Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Siri 5 Za Jinsi Ya Kupata Mtoto Wa Kike

3 min read
Siri 5 Za Jinsi Ya Kupata Mtoto Wa KikeSiri 5 Za Jinsi Ya Kupata Mtoto Wa Kike

Vidokezo tulivyo angazia vya jinsi ya kupata mtoto wa kike vitakusaidia kuboresha nafasi zako za kupata mtoto wa kisichana. Hakikisha kuwa unazingatia lishe yenye vyakula vyenye asidi na uepuke kula njugu.

Je, unatamani mtoto wa kike? Tayari una wa kiume na ungependa kuwa na mtoto wa jinsia tofauti? Kuna imani nyingi zinazo aminika kuhusu jinsi ya kupata mtoto wa kike na jinsi ambavyo wanandoa wanaweza kuongeza nafasi zao za kupata mtoto wa kike. Kulingana na Sayansi, wanandoa wana nafasi asilimia 50 za kupata mtoto wa kike ama wa kiume. Ni vyema kukumbuka kuwa mwanamme ndiye anaye athiri jinsia ya mtoto atakaye zaliwa. Na hata kama huenda kukawa na wanandoa wanao pata watoto wa kike ama wa kiume pekee, ni vyema kukumbuka kuwa hii siyo lawama ya mama. Ni mbegu ya baba inayo fika kwenye ovari kwanza.

Siri kuu za jinsi ya kupata mtoto wa kike

jinsi ya kupata mtoto wa kike

Hata ingawa sio mambo yaliyo dhahiri kuwa yanaweza kumsaidia mama kutunga mtoto wa kike, mambo haya yanamsaidia kuongeza nafasi zake za kujifungua mtoto wa kisichana.

  • Fanya ngono kila siku kutoka siku ambapo mzunguko wa hedhi wako una isha hadi siku mbili ama nne kabla ya siku ya kupevuka kwa yai.
  • Hakikisha kuwa una fahamu mzunguko wako wa hedhi na siku ya kupevuka kwa yai.
  • Hakikisha kuwa una kipimo cha kudhibitisha hali ya uke wako, ili kujifungua mtoto wa kike, uke wako unapaswa kuwa acidic.
  • Epuka kufanya mitindo ya tendo la ndoa inayo husisha mwingiliano mkuu, mtindo wa missionary ni bora zaidi.
  • Lishe yako inapaswa kuwa ya vyakula vyenye asidi, kama vile mboga za kijani, maharagwe, matunda kama machungwa, blueberries, na nyama.

Wakati wa kufanya ngono kuongeza nafasi za kujifungua mtoto wa kike

jinsi ya kupata mtoto wa kike

Kwa wanandoa walio makini kupata mtoto wa jinsia ya kike, wanapaswa kuwa waangalifu na mpango wa kuwasaidia kutimiza hili. Mnapaswa kujadiliana jinsi na wakati mnao kusudia kufanya ngono. Wakati mwingine ni vyema kuwa na lengo na kutia juhudi ili kulitimiza. Usingoje kuona mambo yatakavyo kuwa.

Kufanya ngono mara nyingi kuta ongeza nafasi zenu za kupata mtoto. Mnapo punguza mara mnapo fanya mapenzi, bila shaka nafasi zenu za kutunga mimba ya kike ama ya kiume inapunguka.

Unapo fanya mapenzi kila siku baada ya kipindi chako cha hedhi, manii mengi ya chromosome X(inayo tunga mtoto wa kike). Iko tayari kurutubisha yai linalo toka kwa ovari. Chromosome za X zinachukua muda kufika kwenye uterasi ikilinganishwa na chromosome za Y(zinazo tunga mtoto wa kiume).

Wanandoa wana shauriwa ikiwa wangependa kupata mtoto wa kike, waji tenge na kufanya ngono siku ya kupevushwa kwa yai ama siku chache baada yake.

Vidokezo tulivyo angazia vya jinsi ya kupata mtoto wa kike vitakusaidia kuboresha nafasi zako za kupata mtoto wa kisichana. Hakikisha kuwa unazingatia lishe yenye vyakula vyenye asidi na uepuke kula njugu. Je, una vidokezo zaidi vya kuboresha nafasi za kupata mtoto wa kike? Tujulishe kwa kuwacha ujumbe mfupi hapa!

Chanzo: WebMD

Soma Pia:Uandalizi Muhimu Maishani Kabla Ya Kupata Mimba

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Trying To Conceive
  • /
  • Siri 5 Za Jinsi Ya Kupata Mtoto Wa Kike
Share:
  • Mambo Ya Kufanya Ili Upate Mtoto Wa Kike Mrembo

    Mambo Ya Kufanya Ili Upate Mtoto Wa Kike Mrembo

  • Siri 3 Za Jinsi Ya Kupata Mtoto Wa Kiume (Vidokezo Muhimu Kwa Wanandoa)

    Siri 3 Za Jinsi Ya Kupata Mtoto Wa Kiume (Vidokezo Muhimu Kwa Wanandoa)

  • Ishara 5 Kuwa Unatarajia Mtoto Wa Kike Unapokuwa Mjamzito

    Ishara 5 Kuwa Unatarajia Mtoto Wa Kike Unapokuwa Mjamzito

  • Vidokezo Vya Jinsi Ya Kupata Mtoto Mrembo Na Mwenye Busara

    Vidokezo Vya Jinsi Ya Kupata Mtoto Mrembo Na Mwenye Busara

  • Mambo Ya Kufanya Ili Upate Mtoto Wa Kike Mrembo

    Mambo Ya Kufanya Ili Upate Mtoto Wa Kike Mrembo

  • Siri 3 Za Jinsi Ya Kupata Mtoto Wa Kiume (Vidokezo Muhimu Kwa Wanandoa)

    Siri 3 Za Jinsi Ya Kupata Mtoto Wa Kiume (Vidokezo Muhimu Kwa Wanandoa)

  • Ishara 5 Kuwa Unatarajia Mtoto Wa Kike Unapokuwa Mjamzito

    Ishara 5 Kuwa Unatarajia Mtoto Wa Kike Unapokuwa Mjamzito

  • Vidokezo Vya Jinsi Ya Kupata Mtoto Mrembo Na Mwenye Busara

    Vidokezo Vya Jinsi Ya Kupata Mtoto Mrembo Na Mwenye Busara

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it