Sayansi Inatufunza Jinsi Ya Kulea Watoto Wenye Furaha

Sayansi Inatufunza Jinsi Ya Kulea Watoto Wenye Furaha

Je, ulifahamu kuwa unaweza ongeza maarifa ya watoto wako kupitia kwa mazingira yao? Sayansi ina tuelimisha jinsi ya kufanya hivi.

"Unapokuwa na furaha, Nina furaha pia."Hii ni sentensi ambayo karibu wazazi wote wame waambia watoto wao mara moja ama nyingine. Hii ndiyo sababu unayo fanya yote uyafanyayo, kujitolea mhanga katika yote uyafanyayo. Unataka kumfanya mtoto wako afurahie. Imesemekana kuwa watoto wenye furaha hufanikiwa wanapokuwa watu wazima. Kwa hivyo bila fiche, hatuku laumu kwa kuyafanya yote uyafanyayo kuhakikisha ana furaha. Kwa hivyo, kipi kinacho mfurahisha mtoto wako? Mbali na vitamu tamu na michezo ya video na masaa mengi wakitizama runinga. Na kabla tusahau, simu mpya na kuwatembelea marafiki zao mara kwa mara. Inapofika wakati wa kinacho kuwa na maana, unamleaje mtoto mwenye furaha? Wanasayansi walijaribu kujua zaidi kwa utafiti. Kitu cha kwanza walicho fanya sawa, ilikuwa kuyasikia maneno haya kutoka kwa mdomo wa wazazi. Waliendelea kuwauliza wazazi kilicho wafurahisha.

Sayansi ya peleleza kinacho mfurahisha mtoto

Sayansi Inatufunza Jinsi Ya Kulea Watoto Wenye Furaha

Watoto katika utafiti wa 2009 waliulizwa kuorodhesha vitu vilivyo wafanya wafurahi. Sio jambo jipya kuwa vitu vya kununuliwa vilikuwemo kwa orodha hiyo. Baadhi ya wazazi huenda wakaogopa hilo, ila pesa nyingi, hawawezi gharamia vitu vinavyo wafurahisha watoto wao.

Walakini, kuna habari njema. Vitu vya kununuliwa sio vitu pekee vinavyo wafanya watoto wawe na furaha- watoto kwenye utafiti huo wali orodhesha watu, wanyama wa nyumbani, shughuli wanazo penda kufanya, michezo na mafanikio yao kama vitu vinavyo wafanya wawe na furaha.

Cha muhimu zaidi, vitu vya kununuliwa sio vitu muhimu zaidi kwa furaha ya watoto. Wakati ambapo watoto kwenye utafiti huu walipo ulizwa kuchagua kati ya vitu vilivyo kuwa kwa orodha yao, mshindi imara aliibuka, na haikuwa vitu vya kununuliwa. Ilikuwa watu na wanyama wa nyumbani. Watoto walidodoa shughuli wanazo furahia kufanya, michezo, mafanikio na vitu vya kununuliwa ili kubakisha watu na wanyama wa nyumbani kwenye orodha zao.

Cha kufurahisha, watoto walipo chagua kubakisha vitu vya kununuliwa kwenye orodha yao, ni kwa sababu vitu hivi vili husika na uhusiano wake na watu wengine. Kwa mfano, rununu zilionekana kuwa za dhamana kwa sababu ziliwakubalisha watoto kuongea na jamii na marafiki wao.

Utafiti unapendekeza kuwa kuwa na wakati na watu na wanyama wa nyumbani ni muhimu zaidi kwa furaha ya watoto ikilinganishwa na vitu vya kununuliwa. Hili ni jambo nzuri, ila, je, kipi kitacho tendeka iwapo unashindwa kuwa na wakati mwingi na watoto wako kadri ungevyo penda. Kuna maana kuwa wewe ni mzazi anaye kuwa na umasikini wa wasaa iwapo, masomo, kazi na familia zina ingilia kati ya wasaa wako na watoto wako?

Inachukua jamii...

kinacho mfurahisha mtoto

Usikate tamaa. Watoto katika utafiti ule walisema kuwa wazazi hawakuwa watu pekee ambao waliwaletea furaha. Uhusiano na wanafamilia wengine, marafiki, walimu, makocha na majirani pia walikuwa muhimu. Kwa hivyo, utafiti unapendekeza kuwa kuegemeza watoto kuwa na mahusiano salama na ya kuaminika na watu wazima na wana rika wao na kuhimiza watoto waingiliane kwa njia salama na wanyama wa nyumbani, huenda zikawa njia za kuegemeza furaha ya watoto hasa kwa wazazi wanao shindwa kuwa na wakati mwingi na watoto wao vile ambavyo wangependa.

Wazazi wengi wamesikia msemo kuwa ni juhudi za jamii zinazo walea watoto. Utafiti uliofanyika hapa una unga mkono wazo hili, kwa kuonyesha kuwa uhusiano na watu wengi na wanyama wa nyumbani ni muhimu kwa furaha ya watoto. Inaonekana kuwa watoto wanakubaliana kuwa bila shaka 'inachukua juhudi za jamii kulea mtoto'.

Kinacho mfurahisha mtoto: Jinsi ya kulea watoto wenye furaha

kinacho mfurahisha mtoto

Kuwa na furaha mwenyewe

kinacho mfurahisha mtoto

Hatua ya kwanza ya kuwa na watoto wenye furaha, bila shaka ni kujipenda kidogo. Furaha yako hu athiri furaha na mafanikio ya watoto wako. Wazazi wenye furaha huwafurahisha watoto, na hiki si kisa cha jini peke yake.

Wafunze kuwa na uhusiano na watu

Sayansi Inatufunza Jinsi Ya Kulea Watoto Wenye Furaha

Sote tunajua kuwa kusoma kuhusu uhusiano ni muhimu. Lakini, ni wazazi wangapi wanao chukua muda kuwa funza watoto jinsi ya kuwasiliana na wengine. Inaweza anza na kuwatia moyo watoto kufanya matendo madogo madogo ya fadhili kuwafanya wawe na ukarimu. Huku kunawasaidia kuwa na uwezo muhimu na kuwafanya wawe watu bora, utafiti unaonyesha kuwa kwa muda mrefu, wao huwa na furaha.

Tarajia juhudi, sio kukosa doa

Jambo muhimu la kujua kwa wazazi wanao tarajia mambo yote yawe sawa, tulia. Kutarajia watoto wawe sawa wakati wote hufanya watoto wawe na shaka. Utafiti ulikuwa na utaratibu. Sifu jitihada sio uwezo asili.

Wafunze kuwa na maono chanya

kinacho mfurahisha mtoto

Ungependa kuepuka kuwa na mtoto anayekua aliye na hasira wakati wote? Wafunze watoto wangali wachanga kutizama upande chanya wa maisha. Mwandishi Christine Carter aliweka kwa utaratibu:"Kuwa na maono chanya kuna husika kwa karibu na furaha na yote mawili yana toshanishwa."

Hakikisha mazingara yao yana furaha

Iwapo hatupendi kukubali, mara nyingi ama wakati wote, sote tuna hamasishwa na mazingara yetu- zaidi ya tunavyo ng'amua. Juhudi zako zita thibitiwa na wakati na juhudi, wakati ambapo mahali pana tu athiri, pia watoto, mara kwa mara. Ni njia ipi bora ya kudhibiti mazingira ya watoto na kuruhusu juhudi zako kuwa na athari kubwa zaidi? Punguza wakati wa kutizama televisheni.

Soma pia: Things happy moms do, that angry moms dont

Written by

Risper Nyakio