Free Download: Baby shark MP3(Swahili)

Free Download: Baby shark MP3(Swahili)

“Alexa, tafadhali cheza wimbo wa Baby Shark MP3!”

Zoey ni mtoto mdogo mwenye umri wa miaka miwili. Aliweza kuuvunja mtandao alipo muomba Alex- msaidizi wa kibinafsi wa kisasa wa kampuni ya Amazon, aucheze wimbo wa Baby Shark. Ana upenda wimbo huu kwa sana.

Zoey alikua jikoni, huku amevalia koti la kupendeza la kinjano na kujifunga kitambaa cha pinki kichwani. Alikua tayari kuucheza muziki anao upenda zaidi. Ila, Alexa hakuungana naye. Huenda ikawa ni kufuatia ugumu wa kuyaelewa matamshi ya kitoto ya Zoey.

Mtoto Zoey Amtaka Alexa Amchezee Wimbo wa Baby Shark

baby shark mp3 Swahili

Iwapo mtoto huyu alikuwa amefadhaika, na, aliendelea kuomba wimbo huu wa Baby Shark. Bila kufa moyo na kwa uamuzi mmoja muda baada ya mwingine. Ila, kila mara, Zoey aliendelea Kucheza wimbo tofauti. Mamake Zoey ambaye alikua yu wa film tukio hili wakati huu wote, aliingilia kati. Mamake alimuomba Alexa aucheze wimbo huo wa Baby Shark. Bila kupoteza wakati, wimbo huo ulichezwa na mtoto Zoey akaanza kukatika densi ya Baby Shark. (mikono pamoja, viganja vikifunga na kufunguka kama vile taya za papa).

baby Shark mp3 Swahili

Baby Shark Mp3 Download: Mbona wimbo huu uliuvunja mtandao?

Baada ya kumalizana na video, mamake Zoey hakulifikiria jambo. Nyanya ya msichana huyu mchanga, ali pendekeza waweke video ile kwenye mtandao wa facebook. Nyanya yule alikuwa sawa. Video ile ili uvunja mtandao na watu wengi ambao hawako ufahamu wimbo ule hapo awali waliweza kuujua. Kuhakikisha kuwa wimbo huu ni maarufu, ume weza kutizamwa na watu zaidi ya bilioni tatu pale YouTube. Kumaanisha kuwa, watu wana tafuta wimbo huu Baby Shark mp3 download kwa uzoefu katika injini za kutafuta kila mara. Wimbo huu, haupendezi watoto pekee ila wazazi pia wana ripotiwa kuupenda wimbo ule.

wimbo huu wa Baby Shark mp3 download uli imbwa na Pinkfong. Ni jambo la busara kupata angalau habari kidogo kuhusu wimbo huu mkali kabla ya kuchukua hatua ya kuutafuta. wimbo huu ni mkali na unajulikana kwa sana duniani kote.

Pinkfong ni kampuni ya Kikorea ya burudani za kuelimisha. Kazi yao kuu ni kutengeneza video, na nyimbo za watoto. Kampuni hii ina nyimbo zaidi ya 4000, video, na mafunzo ya watoto. Idhaa yao ya YouTube ina watazamaji zaidi ya milioni 13. Wanaotoka sehemu tofauti duniani.

 

Free Download: Baby shark MP3(Swahili)

Iwapo ungependa kuupata wimbo huu wa Baby Shark Mp3 download, bonyeza fungo hili.

Resource: Mp3Skull

Also read: Popular And Catchy Praise Songs For Kids.

Written by

Risper Nyakio