Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Umri Unao Yatambulisha Maisha Yako Kama Mwanamke

4masomo ya dakika
Umri Unao Yatambulisha Maisha Yako Kama MwanamkeUmri Unao Yatambulisha Maisha Yako Kama Mwanamke

Huenda sote tuka timiza hatua muhimu katika spidi tofauti na nyakati tofauti pia, lakini hapa kuna ratiba ya nyakati za maisha ya mwanamke.

Ulikuwa unafanya nini ulipo fikisha miaka 16 ya umri? Ulikuwa na kazi yako ya kwanza katika umri wa 22? Ulipatana na kipenzi cha maisha yako ukiwa na miaka mingapo? Hatua za maisha ya mwanamke bila shaka huwa na rangi za kung'aa, kuyapitia mambo ya kusisimua na ya kufurahisha!

Huenda sote tuka timiza hatua muhimu katika spidi tofauti na nyakati tofauti pia, lakini hapa kuna ratiba ya nyakati za maisha ya mwanamke. Kutoka miaka ya ujana hadi unapo staafu, hapa kuna hatua za kusisimua za maisha ya mwanamke.

Hatua za maisha ya mwanamke

grandparents babysit grandkids

Miaka ya ujana

Kulingana na takwimu, miaka 12 ndio umri ambapo msichana anakuwa mwanamke (wakati unao kisiwa kwa msichana kuanza hedhi) wakati ambapo katika umri wa miaka 13, wanakuwa wachanga na huru!

Na homoni zikianza kuingia, msichana huwa katika umri mgumu anapo timiza 14. Wazazi wa vijana walio hojiwa kwa somo moja walisema kuwa kufura wakati wote na kuanza vurugu huwa kilele katika umri huu, kufuatia kuto sikizana kuhusu kuwa na mchumba, mapondozi na kulewa.

Katika umri wa miaka 15 na 16, mwanamke mchanga ana nafasi za kushuhudia busu lake la kwanza na kufanya mapenzi, ambayo sio hatua muhimu ya kuashiria maisha yake ya kimapenzi.

Miaka ya 20' ya kufurahisha

Hatua hii imejazwa na shughuli! Mwanamke angepaswa kungoja hadi anapofikisha miaka 20 kwa nafasi bora ya kuwa na uhusiano wenye furaha. Watafiti katika Chuo Kikuu cha Texas waligundua kuwa walio ngoja kuwa na mpenzi wao wa kwanza walikuwa na elimu zaidi, wakapata kazi nzuri na kufurahia ndoa zilizo ridhisha.

Katika umri wa miaka 22, buds za ladha(taste buds) hukoma kukua kwa kasi, na kutusaidia kupata ladha nzito zikiwa bora zaidi kwetu.

Wanawake wata penda mara nne kwa wastani maishani mwao na nafasi kubwa ni kuwa watafunga ndoa katika umri wa miaka 27.

Mwanamke huenda akawa katika uhusiano unao dumu katika umri wa miaka 28, lakini ana uwezo mkubwa wa kutoka nje ya ndoa kwa sababu ya hamu kuu ya kuendelea kucheza kwenye kiwanja!

Umri bora zaidi kwa mwanamke kuwekeza kwa mchumba wake ni 29. Huku kunampea wakati wa kuhamia nyumba kubwa watoto wakifika, na pia kuna maana kuwa hatakuwa akilipa deni za nyumba akiwa 61, kulingana na ripoti ya HSBC.

Miaka ya 30 yenye mengi

hatua za maisha ya mwanamke

Wanawake hushughulika na kazi na ulezi katika 30 kwani wengi wao huwa na mtoto wao wa kwanza.

Pia wana jikakamua kupendeza zaidi kwani inasemekana kuwa tuna timiza mtindo wa nywele unaotufaa katika umri wa miaka 32.

Katika umri wa 34, wanawake wanakomaa kihisia na kuwa salama kifedha

Baada ya kuwa kazini kwa muda mrefu, miaka 38 ni wakati mzuri wa kuchukua likizo ya kazi na kwenda matembezi. Watafiti walipata kuwa katika umri huu, wanawake huhisi wako salama kifedha na wana uwezo wa kuchukua mapumziko kazini bila kazi zao kuathiriwa.

Mwanamke wa wastani atapokea mshahara mkubwa zaidi katika umri wa miaka 39.

40 yenye upole

Umri huu unafikiriwa kuwa mpole kwani wanawake wana amini kuwa urembo wao unaanza kufifia. Wana nafasi zaidi za kupata talaka. Walakini, hatu kubaliani na hayo, kwani tuna hisi kuwa 40' huwa zaidi kuhusu wanawake kujikubali walivyo.

