Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Mwongozo Halisi Wa Ratiba Ya Chakula Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

3 min read
Mwongozo Halisi Wa Ratiba Ya Chakula Cha Mtoto Wa Mwaka MmojaMwongozo Halisi Wa Ratiba Ya Chakula Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

Ni muhimu sana kwa wazazi kuhakikisha kuwa watoto wao wa mwaka mmoja wanapata virutubisho tosha kuwasaidia kukua.

Mara nyingi, watoto wachanga huanza kuonyesha hamu ya kula chakula wangali wadogo kabla ya kutimiza umri wa mwaka mmoja.  Ni hamu ya kila mama kumwanzishia mtoto wake chakula. Huenda ukamwonea huruma kila mtu anapo kula mezani, huku yeye anamwaga mate tu, kwani hana meno ya kutafuna chakula. Habari njema ni kuwa, sasa anaweza jumuika na wanajamii wengine mezani na kula pamoja nao. Huenda ikaonekana kana kwamba chakula ni kitu cha kila siku. Ila, inapofika kwa chakula cha mtoto, mama huenda akashindwa chakula cha kumlisha. Na pia hiari zao ni chache kwani lazima chakula chao kiwe laini kwa sababu hawana meno ya kutafuna chakula wanacho lishwa. Makala yetu ya food for one year old baby in nigeria yana kuelimisha zaidi.

Mama anapaswa kufanya nini mtoto anapokataa chakula?

food for one year old baby in nigeria

Kumwanzishia mtoto chakula huwa na changamoto tele. Hata kama ulishuhudia mtoto wako akilia ale chakula unacho kula, huenda akakataa kula chakula chake anapo fikisha miezi sita. Wazazi wengi hufadhaishwa na watoto wao katika kipindi hiki. Ni vyema kuwa na upole na utulivu na mtoto wako anapo anza kula chakula kigumu. Pia, huenda mtoto wako akachagua chakula anacho penda na kutapika ama kunyongwa anapokula chakula asicho kipenda. Na watoto wengine hukataa kula chakula chochote.

Siri inayo fanya wakati wote mbali na kuwa mtulivu ni kumchanganyishia mtoto wako chakula anacho kipenda na kile asicho kipenda. Endelea kumnyonyesha mtoto ila fanya hivi baada ya kumpa chakula. Mtoto anapokataa vyakula vigumu, epuka kumlazimisha. Na kumbuka kuto jikwaza mtoto anapo kataa kula.

 Orodha ya vyakula vya kuchagua vya kumlisha mtoto wa mwaka mmoja

  • Uji
  • Viazi
  • Wali
  • Parachichi
  • Maharagwe
  • Viazi vitamu
  • Kabichi
  • Mkate ulio tumbukizwa kwa chai
  • Ndizi, mbichi ama mbivu
  • Mayai, yaliyo kaangwa ama kuchemshwa
  • Mboga kama mchicha na kunde
  • Matunda kama vile maembe na machungwa
  • Vyakula vya kuepuka

Unatengeneza ratiba ya chakula ya food for one year old baby in nigeria, epuka kumlisha vyakula vilivyo chakatwa. Vyakula vilivyo na ufuta mwingi kama vipande vya viazi vilivyo kaangwa kwa mafuta nyingi. Vinywaji vyenye sukari nyingi kama vile soda, epuka kumlisha keki, chokleti na vitamu tamu vingine vyenye sukari ya kuongezea. 

Ratiba ya lishe ya mtoto wa mwaka mmoja

Kama watu wengine, mtoto wako anahitaji lishe iliyo sawasishwa ili mwili wake unufaike kutokana kwa virutubisho vilivyo kwa vyakula hivi. Pia, virutubisho hivyo vinamlinda dhidi ya magonjwa.

maziwa bora kwa mtoto mchanga

Kiamsha kinywa

Kwa lishe ya kwanza ya siku anapo amka. Usimlishe chakula kingi, ila hakikisha kuwa kinampa virutubisho vyote anavyo hitaji mwilini kumpa nashati tosha ya siku hiyo. Huenda ukaamua kumpa uji ama viazi vitamu, kuku asiye na mifupa na karoti. Hakikisha kuwa umekata vipande vidogo ili asitatizike kula.

Chamcha

Kwa chakula cha watoto, wazazi wana shauriwa kuhakikisha kuwa sahani ina vyakula vya rangi tofauti ili kumvutia mtoto na kumpa motisha ya kula. Kuna vyakula vingi ambavyo unaweza chagua. Kwa mfano, unaweza amua kumpa wa wali na maharagwe na mboga za kijani.

Chajio

Unashauriwa kutomlisha mtoto chakula kingi wakati wa usiku. Ili kuipa tumbo yake wakati tosha wa kuchakata chakula hicho. Mpe ndizi ama matoke na uji kisha umwache.

Hitimisho

Mwongozo tulio angazia wa food for one year old baby in nigeria ni wa kukusaidia kujua baadhi ya vyakula vya kumlisha mtoto wako. Hisi uhuru wa kuchagua vyakula vingine vya mtoto wako na hata kuwasiliana na mtaalum wa chakula cha watoto akusaidie.

Soma pia: Ratiba Ya Chakula Cha Wiki Moja Cha Familia Yako

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Feeding & Nutrition
  • /
  • Mwongozo Halisi Wa Ratiba Ya Chakula Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja
Share:
  • Jinsi Ya Kutengeneza Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

    Jinsi Ya Kutengeneza Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

  • Chakula Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja: Mwongozo Wa Lishe Ya Watoto

    Chakula Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja: Mwongozo Wa Lishe Ya Watoto

  • Jinsi Ya Kutayarisha Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wako Wa Mwaka Mmoja

    Jinsi Ya Kutayarisha Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wako Wa Mwaka Mmoja

  • Jinsi Ya Kutengeneza Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

    Jinsi Ya Kutengeneza Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

  • Jinsi Ya Kutengeneza Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

    Jinsi Ya Kutengeneza Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

  • Chakula Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja: Mwongozo Wa Lishe Ya Watoto

    Chakula Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja: Mwongozo Wa Lishe Ya Watoto

  • Jinsi Ya Kutayarisha Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wako Wa Mwaka Mmoja

    Jinsi Ya Kutayarisha Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wako Wa Mwaka Mmoja

  • Jinsi Ya Kutengeneza Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

    Jinsi Ya Kutengeneza Chakula Chenye Afya Cha Mtoto Wa Mwaka Mmoja

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it