Njia 4 Za Kumfanya Mume Wako Kuwa Mwaminifu Kwa Ndoa Yenu

Njia 4 Za Kumfanya Mume Wako Kuwa Mwaminifu Kwa Ndoa Yenu

Kubaki mwaminifu kwa mchumba wako kuna maanisha kuwa una heshimu kiapo ulicho chukua mlipo funga ndoa.

Kutoka nje ni uamuzi - sawa na kuwa mwaminifu katika uhusiano na ndoa. Ni uamuzi ambao wanandoa hufanya, wengine mara zaidi ikilinganishwa na wengine. Wakati ambapo kila wanandoa wana hadithi tofauti, ni sawa kwa wengine wote. Kubaki mwaminifu kwa mchumba wako kuna maanisha kuwa una heshimu kiapo ulicho chukua mlipo funga ndoa. Lakini hata kama uko kwa ndoa yenye furaha, ama ikiwa kutoka nje ni jambo asili kwako, katika hatua fulani, huenda ukawa umeshangaa jinsi ya kumfanya mume wako kuwa mwaminifu.

Njia 4 za kumfanya mume wako kuwa mwaminifu kulingana na wataalum wa uhusiano na ndoa

kumfanya mume wako kuwa mwaminifu

Wakati ambapo kuna njia nyingi za kum-epusha mume wako kutokana na kutoka nje ya ndoa yenu, hapa kuna baadhi ya njia ambazo unaweza anza nazo. Tazama hizi tano.

  1. Kubali kuwa kuna uwezekano wa kutoka nje

Kubali uwezekano wake kuingia kufeli. Ujiamini zaidi, na kudhania kuwa kutoka nje, hakuwezi kutendekea. Unapo kubali kuwa ana doa, kisha mnaweza anza kutia juhudi kuboresha uhusiano wenu.

Kwa njia hii, mwandishi Gretchen Rubin alieleza kuwa hautakuwa na kasi ya kumweka katika visa ambavyo anaweza kuingia kwa majaribio. Ili kuepuka kuwa na mchumba mwingine, wanandoa wanapaswa kukubali, uwezo wa mwenzi wao kuingia katika majaribio.

2. Jitenge na visa vya kukujaribu

"Usicheze na moto," kama usemi ulivyo. Kwa wachumba wote wawili, ni vyema kujitenga na visa ambapo unaweza kuingia katika majaribio. Ni vyema kuwajulisha watu walio karibu nawe kuwa una mchumba nyumbani. Ili katika mipango wanayo fanya ya kutembea mahali tofauti, wafahamu kuwa kuna sehemu ambazo sio za kuheshimika kwako.

3. Mazungumzo

Mazungumzo makuu katika uhusiano

Kufanya mazoea ya kueleza hisia na mawazo yako kuna boresha umoja wenu na kukusukuma kuwa mume bora. Kulingana na mwana saikolojia Leslie Becker-Phelps, pia inakusaidia kutatua matatizo kwa njia bora zaidi.

Mara nyingi, wanaume wanapo toka nje ya ndoa, ni kwa sababu wanahisi kuwa hawa dhaminiwi vya kutosha, ama kusikilizwa. Lakini kitendo hiki cha kutoka sio lawama kwa aliye danganywa. Kutoka nje ya ndoa ni uamuzi.

4. Usiwalazimishe

Kulingana na utafiti katika makala ya Utu na Saikolojia ya Kijamii, kumlazimisha mchumba wako kuwa mwaminifu huenda kukakosa kuwa na matunda. Kujaribu kudhibiti matendo ya mtu sio njia ya kuwafanya wawe waaminifu.

Watafiti waligundua kuwa kudhibiti matamani ya watu kulipunguza kutosheleka kwao katika uhusiano. Na kuongeza hamu yao ya kuwa na uhusiano mwingine nje. Kwa hivyo, kubali kuwa mchumba wako atapata watu wanao pendeza zaidi kukuliko katika hatua moja ama nyingine. Lakini kumbuka kuwa kuvutiwa ni tofauti na kuenda hatua nyingine ya kuwafuata na kuwa na uhusiano nao. Kuwa mwaminifu kunapaswa kuwa kitendo asili.

Kumpenda mtu ni rahisi. Na kubaki kuwa mwaminifu ni jambo linalo paswa kuwa asili kwako. Ikiwa una tatizika na jinsi ya kumfanya mume wako kuwa mwaminifu, jaribu baadhi ya mambo tuliyo dokeza.

Vyanzo: Psychology Today, WebMD, The Atlantic

Soma PiaUshauri Bora Kuhusu Ndoa Kwa Wanao Lenga Kuoana

Written by

Risper Nyakio