Miongoni mwa sababu 11 zinazo ifanya nchi ya Kenya kuwa ya kuvutia zaidi!

Miongoni mwa sababu 11 zinazo ifanya nchi ya Kenya kuwa ya kuvutia zaidi!

Kwa muda mrefu, nchi ya Kenya imekua ikiwa pokea watalii wanao kuja kuzuru kutoka sehemu mbali mbali duniani. Nchi hii ina tamaduni za kuvutia, hoteli za kifahari na wananchi wakarimu zaidi.

Kuna nchi 195 duniani mzima. Kwa nambari hii, ikweta inapitia kati ya nchi 13 peke yake, kuzigawanya katika kizio za kaskazini na magharibi. Kenya yavutia na ni mojawapo ya nchi hizi 13 zilizo barikiwa, na wakenya wanajua wamebarikiwa. Lakini hatutaanza tatizo nao kwa hilo, kwani wana stahili baraka hizi. Hali ya anga, watu na tamaduni za nchi hii itakupea tazamio kuwa bara la Africa ni sawa na mbingu. Lakini hii si sababu ambayo inafanya tulipende nchi hili. Chukua glasi lako la divai ama maji ya machungwa  ama zote mbili tuburudishwe pamoja.

Angazia Mambo Haya ya Kufurahisha Yanayo Ifanya Nchi Ya Kenya Kupendeza

Utalii

cheapest summer vacation destinations to go with family

Kenya

Kwa heri ya kuonana South Africa, habari Nairobi! Kenya ni mojawapo ya mahali bora zaidi pa kutalii Africa. Kutoka kwa wanyama bora 5 “Big 5” (Simba, Tembo,Chui,Nyati,Kifaru), kwa safari na mandhari yanayo sisimu, Kenya ina zote hizi. Mji wake mkuu wa Nairobi, unakupa hisia za mji uliojengwa katika ya safari. Wanyama pori na bichi ni sababu zinazo ifanya Kenya kufurahisha. Na wakenya hawakatai kuvipendelea vitu hivi na wenzao. Wao ndio bora zaidi. 

 

Wananchi 

kenya yavutia

Kwa ujumla, watu wa bara la Africa ni watu wakarimu sana. Wana Kenya wana ongoza kwa mtajo huu. Kama nilivyo kwambia, wao ni bora zaidi.

 

Silicon Savannah

Teknolojia ya bara la Africa linasemekana kuanza Kenya kutoka mwaka wa 2007 hadi 2010. Hapa ndipo teknolojia murua kabisa zilipo anzishwa. Kenya imesajiliwa kama bonde la silicon la bara la Africa na kujulikana kama “Silicon Savannah”. Inua glasi lako juu kama wakubaliana nasi kuwa technologia ina furahishwa. Pia Mark Zuckerberg yuwakubaliana nasi.

Vyakula vyao

kenya yavutia, chakula cha kupendeza

Chakula!!! Vyakula vya Kenya ni mojawapo ya tamu zaidi katika bara hili. Jaribu vyakula vyao tofauti vienye ladha kama vile; sima, pilau na matoke. Utajiuma ulimi kwani ni vitamu zaidi. Ila kabla ya hilo, sote twakubaliana kuwa wana Kenya wana pendeza.

 

Kahawa

kahawa ya kenya

Serikali ya Kenya inawapa msaada wakulima wa kahawa nchini na kuwa zawadi wakulima wenye mmea bora na bei nafuu. Hata kama chai ndio mmea bora Kenya, kahawa inailetea nchi fedha za kigeni. Kahawa ina harufu tofauti ya kupendeza, lazima uijaribu. Itakupendeza!!

 

Utamaduni

sex for sanitary products

Wakenya wana uingiliano murua kabisa wa tamaduni tofauti ziliko nchini hii. Kutoka kwa kabila ya Maasai, wanao sisimua watalii na uwezo wao wa kuruka juu angani hadi kwa mavazi ya Wasamburu. Utamaduni wa nchi hii ni miongoni wa zile bora zaidi katika bara la Africa. Bila shaka nchi ya Kenya yavutia.

 

Uzalendo mkuu

Wana Kenya wanajivunia nchi yao.

 

Muziki

Wanakenya ni baadhi ya watu wanaosifiwa kwa kupenda muziki kabisa katika bara la Africa. Wana muziki wao wana julikana na kusifiwa katika bara hili.

 

Makaburi ya kitamaaduni na kihistoria

Wananchi wa Kenya wana historia ya kupendeza na pia wana makaburi mengi ya kihistoria na kitamaaduni zilizo hifadhiwa vyema zitumike kukifunza kizazi kipya kuhusu historia yao. Pia ni mahala ya watalii kuzuru.

 

Sanaa na Ufundi

Kutoka kwa bidi za Maasai hadi kwa bakuli, na sanaa zilizo undwa kwa mikono kutoka kwa mbao na shuka, vikoi na khanga. Sanaa za kifundi ni nyingi sana katika nchi hili.

 

Hoteli za kifahari

wanyama wa pori

Nchi ya Kenya ina hoteli za kupendeza zilizo maridadi zaidi katika bara la Africa ambalo lina hoteli nyingi zaidi. Utapendelea kuishi na kulala kati hoteli hizi, na kukupa jambo la kukumbuka. Kwa kweli Kenya yavutia!

 

Written by

Risper Nyakio