Je, Kumea Meno Kuna Sababisha Joto Jingi Katika Watoto? Jinsi Ya Kujua

Je, Kumea Meno Kuna Sababisha Joto Jingi Katika Watoto? Jinsi Ya Kujua

We've also included tips to help calm down your baby, too.

Punde tu mtoto wako anapofikisha miezi minne hadi saba ya umri, huenda ukagundua kuwa tabia zake zimebadilika kidogo. Huenda wakawa wasumbufu zaidi kuliko alivyo kwa kawaida, kutoa mate mdomoni ama anakaa hana hamu ya kula. Kwa kawaida, hizi ni ishara zenye zina julikana kwa sana za kuanza kumea meno. Walakini, ishara moja ya kutia shaka ya wakati huu ni kuwa kumea meno husababisha joto jingi. Baadhi ya maswali ambayo huenda ukakuwa nayo ni kama vile: kweli, watoto hupata fever from teething ama kuna sababu ingine hatari? Je, nitajua ni nini? Ni lini napaswa kuwa na wasiwasi? Tuko hapa kujibu maswali haya. Ila kwanza…..

Je, nitajua aje iwapo mtoto anamea meno ama la?

baby teething

Sio watoto wote wanao kuwa sawa, na kila mtoto huonyesha ishara tofauti za kumea meno. Baadhi ya watoto hawaonyeshi ishara zozote, wakati watoto wengine hukasirika sana. Bado, kuna ishara chache za jumla zenye maana kuwa mtoto wako anamea meno, kama vile:

 • Kutoa meno kwa sana
 • Kusumbua zaidi kuliko wakati wa kawaida
 • Kulia kwa sana
 • Wanapo anza kuuma pete za kutia meno ama vitu vigumu na kukataa kuachilia

Ukigundua baadhi ya hizi, kuna uwezekano kuwa meno ya kwanza yameanza kumea. Dalili huendelea kuwa mbaya zaidi kati ya mwezi wa 6 hadi wa 16.

Je, nitajuaje iwapo kumea meno kunamfanya mtoto kuwa na joto jingi, ama ye ni mgonjwa?

teething

Jibu ni rahisi: ina lingana na kiasi cha wingi wa joto hii. Kuongezeka kwa joto ya mwili kwa kiwango kidogo huenda ikawa ni kufuatia kuanza kumea meno. Wakati ambapo joto jingi kuzidi 38 degrees huenda kukawa na maana kuwa mtoto wako ni mgonjwa.

Ila, kwa nini joto jingi hufuatia kumea kwa meno kwenye watoto? Utafiti kutoka kwa makala wataalum wa watoto waligundua kwamba kulikuwa na kutokuwa sawa kwenye utafiti huu. Baadhi ya utafiti ulipata kwamba joto jingi ni ishara ya kuanza kumea meno iwapo wengine hawakugundua chochote.

Cha kusisimua, kuna uhusiano kati ya kupata meno meno na joto jingi. Watafiti wana husisha ongezeko la fikira nyingi kwenye mwili wa mtoto kuwa juu ya kuanza kumea meno. Huenda ikasababisha mfumo wa kinga wa mwili wake kutokuwa na nguvu, na kumfanya augue jotot jingi na maradhi.

Kwenye hatimisho yake, waandishi walisema kuwa ni kawaida kwa mtoto wako kuwa na ongezeko la joto mwilini anapo anza kumea meno – ila si joto jingi sana. Ni hatari kupuuza na kudhani kuwa kumea meno peke yake ndicho chanzo kwani huenda kukawa na ugonjwa unao sababisha.

Huenda ikawa kanganya wazazi zaidi kwani baadhi ya ishara za kawaida za kuanza kumea meno – kama vile kuto tulia, ama kukosa hamu ya kula, ama kushindwa kulala – huenda pia kukamaanisha kuwa mtoto wako anaugua maradhi.
Huenda ikawa vigumu kutambua kwa kuangalia mara ya kwanza, ila, dalili zifuatazo zinapaswa kuwa dhibiti:
 • Mapua yaliyo fungana
 • Kuchemua
 • Kukohoa
 • Kinya kilicho maji maji
 • Kutapika
 • Upele wa ngozi
teething causes fever

Teething causes fever, but only a slight increase in body temperature. Having a rash is a red flag for all sorts of other serious illnesses, so please visit a doctor if your little one shows such skin abnormalities. | Image Source: Stock Photo

Hizi ni ishara zinazo ashiria kuugua, kama vile baridi ama wadudu wa tumbo. Iwapo una shaka kuwa huenda ni jambo lenye kuhatarisha, wasiliana na mtaalum wa afya ya watoto amfanyie vipimo zaidi.

