Jinsi Ya Kuhesabu Siku Ya Kujifungua Kutumia Kalykulata Ya Tarehe

Jinsi Ya Kuhesabu Siku Ya Kujifungua Kutumia Kalykulata Ya Tarehe

Congratulations, you're pregnant! Now - when will your new baby arrive?

Hongera kwa kushika mimba. Bila Shaka umejawa na mawazo kuhusu lini utakapojifungua ili uone kitoto chako kwa mara ya kwanza. Ni rahisi sana kwani utatumia kalkyulata ya kusehabu mwezi wa kujifungua.

Je, unafahamu kwamba Kuna njia nyingi za kuhesabu tarehe ya kujifungua? Tutazungumzia kuzihusu lakini kwanza kalkyulata ya kuhesabu tarehe ya kujifungua huhesabu aje siku?

Je, Kalkyulata ya kujifungua huhesabu aje tarehe ya kujifungua?

siku ya kujifungua

Isipokuwa umekuwa ukieka rekodi za ovulation, hakuna jinsi nyingine ya kujua kwa kweli siku ambayo utakapojifungua. Ndio maana daktari huhesabu kutumia siku ya mwisho ambayo ulikuwa na hedhi. Wanawake hutoa ovari wiki mbili baada ya hedhi, na kushikwa na mimba mudi mfupi baadaye. Hii huwa siku 11-23 baada ya hedhi. Labda uwe Mungu ama uwe umepitia mchakato wa IVF ili uwe na uwezo was kujua kwa uhakika wa siku ambayo ulishika mimba.

Kwa kawaida mtu hukaa wiki 37-42 za ujauzito. Kalkyulata hii hutumia wiki hizi ili kuhesabu siku ambayo utajifungua.

Aina za Kalkyulata ambazo zinaeleza siku ambayo utajifungua.

siku ya kujifungua

Orodha hii Ina ujumbe ambao unaonyesha dalili zitakazo kuonyesha siku ambayo mtoto wako atawasili. Dalili hizi Ni kama:

  • Siku ya kwanza ya hedhi zako za mwisho
  • Siku ya kushika mimba
  • Ultrasound
  • Mchakato wa IVF

Siku ya kwanza ya hedhi zako za mwisho

Wanawake wengi huwa wajawazito kwa muda wa wiki 38-40.Kwa hivyo njia ya urahisi na ya usawa ya kujua siku ambayo utajifungua ni kuhesabu wiki 40 au siku 280 kutoka siku ya kwanza ya hedhi zako za mwisho kupata. Njia nyingine ni kutoa miezi mitatu kutoka siku was kwanza ya hedhi zako za mwisho kisha uongeze siku saba.

Kwa hivyo Kama siku yako ya kwanza ya hedhi zako za mwisho ni tarehe 11 Aprili, utahesabu miezi mitatu mpaka Januari kumi na moja kisha uongeze siku saba kumaanisha utajifungua tarehe kumi na nane. Hivi ndivyo mtu huhesabu siku yake ya kujifungua lakini usiwe na wasiwasi ukijifungua baada au kabla ya wiki moja au mbili kwani ni kawaida.

Siku ya kushika mimba

Ni vigumu sana kujua kwa uhakika siku ambayo ulishika mimba, kama wewe na mpenzi wako mmekuwa na uhusiano wa kimapenzi kwa wingi. Lakini Kama unajua ongeza siku 266 kwa siku hiyo Kisha utaweza kujua siku ambayo utajifungua.

Siku ya mchakato wa IVF

siku ya kujifungua

Ikiwa wewe ni mmoja wa kundi la wamama linalo kua la IVF, unaweza kuhesabu siku yako ya kujifungua kwa uhakika zaidi. Tumia tarehe yako ya mchakato wa IVF na hurrah!

Mchakato wa ultra sound

Jinsi Ya Kuhesabu Siku Ya Kujifungua Kutumia Kalykulata Ya Tarehe

Hata Kama hauwezi hesabu siku ambayo ukijifungua; sahau siku ya hedhi zako za mwisho au hauna uhakika ya siku ambayo mayai yako ya kike ilitoka. Dalili ambazo zinaweza kusaidia wewe na daktari wako kujua siku ambayo utajifungua ni kama:

  • Kufanya ultra sound mapema, hii inaeza kupa siku ya kweli ambayo watajifungua. Lakini just kwamba sio kila mwanamke ambaye atafanya ultrasound mapema. Daktari wengine hufanya Ultrasound Mara nyingi lakini daktari wengine wanapendekeza kuwa kama hedhi zako si sawa, una miaka 35 kupanda, una historia ya kupoteza mimba au shida ya ujauzito au hauwezi hesabu simu yako ya kwanza ya hedhi zako za mwisho.
  • Safari ya uja uzito. Kuskia roho ya mtoto inasikika wiki ya 9-10 ya ujauzito kwa Mara ya kwanza, ukiskia mtoto akicheza kutoka wiki ya 18-22 lakini inaweza kuwa baada ya wiki 22.
  • Urefu wako wa mimba ambao unapimwa na daktari kila unapoenda kumuona na unasaidia pia kujua simu ambayo utajifungua.
  • Kipimo chako cha uterasi ambacho kinaangaliwa wakati wa utahini wa mimba yako kwa undani inaweza kusaidia kutathmini simu ambayo utajifungua.

Siku ya kujifungua inaweza kubadilika?

Jinsi Ya Kuhesabu Siku Ya Kujifungua Kutumia Kalykulata Ya Tarehe

 

Siku yako ya kujifungua inaweza kubadilika, lakini si sababu ya kushikwa na wasiwasi, daktari wako anaeza kubadilisha siku yako ya kujifungua siku za ujauzito zinavyoendelea. Inaweza kuwa siku zako za hedhi haziendani au ultrasound uliofanywa ilikuwa si sawa ama ulifanywa wakati usiofaa.

Pia inaweza kuwa urefu wako uterasi si cha kawaida. Pia kipimo chako cha Alfa-fetoprotein, inayo tengenezwa na mtoto na inaweza kuwa nje ya kipimo cha kawaida.

Ongea na daktari wako kama una maswali zaidi kuhusu hali hii

Je, naweza panga siku ya kujifungua kupitia kalkyulata ya tarehe ya kujifungua?

Kama unajaribu kuzuia kushika mimba wakati wa krismasi au wewe ni mwalimu unaye jaribu kupata wakati wa kujivinjari na watoto wako. Unaeza jaribu kupanga siku ya kushika mimba ili upange siku ambayo utajifungua .Utakuwa na bahati sana kuwa na uwezo wa kushika mimba wakati unapotakanga.

Kumbuka kuwa hautaweza kujua kwa uhakika siku au wiki ambayo utajifungua.

Web MD

Also read: Everything You Should Know About Dehydration In Pregnancy

 

 

Written by

Risper Nyakio