Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Jinsi Ya Kufanya Kipimo Cha Mimba Kwa Usahihi

2 min read
Jinsi Ya Kufanya Kipimo Cha Mimba Kwa UsahihiJinsi Ya Kufanya Kipimo Cha Mimba Kwa Usahihi

Vipimo hivi vya nyumbani hupima kiwango cha kichocheo cha HCG kwenye mkojo wa mwanadada. Kichocheo hiki hutolewa mwilini pale tu mwanamke anapokuwa mjamzito.

Umekuwa ukihisi tofauti kwa wakati mfupi ulio pita? Una shuku kuwa huenda ukawa na mimba? Usiwe na shaka kwani hata mbinu zinazo aminika zaidi za kupanga uzazi huwa na nafasi ya kosa na katika kipindi hicho mwanamke anaweza tunga mimba. Kufanya kipimo siku hizi kumerahisishwa kufuatia mbinu mpya na rahisi zinazo vumbuliwa kila mara. Kuna vipimo vya nyumbani ambavyo unaweza nunua na uweze kufanya kipimo hiki peke yako na kwa starehe zako. Unafahamu jinsi ya kupima mimba kwa kutumia pregnancy test? Makala haya yata kuelimisha jinsi ya kufanya kipimo hiki kwa usahihi.

Kipimo hiki kina pima nini hasa?

Jinsi Ya Kufanya Kipimo Cha Mimba Kwa Usahihi

Vipimo hivi vya nyumbani hupima kiwango cha kichocheo cha HCG kwenye mkojo wa mwanadada. Kichocheo hiki hutolewa mwilini pale tu mwanamke anapokuwa mjamzito. Kichocheo hiki hutolewa mwilini baada ya yai lililo rutubishwa lina jishikilia kwenye ukuta wa uterasi.

Jinsi ya kufanya kipimo hiki

  1. Weka mkojo wako kwenye kontena iliyo safishwa na inayo kuwezesha kuona ndani
  2. Tumbukiza kijiti chako cha pregnancy test ndani ya mkojo huo
  3. Kuwa makini usipitishe kiwango kilicho onyeshwa kwani kufanya hivi kuta athiri matokeo yako
  4. Baada ya dakika mbili ama zilizo onyeshwa kwenye maagizo ya kijiti hicho, kitoe kwenye kontena hiyo na ukilaze mahali safi kwa dakika chache
  5. Angalia matokeo yako

Baada ya wakati unao shauriwa kuisha, kipimo chako kitaonyeshana matokeo kwa mojawapo ya njia zifuatazo:

kupima mimba kutumia kitunguu maji

  • Kubadilika rangi
  • Alama, chanya ama hasi
  • Maneno "pregnant" ama "not pregnant"
  • Mstari

Kulingana na zahanati ya Cleveland, vipimo vingi huwa na asilimia 99 ya kuonyesha matokeo sahihi vinapo chukuliwa baada ya kukosa kipindi chako cha hedhi. Jinsi ya kupima mimba kwa kutumia pregnancy test inakuwezesha kung'amua matokeo yako kwa usiri wako na unaweza fanyia mahali popote pale bila kuwajuza watu wengine kinacho endelea ama matokeo yako.

Kwa urahisi, nunua kipimo hiki kwenye duka la madawa, kisha ufuate maagizo yaliyo onyeshwa ya kufanya kipimo hicho. Hakikisha umefuata maagizo ili upate matokeo sahihi. Kukosea kidogo kunaweza athiri matokeo utakayo yapata.

Soma Pia: Je, Ni Salama Kuchukua Antibiotics Katika Mimba?

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Jinsi Ya Kufanya Kipimo Cha Mimba Kwa Usahihi
Share:
  • Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

    Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

  • Kipimo Cha Mimba Kwenye Simu Na Jinsi Kinafanyika

    Kipimo Cha Mimba Kwenye Simu Na Jinsi Kinafanyika

  • Jinsi Ya Kutumia Kipimo Cha Mimba Kupima Iwapo Una Mimba

    Jinsi Ya Kutumia Kipimo Cha Mimba Kupima Iwapo Una Mimba

  • Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

    Vipimo Rahisi Vya Mimba Vya Kinyumbani Visivyo Hitaji Fedha

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Njia Ya Kienyeji

  • Kipimo Cha Mimba Kwenye Simu Na Jinsi Kinafanyika

    Kipimo Cha Mimba Kwenye Simu Na Jinsi Kinafanyika

  • Jinsi Ya Kutumia Kipimo Cha Mimba Kupima Iwapo Una Mimba

    Jinsi Ya Kutumia Kipimo Cha Mimba Kupima Iwapo Una Mimba

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it