Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Kipimo Cha Mimba Kinachukua Muda Upi Kuonyesha Matokeo?

2 min read
Kipimo Cha Mimba Kinachukua Muda Upi Kuonyesha Matokeo?Kipimo Cha Mimba Kinachukua Muda Upi Kuonyesha Matokeo?

Kufahamu kipimo cha mimba huonyesha matokeo baada ya muda upi ni muhimu kwa mwanamke. Ili apate matokeo sahihi anapo fanya kipimo hiki.

Kupevuka kwa yai hufanyika katika siku ya 15 hadi ya 28 ya mzunguko wa hedhi. Kipimo cha mimba huonyesha matokeo baada ya muda upi?

Mchakato wa kurutubishwa kwa yai

kupima mimba kwa kutumia mafuta ya kula

Katika mimba ya kawaida, yai lina rutubishwa kwenye mirija ya ovari kisha kusafiri kwenye uterasi. Linapofika kwenye uterasi, lina jipandikiza kwenye kuta zake. Na baada ya hapo mwili wa mwanamke unaanza kutoa kichocheo cha hCG kutoka kwa seli zinazo kua kwenye placenta.

Baada ya kujipandikiza, siku nane baada ya kupevushwa kwa yai, viwango vya hCG mwilini vinaanza kuongezeka na kudhibitika kwenye mimba ya mapema.

Mwanamke anaweza kuwa na matokeo chanya ya mimba siku kadhaa kabla ya kukosa kipindi chake cha hedhi. Ila, ili kuwa na matokeo chanya kwenye kipima mimba, lazima viwango vya hCG mwilini ambacho ni kichocheo cha mimba viwe vingi. Ili kupata matokeo sahihi, mwanamke ana shauriwa kufanya kipimo siku mbili baada ya kukosa kipindi chake cha hedhi.

Kwa vipimo vyote vya mimba vya kinyumbani, mwanamke ana shauriwa kufanya asubuhi anapo amka. Kwa kutumia mkojo wa kwanza wa siku kwani una viwango vilivyo kolea vya homoni ya mimba.

Athari za kufanya kipimo cha mimba mapema

kipimo cha mimba huonyesha matokeo baada ya muda upi

Kufanya kipimo cha mimba huenda kukafanya upate matokeo hasi baada ya kupima. Hii ni kwa sababu kiwango cha hCG mwilini kingali kidogo. Hata ingawa vipimo vya mimba ya kinyumbani ni sahihi kwa asilimia 99, sio wakati wote ambapo vinaweza kugundua kuwepo kwa hCG mwilini.

Sababu zingine ambazo zinaweza fanya mwanamke kutopata matokeo sahihi ni anapo tumia kipima mimba kilicho haribiki. Ikiwa kimepitisha siku zake za kuwa kwenye duka, hakita onyesha matokeo sahihi.

Kutofuata maagizo ni sababu nyingine inayo sababisha matokeo kutokuwa sahihi. Maagizo ya kutumia kipima mimba cha kinyumbani yame dokezwa kwenye kijikaratasi ndani ya sanduku la kipima mimba. Ni muhimu kufuata maagizo hayo yalivyo ili kuwa na mafanikio. Hakikisha kuwa hautumbukizi pregnancy strip na kupitisha isipo paswa kupita.

Kupima katikati ya mchana wakati ambapo viwango vya homoni ya mimba (hCG) haija kolea sana, huenda kukasababisha kupata matokeo yasiyo sahihi. Hakikisha unafanya kipimo mwanzo wa siku. Baada ya kujibu swali la kipimo cha mimba huonyesha matokeo baada ya muda upi? Hakikisha kuwa una fuata maagizo ya kufanya kipimo cha kinyumbani ili upate matokeo sahihi.

Soma Pia:Je, Kipima Mimba Kina Fanya Kazi Vipi? Jinsi Ya Kutumia Pregnancy Strip

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Trying To Conceive
  • /
  • Kipimo Cha Mimba Kinachukua Muda Upi Kuonyesha Matokeo?
Share:
  • Sababu 3 Kuu Za Matokeo Hasi Ya Kipimo Cha Mimba Hata Baada Ya kuwa Na Ishara

    Sababu 3 Kuu Za Matokeo Hasi Ya Kipimo Cha Mimba Hata Baada Ya kuwa Na Ishara

  • Je, Kipimo Cha Mimba Kinaweza Kudanganya?

    Je, Kipimo Cha Mimba Kinaweza Kudanganya?

  • Kipimo Cha Mimba Kwenye Simu Na Jinsi Kinafanyika

    Kipimo Cha Mimba Kwenye Simu Na Jinsi Kinafanyika

  • Vipimo Vya Kudhibitisha Kuwepo Kwa Mimba

    Vipimo Vya Kudhibitisha Kuwepo Kwa Mimba

  • Sababu 3 Kuu Za Matokeo Hasi Ya Kipimo Cha Mimba Hata Baada Ya kuwa Na Ishara

    Sababu 3 Kuu Za Matokeo Hasi Ya Kipimo Cha Mimba Hata Baada Ya kuwa Na Ishara

  • Je, Kipimo Cha Mimba Kinaweza Kudanganya?

    Je, Kipimo Cha Mimba Kinaweza Kudanganya?

  • Kipimo Cha Mimba Kwenye Simu Na Jinsi Kinafanyika

    Kipimo Cha Mimba Kwenye Simu Na Jinsi Kinafanyika

  • Vipimo Vya Kudhibitisha Kuwepo Kwa Mimba

    Vipimo Vya Kudhibitisha Kuwepo Kwa Mimba

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it