Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Vyanzo 6 Vya Hamu Ya Chini Ya Ngono Katika Ndoa!

3 min read
Vyanzo 6 Vya Hamu Ya Chini Ya Ngono Katika Ndoa!Vyanzo 6 Vya Hamu Ya Chini Ya Ngono Katika Ndoa!

Ni kawaida kwako kukosa hamu ya ngono baadhi ya wakati, lakini unapaswa kuwa na shaka hamu yako ya kufanya ngono inapo isha. Hamu ya chini ya ngono inaweza kuwa na athari kwa uhusiano wako na kujiamini kwako. Ni muhimu kutafuta suluhu la tatizo hili punde tu unapo ligundua.

Kabla ya kuingia kwa njia ambazo unaweza fufua hamu yako ya ngono, unapaswa kuelewa maana ya hamu ya chini ya ngono na kwa nini ni tatizo ikiwa iko chini.

Hamu ya chini ya ngono ni nini?

Kulingana na Netdoctor.com, hii ni hali ambayo mtu ana matamani machache ya kufanya tendo la ndoa. Hamu ya ngono ina athiriwa na biolojia na utu wa mtu. Una semekana kuwa na hamu ndogo ya ngono unapo kosa kutamani tendo la ndoa kwa kipindi cha wakati. Kulingana na NHS, moja kati ya wanaume watano wana matamanio ya chini ya ngono. Na nambari hii huwa juu zaidi kwa wanawake.

Vyanzo vya hamu ya chini ya ngono

Hali hii ina weza sababishwa na vitu vya kifizikia ama kisaikolojia. Kama vile:

  • Mawazo mengi
  • Viwango vya homoni visivyo sawa mwilini
  • Ugumba
  • Ujauzito
  • Kinga za uzalishaji
  • Dawa na vileo
  • Uzee
  • Dawa
  1. Mawazo mengi

hamu ya chini ya ngono

Mawazo mengi ya siku baada ya nyingine huathiri jinsi mtu anavyo hisi kuhusu ngono. Viwango vya chini vya nishati vinaweza kuwacha ukiwa umechoka na bila hamu ya kufanya chochote hata tendo la ndoa.

2. Viwango vya homoni kuto kuwa sawa mwilini

Matatizo ya homoni kama vile thyroid isiyo fanya kazi tosha ama kufanya kazi zaidi kunaweza sababisha ongezeko la uzito, uchovu na hamu ya chini ya libido. Na kuathiri maisha yenu ya mapenzi.

3. Ugumba

Umri wa ugumba huandamana na estrogen, testosterone na progesterone. Homoni hizi za ngono zinapo isha, huenda hamu ya mtu ya ngono ika shuka. Wanawake katika hatua hii ya maisha yao hutatizika kufurahia mapenzi.

4. Ujauzito

Hamu ya ngono inaweza badilika katika safari yote ya ujauzito. Baadhi ya wanawake huenda wakakosa kutosheleka na ngono, huku wengine wakikosa hamu ya ngono. Haya yote yana athiriwa na mabadiliko ya homoni yanayo andamana na kutarajia mtoto.

5. Kinga za uzalishaji

Tembe za kudhibiti uzalishaji na mbinu zingine za kukinga dhidi ya kupata mimba huenda zikakufanya kuhisi kuwa hauna hamu ya tendo la ndoa. Kuna uhusiano kati ya kinga za uzalishaji za kumeza na kupunguka kwa hamu ya ngono na kufurahia ngono. Tembe hizi zina athiri wanawake katika kiwango cha homoni, na mara nyingi njia peke yake ya kupunguza athari zake ni kukoma kuzitumia.

6. Dawa

kupata mimba baada ya kudhibiti uzalishaji

Kuna baadhi ya dawa zinazo sababisha kupunguka kwa hamu yako ya kufanya mapenzi. Athari hii huwa ime andikwa kwenye dawa nyingi. Kwa hivyo ni vyema kusoma karatasi zilizoko kwenye dawa kabla ya kuzitumia.

Chanzo: Netdoctor

Soma Pia: Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Relationship & Sex
  • /
  • Vyanzo 6 Vya Hamu Ya Chini Ya Ngono Katika Ndoa!
Share:
  • Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Matibabu Yake

    Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Matibabu Yake

  • Mambo Muhimu Ya Kufanya Baada Ya Tendo La Ndoa!

    Mambo Muhimu Ya Kufanya Baada Ya Tendo La Ndoa!

  • Ishara Na Dalili Za Hamu Kubwa Ya Ngono (Kupenda Tendo La Ndoa Zaidi)

    Ishara Na Dalili Za Hamu Kubwa Ya Ngono (Kupenda Tendo La Ndoa Zaidi)

  • Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

    Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

  • Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Matibabu Yake

    Kukosa Hamu Ya Tendo La Ndoa Na Matibabu Yake

  • Mambo Muhimu Ya Kufanya Baada Ya Tendo La Ndoa!

    Mambo Muhimu Ya Kufanya Baada Ya Tendo La Ndoa!

  • Ishara Na Dalili Za Hamu Kubwa Ya Ngono (Kupenda Tendo La Ndoa Zaidi)

    Ishara Na Dalili Za Hamu Kubwa Ya Ngono (Kupenda Tendo La Ndoa Zaidi)

  • Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

    Jinsi Ya Kuanzisha Tendo La Ndoa Na Mumeo Ili Kuibua Cheche Katika Ndoa Yenu

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it