Nitafanya nini kumtuliza mtoto wangu? Fever from teething

Kwa hivyo, umewasiliana na mtaalum wa afya ya watoto na kutamatisha kuwa mtoto wako ni mgonjwa. Ni kesi ya mtoto wako kumea meno (na jambo hili linamfanya apate joto jingi). Utamsaidiaje kupunguza ishara hizi?

Kuna mwongozo mfupi hapa wa kukusaidia, mama na baba!

Ongeza mchakato kwenye gums za mtoto…
 • Nawa mikono kisha umsugue gums zake
 • Mkubalishe mtoto wako kuuma pete za kumea meno zilizo baridi ila si sana
 • Kwa kutumia kinguo chenye maji kilicho na baridi iwapo umekosa pete za kumea meno za mtoto
Usidhubutu….
 • Kuachilia pete ya kumea meno iwe baridi. Naam, vitu baridi zinasaidia kumtuliza mtoto – ila sio baridi zaidi. Pete za kumea meno zilizo gandishwa:
  • Huenda vikaathiri gums za mtoto wako!
  • Lika hatarisha pete hii kutoboka na kuviachilia vitu vilivyo ndani. 
 • Zipe gums za mtoto wako masi kwa kutumia gels na umpe tembe za kumea meno. Hii ni kwa sababu:
  • Hazimtulizi mtoto wakati wote.
  • Huenda baadhi ya vitu vikawa na belladonna (mmea ulio hatari) ama benzocaine (kemikali inayo saidia kutuliza gums). Zote huenda zikahatarisha mtoto wako. Kwa kuongeza, Food and Drug Administration huko Umarekani wanaeleza kuwa huenda vitu vilivyo ndani vikapunguza hewa kwenye mishipa ya damu.
 • Mpe mtoto wako mdogo ibuprofen moja ama pale ambapo kuna angalau mtoto wa miezi sita ama mtaalum wa afya ya watoto anapo agiza. Madawa haya huenda yakasaidia kumtuliza kutokana na uchungu wa kumea meno. Ila, ibuprofen ni dawa yenye nguvu, na huenda ikawa na athari hasi kwa mtoto. Kuna kesi ambapo watoto wamepata mzio wa ibuprofen. Huenda ukachagua kumpa paracetamol, iwapo kama unashaka ama hauna uhakika, ni vyema wakati wote kuuliza mtaalum wa afya kwanza.

Je, Kumea Meno Kuna Sababisha Joto Jingi Katika Watoto? Jinsi Ya Kujua

Nitamtembelea daktari lini?

Kama tulivyo taja hapo awali, iwapo mtoto wako hatulii, huenda ikawa ni mgonjwa ama ana mea meno. Zipo, walakini, ishara dhabiti kuwa unapaswa kumpeleka mtoto wako kwa mtaalum wa afya ya watoto. Shauriana na mtaalum wa afya ya watoto iwapo mtoto wako:

 • ana umri wa chini ya miezi mitatu* na anaugua kutokana na jasho ya 38 degrees Celsius ama zaidi.
 • ana zaidi ya miezi mitatu na ana joto ya zaidi ya 39 degrees Celsius kwenye kipima joto.
 • ana endelea kuwa na joto jingi mwilini baada ya siku moja.
 • Ana kinyesi maji maji, kutapika ama upele.
 • Ana onekana kuhisi kulala ama mgonjwa.
 • Hatulii hata ukitia juhudi zote.

Meno ya kwanza yanayo kua kwenye mtoto wako (na ambapo meno husababisha joto jingi) huenda likawa la kusumbua kwako na kwa mtoto wako. Ila, usisahau kuwa kumea meno ni wakati wa kukua – halita dumu daima.

*Tahadhari: Iwapo una shuhudia ongezeko la joto jingi  kwenye watoto chini ya miezi mitatu, tafadhali hakikisha umemtembelea mtaalum wa afya ya watoto, huenda ikawa si fever from teething.

References: Paediatrics JournalWebMD

Also Read: Is teething jewellery safe for your baby?

Republished with permission from theAsianparent

Any views or opinions expressed in this article are personal and belong solely to the author; and do not represent those of theAsianparent or its clients.

Written by

Risper Nyakio