Jinsi Ya Kumwambia Mchumba Wako Kuwa Una Mimba Kwa Njia Ya Kipekee

Jinsi Ya Kumwambia Mchumba Wako Kuwa Una Mimba Kwa Njia Ya Kipekee

Haijalishi iwapo mnatafuta mtoto ama mnatarajia mmoja, kuvunja habari kuwa una mimba kwa mchumba wako ni jambo kubwa na unapaswa kupanga.

Kugundua kuwa una mimba ni mojawapo ya vitu vya kusisimua zaidi maishani. Na pia kumjulisha mchumba wako kuwa mnatarajia. Unaweza tangaza "Nina mimba" baada ya chajio, bila shaka. Ila baadhi ya wanandoa wana penda kuifanya kwa njia ya kipekee. Ni njia ipi bora kuliko kuanza sehemu hii ya maisha yenu mbali na kwa uvumbuzi wa kipekee wa mimba? Chochote unacho amua kufanya, jambo moja ni dhibiti: Itikio lao ni jambo utakalo ishi kukumbuka. Kwa hivyo ikiwa una swali la jinsi ya "jinsi ya kumwambia nina mimba?" Jumuika nasi ili tukupe mawazo ya kuvunja habari za ujauzito wako kwake.

Jinsi Ya Kumwambia Mchumba Wako Kuwa Una Mimba Kwa Njia Ya Kipekee

Njia 7 Za Kipekee Za Kuvumbua Ujauzito Wako

Kadi Ya Appleseed card

Jinsi Ya Kumwambia Mchumba Wako Kuwa Una Mimba Kwa Njia Ya Kipekee

Tengeneza kadi ndogo inayo sema,'Hii ndiyo saizi ya mtoto wetu!' na mbegu ya tufaha imewekwa hapo kati kati. Unaweza amua kuongeza siku unayo tarajia hapo iwapo ungependa na uweke kwenye bahasha rembo. Unamjua vyema kuchagua wakati bora wa kumpa zawadi hii. Kitu cha kwanza asubuhi sio wazo mbaya. Utamfanya awe na furaha siku yote.

Kumchumbia tena

Jinsi Ya Kumwambia Mchumba Wako Kuwa Una Mimba Kwa Njia Ya Kipekee

Unakumbuka siku aliyo kuuliza iwapo unge muoa? Nani anaweza sahau siku hii? Ifanye iwe siku isiyo sahaulika ya kuanza kurasa ya kuwa baba. Enda mahali alipo kuchumbia. Lakini mara hii badala ya kumpa pete, mpe kijisanduku kikiwa na matokeo chanya ya mimba.

Kufungua zawadi

Jinsi Ya Kumwambia Mchumba Wako Kuwa Una Mimba Kwa Njia Ya Kipekee

Kuwa mbunifu na tangazo lako la mimba kwa kumsalimia mchumba wako kwenye meza ya mankuli kijisanduku kilicho fungwa vizuri. Kisha umwulize afungue zawadi yake. Itakayo kuwa na maneno haya, 'Nina Mimba!' ama 'Utakuwa baba.'

Kuongea kwenye tumbo

Jinsi Ya Kumwambia Mchumba Wako Kuwa Una Mimba Kwa Njia Ya Kipekee

Chukua kalamu kisha uandike kwa tumbo yako. Unaweza andika maneno machache kama "Nina mimba' ama una weza ongeza ucheshi kwenye maandishi yako kama "asilimia 10" ama chochote kile kinacho kufurahisha. Iwapo ungependa kutumia nambari, fanya utafiti wa muda unao salia kabla ya kujifungua kwa kutumia kalenda hii.

Bun kwenye oven

Jinsi Ya Kumwambia Mchumba Wako Kuwa Una Mimba Kwa Njia Ya Kipekee

Kwa njia ya ubunifu ya kuvumbua ujauzito wako, unaweza weka bun kwenye oven. Mchumba wako anapofika nyumbani, mwambie kuwa kuna kitu kitamu kwenye oven na ungoje agundue unacho mwambia.

Ipake rangi tumbo yako

Jinsi Ya Kumwambia Mchumba Wako Kuwa Una Mimba Kwa Njia Ya Kipekee

Nafasi nyingi ni kuwa bwanako anapenda kukutoa sharti.... kwa hivyo, mbona usimpe kitu cha kufurahia anapo fanya hivi kwa kupaka rangi kwenye tumbo lako na maandishi haya, "Mtoto anakua" ama "Nina mimba" ama maandishi yoyote yatakayo kufurahisha.

Fanya ucheshi

Jinsi Ya Kumwambia Mchumba Wako Kuwa Una Mimba Kwa Njia Ya Kipekee

Kadi hii ni bora zaidi iwapo nyinyi ni wanandoa wanao penda ucheshi. Maneno haya ya ucheshi hufanya kichefu chefu kikae kitu chenye ucheshi.

Njia yoyote ile unayo chagua 'kumwambia nina mimba', jaribu kuto fikiria sana kuhusu habari na mambo mengine- sio lazima kila kitu kiwe ulivyo panga. Kuwa tayari kwa usiyo yatarajia:mchumba wako huenda akachukua muda kuelewa unacho mwambia, ama huenda kitendo chake cha kwanza kikawa tofauti sana na unacho kitarajia. Sawa na vitu vyote muhimu na vinavyo pangwa kwa makini, makosa huenda yaka tokea ama mambo ambayo hauku kusudia, lakini iwapo mambo haya yata tendeka, kumbuka: hii itakusa hadithi ya kufurahisha kwa miaka michache ijayo.

Kumbukumbu: Pampers

Soma pia: Imani 7 Zisizo Za Kweli Kuhusu Mimba Zinazo Aminika Sana

Written by

Risper Nyakio