Jinsi Ya Kufukuza Mapepo Kutoka Nyumbani Mwako

Jinsi Ya Kufukuza Mapepo Kutoka Nyumbani Mwako

Njia hizi tulizo angazia zitakusaidia kufukuza mapepo nyumbani mwako.

Iwapo wewe ni mtaalum wa feng shui, kwa sababu hiyo, nyanya wa kiyahudi; huenda ukaamini kuwa usafi wa kila namna na kuwa na nyumba safi ni mojawapo ya njia kuu za kukumbana na pepo mbaya. Kwa sababu hakuna mahali pa kujificha. Vifaa vifuatavyo dhidi ya mapepo vimeaminika kusaidia kwa sana. Pia kwa visa vingine, vinapendeza kwa watu. Tuna angazia jinsi ya kufukuza pepo mbaya kutoka nyumbani mwako.

Ungependa kujua jinsi ya kufukuza pepo mbaya? Fikiria kutumia mojawapo ya njia zifuatazo

Jinsi ya kufukuza mapepo kwa kutumia chumvi

how to chase away demons

Chumvi imekuwa takatifu kwa kila mtu kutoka kwa Pueblos hadi kwa Buddhists. Hata nyanya yako atakueleza kuhusu jambo moja ama mawili kuhusu chumvi. Kuwa nayo mkononi uirushe nyuma ya mabega yako kwa kuihifadhi kwenye kontena ya chumvi. Fanya nyumbani mwako na hautakuwa na matembezi kutoka kwa viumbe wa dunia nyingine wakati wowote. Chumvi ina faida nyingi za kiafya, ukihusisha uponaji wa vidonda, kutoa sumu mwilini na kuponya koo iliyo shikana. Na njia kuu ya kufukuza mapepo kutoka nyumbani mwako.

 Tafuta udi yenye harufu inayo kupendeza

chase away evil spirits

Kwa miaka mingi, udi imekuwa ikitumika kwa mila za "kusafisha". Unaweza pata pakiti nyingi za udi kwenye maduka yaliyo karibu nawe. Anza kwa kupepeta moshi huo mwilini mwako kutoka kichwani hadi kwenye miguu na ufikirie ikichukua hisia zote hasi. Kisha zunguka nyumba yako na udi hiyo inayo waka kwenye kila kona ya chumba hicho. Pia kuna watu wanao fanya uamuzi wa kutengeneza udi kutoka kwa viungo vinavyo patikana kiasili.

*Iwapo moshi hukusumbua, unaweza ruka hatua hiyo. Jambo unaloweza kufanya mbadala ya kutumia udi ni kuosha vitu vyote kwa nyumba kwa kutumia vinegar na kuweka bakuli ya maji na vinegar ili kuchukua nishati mbaya.*

Kufukuza mapepo kwa kutumia kitunguu saumu

jinsi ya kufukuza pepo mbaya

Kitunguu saumu ambayo imekuzwa kwa miaka zaidi 5,000, ni mojawapo ya mimea mzee zaidi iliyo kuzwa duniani kote. Tamaduni katika historia zimeitumia kwa afya ya kifizikia na kiroho; miongoni mwa imani kuhusu kitunguu saumu ni kuwa ilikufanya uwe na nguvu zaidi na kukuepusha na pepo mbaya. Wakati ambapo vitu vilibadilika, uwezo wa kitunguu saumu wa kuponya umetumika hadi leo. Watu kutoka Egypt wa hapo awali waliamini katika uwezo wa kitunguu saumu wa kufukuza mapepo hadi wa leo na walikuwa wanakila usiku kabla ya kuanza safari. Harufu mbaya iliyo toka kwa kitunguu saumu waliamini kuwa ingeweka pepo mbaya mbali na wewe.

Weka vipande vichache kwenye nyumba yako ili kuhakikisha kuwa hakuna pepo mbaya. Iwapo ungetaka pia, unaweza kula vipande vichache. Hakuna pepo itakayo kufikia kwenye afya yako , tuna kuahidi.

Nyimbo za kusafisha na zaburi

jinsi ya kufukuza pepo mbaya

Kusherehekea nafasi mpya baadhi ya wakati huhitaji wimbo. Baadhi ya masafisho bora zaidi, nyimbo chanya hupatikana kwenye kitabu cha Zaburi. Ni bora zaidi katika kufukuza na kulinda kutokana na pepo mbaya.

 

Kumbukumbu: CultureTrip

Soma pia: Purify Your Home Using Natures Way

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Ayeesha kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio