Jinsi Ya Kufahamu Kubanwa Kwa Ujauzito Kwa Kweli

Jinsi Ya Kufahamu Kubanwa Kwa Ujauzito Kwa Kweli

Kubanwa kwa ujauzito huenda kukatendeka kwa safari yote ya ujauzito.

Katika trimesta ya mwisho, mwili wako huanza kujitayarisha ili kujifungua. Huenda kukawa wakati wa kukukwaza na homoni kubadilika sana hakukusaidii. Kujua unapokuwa na uchungu wa uzazi na wakati wa kwenda hospitalini kufuatia kubanwa kwa ujauzito na uchungu wa uzazi huenda kukakusaidia kuhisi vyema na ujasiri zaidi kwa wiki za mwisho. Tunaelezea hapa chini aina tofauti za kubanwa na jinsi ya kusema tofauti kati ya uchungu wa uzazi wa kweli na usio wa kweli.

Aina ya Kubanwa kwa Ujauzito

When To Go To Hospital

Kubanwa huenda kukawa wa safari yote ya ujauzito, ama katika hatua ya kwanza ya uchungu wa uzazi, na ni muhimu kujua tofauti kati ya uchungu wa uzazi wa kweli na Braxton Hicks contractions. – na hakuna kitu mbaya kama kujikunja kwenye hospitali hadi uambiwe ni ishara isiyo ya kweli.

Kubanwa kwa Braxton-Hicks

Braxton-Hicks contractions kunaweza anza wakati wowote kutoka mwezi wa nne wa ujauzito. Kubanwa huku kwa mara nyingi huwa kukazwa kusiko na uchungu kwa tumbo. Na hakuna muundo na sio kawaida. Huunda aina ya mazoezi ya misuli ya uterasi ili kuitayarisha kwa siku yako kuu.

Braxton-Hicks contractions kwa kawaida huja unapo choka, kukosa maji tosha mwilini ama unapo simama kwa muda mrefu. Kupunguza kubanwa huku, unaweza jaribu kukaa chini ama kulala (iwapo unalala, lala kwa upande wako wa kushoto). Na unywe maji mengi.

Iwapo kubanwa huku hakupunguki na kunaendelea kuwa kwa mara kwa mara, unapaswa kumwita daktari wako na ujue iwapo una uchungu wa uzazi wa mapema. Hapa ni jinsi ya kujua iwapo uko katika hatari ya uchungu wa mapema wa uzazi.

Kubanwa kwa uchungu wa uzazi kwa mapema

Kubanwa kwa muda kwa mara kwa mara kunako tendeka kabla ya wiki 37 huenda kukachukuliwa kama uchungu wa uzazi wa mapema. Kubanwa kwa mara kwa mara huenda kukawa kwa baada ya dakika 10 hadi 12. Na wakati ambapo kubanwa huku kunatendeka, tumbo yako huenda ikawa gumu kugusa na unaweza hisi uterasi yako ikiwa imekazwa.

Ishara zingine ni kama vile:

  • Kubadilika kwa uchafu wa uke- huenda kukawa na maji zaidi ama damu
  • Shinikizo katika sehemu ya pelviki kana kwamba mtoto wako anasukuma chini
  • Kuumwa na mgongo
  • Kuumwa na tumbo kama vile hedhi

Iwapo unagundua mojawapo ya ishara hizi ama dalili, unapaswa kupigia mtunzi wa afya aliye karibu nawe zaidi!

 Kubanwa kwa ujauzito

Wakati ambapo uchungu wa uzazi wa ukweli unaanza, kubanwa hukuwa kwa muda mrefu, huwa kwa nguvu zaidi na huwa baada ya wakati mdogo. Wakati huu, kunywa maji ama kupumzika hakuta fanya kazi kurahisisha mambo. Katika hatua hii, kubanwa huku kunasaidia kupanua mlango wako wa uke.

contractions

Katika mwisho wa ukweli wa uchungu wa uzazi, vipindi kati ya kubanwa kutakuwa na tofauti kubwa na huenda kukawa kwa muda wa sekunde 30-90.

