Krimu Bora Kwa Ngozi Yako Nyeupe: Aina Ya Mafuta Bora Kwa Ngozi Yako

Krimu Bora Kwa Ngozi Yako Nyeupe: Aina Ya Mafuta Bora Kwa Ngozi Yako

Hizi ni baadhi ya aina za mafuta zilizo jaribiwa zinaisaidia ngozi yako.

Ngozi ya Kiafrika bila shaka ina tofauti sana na za tabaka zingine. Hii ndiyo sababu kutumia krimu yoyote ama yoyote ile iliyo tengenezwa na Caucasians wakiwa akilini haitangamani vyema na ngozi hii. Huku wana Nigeria wengi wakiamua kukaa mbali na hydroquinone, na asidi ya kojic na kemikali zingine za kujichungwaa, swali linalo tanda hewani ni: je, ni krimu gani iliyo bora zaidi kwa ngozi nyeupe huko Nigeria?

Cha kushangaza ni kuwa watu walio na ngozi nyeusi kidogo wanapendelea kutumia shea butter ama coco butter kama utaratibu wa kulinda ngozi yao. Sio jambo mpya kwani nyanya zetu pia wali thamini utumizi wa she butter (Ori), ambayo imekuwa kitu cha muhimu kwa dunia ya utunzaji wa ngozi nyeusi leo. Kwa pamoja, tuna angazia krimu bora kwa ngozi nyeupe. Haijalishi rangi, ngozi yako ni mojawapo ya urembo ambao mama wa mazingara alikutunuku. Kwa hivyo unapaswa kuilinda. Hapa kuna orodha ya krimu zilizo bora zaidi kwa ngozi yako nyeusi.

Angazia Baadhi ya Krimu Bora Zaidi Kwa Ngozi Nyeupe Ambazo Wanawake Wanatumia Kwa Sana

Dermatological E-45

best cream for dark skin tone

Hii ni moja wapo ya moisturiser bora zaidi huko Uingereza. Krimu hii inaponya ngozi iliyo kauka. Walio itengeneza wana aina mbili za krimu hii ya utunzaji wa ngozi, zote ambazo zinaifanya ngozi yako iwe laini. Kuna krimu nyembamba na mafuta. Kitu cha muhimu zaidi kuhusu bidhaa hii ni kuwa kila mmoja wa familia yako anaweza itumia hata watoto. Haina vitu ambavyo vimeongezwa vyenye athari hasi kwa ngozi. Hii ndiyo sababu inajulikana kama krimu bora zaidi kwa ngozi nyeusi.

Nyraju

Krimu Bora Kwa Ngozi Yako Nyeupe: Aina Ya Mafuta Bora Kwa Ngozi Yako

Bidhaa hii ilitengenezwa hasa kwa ngozi yako nyeusi. Iwapo unatafuta krimu bora zaidi kwa ngozi yako ya hudhurungi, bila shaka utaipata kwa bidhaa zingine za familia ya Nyraju za uso na mwili. Mbali na krimu, kuna pia vifaa vya kusugua maarufu kama scrubs, alama za kunyoosha na matibabu ya doa kwenye ngozi, barakoa ama maski na kila kitu kinacho hitajika kuifanya melanin yako ionekane zaidi.

Nivea Naturally Even

best cream for dark skin tone

Mafuta haya yana vitamini E na chujio mbili za UV, zitapunguza kupata madoa kusiko kwa kawaida. Pia itasaidia ngozi yako kupata rangi maalum. Pia utaweza kupambana na kuzeeka kunako sababishwa na kuchungwaa. Mafuta ya Nivea yana bei bora na watu wengi wenye ngozi nyeusi wanayapenda.

Krimu bora kwa ngozi nyeupe: Aveeno Daily Moisturizing

best cream for dark skin tone

Haya ni mafuta ya kuipa ngozi yako unyevu ambao umethibitika kuipa ngozi yako unyevy kwa masaa 24. Ina colloidal oats asili na shea butter. Ina saidia kukumbana na kujikuna ngozi iliyo kauka na huenda hii ikawa sababu kwa nini inapendwa na wengi. Haina ufuta mwingi na pia haina harufu kali na huku kuna fanya utunzaji wa ngozi yako kuwa kwa kupendeza.

The Body Shop Shea Body Butter

krimu bora kwa ngozi nyeupe

Shea butter ina vitamini na antioxidants za asili. Wana Nigeria wana amini Body Shop kwani ina egemea sana kwa njia asili, bidhaa za utunzaji wa ngozi zinazo tengenezwa kwa njia halisi, wewe pia unapaswa kuzipenda. Kwa hivyo, kwa wale ambao hawawezi tumia shea butter kwenye ngozi yako, shea body butter ndicho kitu kikubwa zaidi.

Ambi Soft & Even Creamy Oil

cream for chocolate skin

Utagundua kwamba bidhaa hii imepata hakiki nyingi chanya kwa kuchanganyishwa kwa vitu asili: shea butter, kwa ngozi laini na mafuta ya olive kufanya ngozi isikauke. Aina ya Johnson & Johnson inaheshimika kwa sana duniani kote na ina kuahidi ngozi inayo ng'aa na yenye afya. Na sio kwako tu ila kwa watoto wako pia.

Jergens Shea Butter Deep Conditioning Moisturizer

Krimu Bora Kwa Ngozi Yako Nyeupe: Aina Ya Mafuta Bora Kwa Ngozi Yako

Utapata kuwa imetajwa kwa kiburi kwenye mafuta haya kuwa yamechanganywa na shea butter asili. Jergens ni aina ambayo imetambulika kwa miaka mingi Nigeria. Ila, inapo fika kwa kufanya ngozi yako ing'ae, shea butter inachukua jukumu hili. Kwa hivyo, huo ni ushindi kwa Jergens Shea Butter. Na pia cha muhimu zaidi ni kuwa familia yote inaweza yatumia mafuta haya.

Palmers Cocoa Butter Formula

krimu bora kwa ngozi nyeupe

Mbali na manukio haya ya kupendeza, mafuta haya yana vitamini E. Hii ndiyo sababu inayo wafanya watu wengi wanayapenda na huenda ukayapenda pia. Vitamini E inailinda ngozi yako kuto poteza oxygeni. Watu wengi wanayo yatumia mafuta haya wanasema kuwa wame yatumia tangu wakiwa wadogo. Huenda ikawa sababu kwa kuwa kwenye orodha ya krimu bora zaidi kwa ngozi nyeupe.

Mambo 3 Unayo Paswa Kufanya Kila Siku Kuhakikisha Ngozi Yako Nyeusi Ina Afya

  •  Kuosha. Ni muhimu sana kuhakikisha kuwa unaosha ngozi yako kwa kutumia maji kila siku.
  • Kuhakikisha ina maji. Ngozi yako imetengenezwa kwa asilimia 70 ni maji na 15 ni ngozi ya juu kwa kimombo epidermis. Unapaswa kuipa ngozi yako unyevu wakati wote na vyema. Pia unaweza tumia barakoa ya unyevu ama maji moto.
  • Kuipa virutubisho. Ngozi yako kama mwili wako wote inahitaji vitamini na madini. Unaisaidia ngozi yako unapo ipa virutubisho.

Chanzo: Legit NG

Soma Pia: 5 Simple ways to use makeup to look younger!

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Ayeesha na kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

 

Written by

Risper Nyakio