Jinsi ya kujua kuharibika kwa tumbo katika wiki ya pili kwa mama

Jinsi ya kujua kuharibika kwa tumbo katika wiki ya pili kwa mama

Kuna sababu nyingi zinazo sababisha mama kupoteza mimba katika wiki ya pili. Ni muhimu kwa mama kuelewa baadhi ya mambo yanayo sababisha jambo hili ili kumlinda mtoto aliye tumboni.

Ini amekuwa na kuharibika kwa tumbo mara 6. Baadhi ya hizo mara 6, nne zilitendeka mapema sana. Hata kabla ya kugundua alikua na mimba. Hakukua na ishara za mapema za kupoteza mimba wiki mbili katika uja uzito. Ama pengine, hakukuwa makini kuzijua.

 Kuharibika kwa tumbo hutendeka katika trimesta ya kwanza (wiki 1- wiki 12). Karibu asilimia 1 ya uja uzito hupotezwa baada ya wiki 20 baada ya kutunga mimba. Kupoteza mimba kwa njia hiyo kuna julikana kama stiilbirths.

“Kwa wanawake wengi, kupoteza kwa mimba ni kama ndoto mbaya. Wanachukua muda kuyakubali yaliyo wapata,” asema Prisca Obi MD, daktari wa watoto katika chuo kikuu cha Uyo Teaching Hospital. “Nadhani ni kwa sababu wanawake hawaelewi mabadiliko yanayo tendeka kutoka wanapo tunga mimba. Iwapo zaidi ya hatua hizi- yai kujigusisha, placenta ina Tengeneza muungano kati ya mama na mtoto na mchakato wa kiini kugawanyika- vinaenda vibaya, kuharibika kwa tumbo kuna shuhudiwa.”

Nini sababu za kupoteza mimba ya wiki mbili?

kupoteza mimba ingali wiki 2

Kinyume na imani nyingi, mazoezi, orgasms na mawazo ya kikazi ama shida za ndoa hazisababishi kuharibika kwa mimba kwa mapema.

“Wanawake wanapo kuwa na taanzia kwa muda mrefu, nawakumbusha kuwa kuharibika kwa tumbo ni njia ya mwili ya kutoa yai lililo tungwa ambalo halikui vizuri,” asema Prisca Obi. “Bila fiche, najadiliana na wao sababu zinazo weza sababisha kuharibika kwa mimba. Lakini lilo muhimu sana, najaribu kuwaonyesha kuwa sio kosa lao na kuwa kuharibika kwa mimba hakuwezi epukika.”

Ishara 5 za mapema za kupoteza mimba baada ya kuitunga

Sio kawaida kwa wanawake kupoteza mimba bila ya kushuhudia dalili zozote. Kwa visa nadra, hata kutokwa na damu huwa hakutendeki. Walakini wanawake wengi hushuhudia dalili hizi zote ama baadhi yake.

 

  • Kuumwa na tumbo

 

Wakati wana wake wengine wanashuhudia uchungu mwingi, wengine wana uchungu kidogo. Hii ni dalili moja ambayo kila mwanamke hapaswi kupuuza.

Mwona daktari wako unapo shuhudia kuumwa sana mapema katika uja uzito wako. Inaweza kuwa ishara mbaya.

  1. Kichefu chefu ama kutapika

Kawaida inayo kosewa kwa ugonjwa wa asubuhi, kichefu chefu inaweza kuwa mojawapo ya ishara za mapema za kuharibika kwa tumbo zinazofanyika wiki mbili baada ya kutunga mimba. Wakati ni vyema kuwa chanya kuhusu uja uzito wako, pia ni muhimu kujua kutapika kunaweza kuwa ishara ya kupoteza mimba.

  1. Makamasi ya pinki 

Wakati unapo fanyiwa pap smear na inatokea na makamasi manene ya pinki, madaktari wanaweza fanya uchunguzi zaidi ili kubainisha kama una dalili zingine za kupoteza mimba wiki mbili baada ya kutunga mimba.

  1. Vitu vinavyo kaa tishu ama kufunika kwa damu

Hii ni mojawapo ya ishara za kawaida kabisa za kuharibika kwa tumbo. Wanawake kwa urahisi huona uke wao umeanza kutoa damu na tishu. Hii ni bila shaka ya ishara za mwili kuutupa mwili wa mtoto ambao hauja komaa. Unapo shuhudia jambo hili, wasiliana na daktari ama mkunga wako.

  1. Kupotea kwa ishara za uja uzito kwa ghafla

Wakati mwingine, kichefu chefu na uchungu wa matiti ni ishara nzuri. Zina onyesha uja uzito ulio na afya. Wakati ishara zote za uja uzito zinapotea kwa ghafla, ni ishara za kuharibika kwa mimba.

  1. Uchungu mdogo ama mwingi wa sehemu ya chini ya mgongo

Dalili za mapema za kuharibika kwa tumbo wiki 2 hukuwa sawa na za uchungu wa uzazi. Hiyo ni kwa sababu uko katika uchungu wa uzazi mdogo.

Tofauti ni kuwa haujaibeba mimba hadi ikakomaa ama mtoto hajafikisha wiki 20 baada ya kutunga mimba.

Uchungu tumbo ama kwa mgongo kati ya wiki za kwanza 12 za kutoka mimba inaweza kuwa ishara mbaya. Mwona daktari unapo shuhudia hizi ama ishara zilizo tajwa.

Njia za Kuepuka Kuharibika kwa Tumbo

Wataalum wa kimatibabu wana amini kuwa kupoteza mimba mingi hakuzuiliwi. Walakini, inasaidia kujua kinacho pelekea kuongezeka kwa tukio moja.

Ini alipomtembelea daktari wa wamama, aligundua kuwa kuharibika kwa tumbo kwake kulisababishwa na viwango vya chini vya progesterone. Sababu zingine ambazo zinaweza epukika ni kutokuwa sawa kwa viwango vya tezi, tatizo la kufunikwa kwa damu ama njia za maisha zisizo sawa kama vile kuvuta sigara, uraibu wa kunywa pombe na dawa za kulevya.

Njia mwafaka za kuepuka kuharibika kwa tumbo:

  • Epukana na matibabu yanayo kuwa na uwezo wa kusababisha kuharibika kwa tumbo. Soma maelezo yaliko kwa kijikaratasi ya kila dawa. Angalia na daktari wako kabla unywe madawa yoyote. 

Dawa nyingi za malaria na typhoid husababisha kuharibika kwa tumbo, kupoteza mimba na matatizo ya kimwili kwa watoto.

  • Zingatia uzito ya mwili wenye afya.
  • Kutayarisha mwili wako kutunga mimba baada ya kuchukua vitamini na madini yanayofaa kabla ya kujifungua. Mifano michache ya hizi ni Vitamini B, folic acid na Vitamini C.
  • Epukana na magonjwa ya ngono. Kama una magonjwa haya, chukua hatua na uyatibu kabla ujifungue.

Mawazo ya mwisho kuhusu kuharibika kwa tumbo, dalili wiki 2 ya mimba

Kupoteza mimba kuna weza hisi kama pigo, ila sio mwisho wa dunia. Wanawake huendelea na kupata watoto wengi hata baada ya kupoteza mimba mara moja ama mbili.

“Baada ya kuipoteza mimba, enda uchunguzi wa matibabu. Linda akili yako na uukubalishe mwili wako kupona. Huzunika, itakusaidia kuhisi vyema” asema Prisca Obi.

Read Also: What Similarities And Differences Lie Between Stillbirths And Miscarriages?

 

Written by

Risper Nyakio