watu wazima wenye matatizo kama vile:

 • Kuto kuwa na uwezo imara wa kutangamanisha
 • Kukasirika virahisi
 • Kuwa hai zaidi
 • Kukosa ukuaji na hatua muhimu za kilugha
 • Kuwa na uwezo mdogo wa maarifa (IQ) kuliko wa kawaida
 • Kuwa na uhusiano mgumu na matatizo shuleni
 • Kujihusisha katika shughuli za kihatia na kulevya
3. Magonjwa ya kusambaa na majeraha mengi

Mama mjamzito ana athiriwa na magonjwa mengi ya kusambaa kama vile meningitis na surua na huenda akajifungua mtoto aliye na ulemavu wa akili. Ugonjwa huu huenda ukasababisha hali kama vile hydrocephaly iwapo haisababishi hali hii.

fetal alcohol syndrome kwenye watoto

Watoto wanao zaliwa bila kukomaa wako kwa hatari ya upata ulemavu miaka ya usoni | Picha shukrani kwa: Pexels

4. Matatizo wakati wa ujauzito
 • Watoto kukosa hewa mama anapojifungua huenda kukasababisha kuumia kwa akili na ukuaji wa ulemavu wa kiakili.
 • Watoto ambao hawaja komaa huathiriwa pia. Kuna sababu nyingi zinazo athiri kuzaliwa kabla ya wakati, ila ni kawaida kwa mtu aliye na preeclampsia. Hii ni hali inayo athiri mama na mtoto. Preeclampsia ina fanya placenta kutopata damu na kufanya mtoto anayezaliwa kuwa mdogo zaidi kuliko kawaida.

 

Kumbukumbu: Florida Hospital, WebMD, Healthline, Elsevier, Otago Daily Times

Soma pia: Sleeping on your back during pregnancy might increase the risk for stillbirth

Written by

Risper Nyakio