Unapofika kwa hatua ya mabadiliko, kubanwa huku kutazidi kuwa kuchungu zaidi. Unahisi kana kwamba kila kubanwa kunakuzunguka mwilini mwako, na kuenda sehemu ya chini ya mwili wako hadi kwa miguu. Katika hatua hii ya kubanwa kwako huenda kukawa kwa kipindi cha sekunde 45-60 na kunatokea baada ya kila dakika 5. Iwapo unaanza kuhisi hivi, huenda ukataka kuanza kuelekea hospitalini.

Ishara zingine za kuanzia kwa uchungu wa kubanwa ni kama vile kuvunja kwa maji yako na kuonekana kwa uchafu wa kamasi, na huenda kukawa na damu. Kuvunja kwa maji yako huenda kukahisi kana kwamba ni kutoka kwa kiasi kidogo tu ama kutoka kama mfereji.

Wakati ambapo uko karibu kupanuka kwa sentimita 7-10, kubanwa kwako huenda kukawa kwa sekunde 30-90 baada ya muda wa sekunde 30 hadi mbili kati kati. Huenda kukawa na overlaps huku mwili wako ukikaribia kusukuma.

Iwapo una shaka kuhusu uchungu unaweza uthibiti kwa Breathing And Relaxation For Pain Relief During Labour.

Tofauti kati ya kubanwa kwa uchungu wa uzazi kwa kweli na kusiko kwa kweli
Braxton-Hicks True labour
Happen irregularly and don't become regular They occur at regular intervals
Do not get closer with time Get closer with time
Sometimes strong, sometimes weak Get stronger over time, you may not even be able to walk
When you move around, lie down or drink water, they may stop Do not stop when you change positions, move around or drink water

 

Jinsi Ya Kufahamu Kubanwa Kwa Ujauzito Kwa Kweli

Hakikisha kuwa una starehe

Uchungu wa uzazi ni mchakato mrefu na unaochosha. Hapa kuna njia fupi unaweza kuwa na starehe unapo ngojea kwenda hospitalini:

  • Hakikisha viwango vyako vya vinywaji viko juu
  • Tembea kwa upole kupunguza uchungu
  • Jaribu mazoezi ya kupumua
  • Mwambia mchumba wako akusugue mgongo

Utafiti una pendekeza kuwa wanawake watakuwa na uchungu wa uzazi chanya wakikaa nyumbani siku zao za mapema. Kumbuka kuwa uchungu wa uzazi unaweza enda kwa wakati mrefu. Kwa hivyo hakikisha kuwa una starehe, jaribu kutembea, kunywa maji tosha na ununue vyakula vyepesi vingi. Kujifungua huenda kukawa kugumu zaidi ya kukimbia masafa marefu!

Unapogundua dalili za uchungu wa uzazi, jikumbushe kuwa unaweza fanya hivi. Kujifungua ni asili na mchumba wako na mkunga wako hapa kukusaidia katika safari yote. Kumbuka, sio wakati mrefu sasa hadi siku yako kuu ifike na upatane na mtoto wako mchanga!

Wakati wa kwenda hospitalini ukiwa na uchungu wa uzazi wa mtoto wa pili

Hiyo ni kweli, kunaweza kuwa na tofauti ya uchungu wa uzazi na mtoto wako wa kwanza na wa pili, sio hali yako ya akili tu. Kwa ujumla, uchungu wako wa uzazi utaendelea kwa mbio sana na hautahutaji kusukuma kwingi sana (habari njema!) Pia ni kawaida kwa wanawake wanaokuwa na watoto wao wa pili kuingia katika uchungu wa uzazi kwa kasi zaidi, na kwa mara nyingi kabla ya siku unayo tarajia, wa hivyo kuwa tayari.

Chanzo: Healthline, MarchofDimes

Soma pia: Labour Signs: How To Know When Baby Is On The Way

Written by

Risper Nyakio