Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Jinsi Ya Kutoa Mimba Kwa Kutumia Chumvi

2masomo ya dakika
Jinsi Ya Kutoa Mimba Kwa Kutumia ChumviJinsi Ya Kutoa Mimba Kwa Kutumia Chumvi

Kutoa mimba kuna athari hasi kwa mama.

Utoaji wa mimba umepigwa marufuku katika pande nyingi za dunia hasa sehemu ya Afrika Mashariki ambako kutoa mimba ni haramu. Unakubalishwa kutoa mimba pale tu ambapo daktari wako anakushauri kufuatia maisha ya mama kuwa hatarini. Pia kitendo hiki kina paswa kufanyiwa hospitalini chini ya uangalifu makini wa daktari na wataalum ili kuhakikisha kuwa maisha ya mama yatakuwa salama. Kutoa mimba kwa kutumia chumvi ama mbinu ingine yoyote ni haramu na ina athari hasi kwa mama. Kumekuwa na visa vingi vya wanadada kuyapoteza maisha yao wanapo jaribu kutoa mimba kwa njia tofauti kwa vituo visivyo na vyeti ama leseni ya kufanya shughuli hii. Utoaji mimba una madhara mengi kwa mama.

Jinsi Ya Kutoa Mimba Kwa Kutumia Chumvi

Iwapo haufanywi kwa njia inayofaa na wataalum, huenda mama akayapoteza maisha yake, kuharibu uterasi yake ama kupoteza damu nyingi ambayo ni hatari. Kwa visa vingine, huenda mama akabaki na sehemu zingine za mtoto iwapo tumbo haitaoshwa vyema. Tuna angazia jinsi ya kutoa mimba kwa kutumia chumvi.

Jinsi Ya Kutoa Mimba Kwa Kutumia Chumvi

Sumu ya chumvi ni utaratibu unao tumika kwenye hospitali chini ya uangalifu wa mtaalum wa afya. Huenda ukatumika kwa kiinitete cha umri wa zaidi ya miezi kumi na sita ila sio zaidi kwani huenda mama aka athirika pakubwa. Katika wiki kumi na sita, kuna amniotic fluid tosha kwenye gunia la amniotic liloko kwenye uterasi ya mama. Sindano kubwa ina ingizwa kupitia kwa uke wa mama ili kutoa amniotic fluid na badala yake maji yenye kiwango cha juu kuwekwa.

Jinsi Ya Kutoa Mimba Kwa Kutumia Chumvi

Mtoto hupumua na kumeza maji haya na huenda akaaga baada ya masaa mawili. Huenda akachukua muda zaidi kufa baada ya kuinywa sumu ile kwani anakosa hewa, maji tosha mwilini na ubongo kukosa kufanya kazi pamoja na sehemu zingine za mwili.

Kiwango kikubwa cha chumvi hufanya kiinitete kichomeke. Kiinitete kinapo tatizika tumboni mwa mama, huenda mama akashuhudia uchungu wa kifizikia na hisia pia. Baada ya masaa 24 hadi 48, mama anaingia kwenye uchungu wa uzazi na kujifungua mtoto aliye aga dunia.

Jinsi Ya Kutoa Mimba Kwa Kutumia Chumvi

Ni vyema kujua kuwa Africa Parent haiungi mkono kitendo cha wamama kutoa mimba na kuwashauri wawe makini wanapo jihusisha na vitendo vya kingono kwa kutumia kondomu ama mbinu zingine za kudhibiti uzazi. Pia tuna kushauri kuwasaliana na daktari wako ama kutembelea vituo vya hospitali vilivyo na leseni ili ushauriwe na daktari.

img
Yaliandikwa na

Risper Nyakio

  • Nyumbani
  • /
  • Pregnancy
  • /
  • Jinsi Ya Kutoa Mimba Kwa Kutumia Chumvi
Gawa:
  • Kutoa Mimba Kinyumbani Kuna Hatari Nyingi Kwa Mama, Tazama!

    Kutoa Mimba Kinyumbani Kuna Hatari Nyingi Kwa Mama, Tazama!

  • Mwanamke Anaye Kusudia Kutoa Mimba Ya Wiki Mbili Ana Hiari Gani?

    Mwanamke Anaye Kusudia Kutoa Mimba Ya Wiki Mbili Ana Hiari Gani?

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi Na Mkojo

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi Na Mkojo

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

  • Kutoa Mimba Kinyumbani Kuna Hatari Nyingi Kwa Mama, Tazama!

    Kutoa Mimba Kinyumbani Kuna Hatari Nyingi Kwa Mama, Tazama!

  • Mwanamke Anaye Kusudia Kutoa Mimba Ya Wiki Mbili Ana Hiari Gani?

    Mwanamke Anaye Kusudia Kutoa Mimba Ya Wiki Mbili Ana Hiari Gani?

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi Na Mkojo

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi Na Mkojo

  • Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

    Jinsi Ya Kupima Mimba Kwa Kutumia Chumvi

Pata ushauri wa mara kwa mara kuhusu ujauzito wako na mtoto wako anayekua!
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • Zaidi
    • TAP Jamii
    • Tangaza Nasi
    • Wasiliana Nasi
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
Kutuhusu|Timu|Sera ya Faragha|Masharti ya kutumia |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it