50' imara

Huenda ukahitaji kuanza kutumia rangi ya nywele katika umri huu kwani mvi zinaanza kuonekana kwa wanawake wengi. Lakini pia huenda ukazikumbatia na kufurahia mtindo wako mpya.

Katika 51, wanawake wamekoma kupata vipindi vyao vya hedhi. Huenda uka shuhudia mikunjo kadhaa kwenye ngozi yako.

Katika umri wa miaka 58, wanawake huwa wameweza kusawazisha maisha ya kikazi. Utafiti ulipata kuwa huu ndiyo wakati tunao chukua wakati mwingi wa chamcha kazini, kupunguza kufanya kazi masaa zaidi na pia tunapata wakati mzuri wa mapumziko wa kuyafurahia maisha yetu.

60' zilizo tulia

Huu ndiyo umri wa kustaafu na wanawake wanaanza kuvichukua vitu kwa upole. Baadhi yetu huenda tukawa nyanya katika wakati huu - cha kusisimua kweli!

Kwa sababu kuna wakati zaidi wa mapumziko na hofu ya mimba imetoka, wanawake katika umri huu wanaonekana kuto kata tamaa ya mapenzi. Utafiti uliofanyika na Age UK ulipata kuwa mmoja kati ya kila watu wasio na mapenzi wa miaka 65 wako makini kupata uhusiano wa kingono. Hakuna aliye mzee sana wa kufurahia maisha ya kingono.

Orodha iliyo hapa juu ina angazia mambo ya kufurahisha kuhusu hatua za maisha ya mwanamke. Bila shaka maisha huja na mambo mengi yasiyo kusudiwa katika kila hatua tunayo ipitia. Uko katika hatua ipi?

Vyanzo: British Journal of Dermatology, HSBC Report, HEFA, EU Statistics, Department of Work and Pension, Age Uk

Soma Pia:Vidokezo 7 Vya Kujilinda Ambavyo Kila Mwanamke Anapaswa Kujua

img
Yaliandikwa na

Risper Nyakio

  • Nyumbani
  • /
  • Parenting
  • /
  • Umri Unao Yatambulisha Maisha Yako Kama Mwanamke
Gawa:
  • Wanawake Zaidi Wanachagua Kutoa Pata Watoto Na Jamii Haiwau Ungi Mkono

    Wanawake Zaidi Wanachagua Kutoa Pata Watoto Na Jamii Haiwau Ungi Mkono

  • Jinsi Ya Kufunza Watoto Mtindo Wa Maisha Wenye Afya Shuleni Na Nyumbani

    Jinsi Ya Kufunza Watoto Mtindo Wa Maisha Wenye Afya Shuleni Na Nyumbani

  • Mtindo Wa Maisha Yenye Afya Kwa Wanabiashara Na Wafanyikazi Wasio Na Wasaa Tosha

    Mtindo Wa Maisha Yenye Afya Kwa Wanabiashara Na Wafanyikazi Wasio Na Wasaa Tosha

  • Mambo 8 Kila Mwanamke Anapaswa Kufanya Kabla Ya Kufunga Ndoa

    Mambo 8 Kila Mwanamke Anapaswa Kufanya Kabla Ya Kufunga Ndoa

  • Wanawake Zaidi Wanachagua Kutoa Pata Watoto Na Jamii Haiwau Ungi Mkono

    Wanawake Zaidi Wanachagua Kutoa Pata Watoto Na Jamii Haiwau Ungi Mkono

  • Jinsi Ya Kufunza Watoto Mtindo Wa Maisha Wenye Afya Shuleni Na Nyumbani

    Jinsi Ya Kufunza Watoto Mtindo Wa Maisha Wenye Afya Shuleni Na Nyumbani

  • Mtindo Wa Maisha Yenye Afya Kwa Wanabiashara Na Wafanyikazi Wasio Na Wasaa Tosha

    Mtindo Wa Maisha Yenye Afya Kwa Wanabiashara Na Wafanyikazi Wasio Na Wasaa Tosha

  • Mambo 8 Kila Mwanamke Anapaswa Kufanya Kabla Ya Kufunga Ndoa

    Mambo 8 Kila Mwanamke Anapaswa Kufanya Kabla Ya Kufunga Ndoa

Pata ushauri wa mara kwa mara kuhusu ujauzito wako na mtoto wako anayekua!
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • Zaidi
    • TAP Jamii
    • Tangaza Nasi
    • Wasiliana Nasi
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
Kutuhusu|Timu|Sera ya Faragha|Masharti ya kutumia |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it