Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Sababu 5 Kwa Nini Ni Vyema Zaidi Kufanya Mazoezi Baada Ya Umri Wa Ugumba

2 min read
Sababu 5 Kwa Nini Ni Vyema Zaidi Kufanya Mazoezi Baada Ya Umri Wa UgumbaSababu 5 Kwa Nini Ni Vyema Zaidi Kufanya Mazoezi Baada Ya Umri Wa Ugumba

Kufanya mazoezi katika umri huu wa ugumba kutasaidia afya yako ya kihisia, kifizikia na kiakili. Utaweza kudhibiti uzani wa mwili na kuhisi vyema zaidi.

Kwa wengi wetu wanao penda kufanya mazoezi, sio siri faida unazo pata kutokana na kufanya mazoezi. Mbali na kuhisi vizuri, kuna manufaa mengi ya kifizikia na kisaikolojia. Na manufaa haya ni bora zaidi kwa wanawake wanao pitia umri wao wa ugumba. Huenda mabadiliko yanayo tendeka mwilini mwao katika kipindi hiki yakawafanya wahisi uchungu ama wakose starehe. Kufanya mazoezi katika ugumba kutakusaidia katika hatua hii ya maisha yako na kukufanya uhisi vyema zaidi.

Haijalishi aina ya mazoezi unayo yafanya, kukimbia, kupiga dondi, yoga, kuogelea, kujumuika na darasa la mazoezi al maruufu kama gym ama aina yoyote ili ya mazoezi. Hapa kuna sababu kwa nini huu ndiyo wakati bora kwako kufanya mazoezi.

Faida 5 Za Kufanya Mazoezi Katika Ugumba

kufanya mazoezi katika ugumba

  1. Kuboresha afya ya mifupa yako

Ni vyema kwa wake kwa waume kuwa waangalifu na afya yao ya mifupa wanapo zidi kula chumvi. Hata hivyo, wanawake wako katika hatari zaidi ya kuugua mifupa isiyo na nguvu. Kufanya mazoezi kutawasaidia kuhakikisha kuwa mifupa yao ina nguvu inavyo stahili. Ni vyema kuongeza uzani kwa bidhaa za mazoezi unazo tumia.

2. Afya ya moyo

Mwanamke anapo ingia katika kipindi cha ugumba, homoni ya estrogen hupunguka mwilini. Na kumweka katika hatari ya kolesteroli mbaya kuongezeka mwilini, huku ufuta mzuri mwilini ukipunguka. Mwanamke ako katika hatari ya kupata maradhi ya moyo na huenda akafa. Ni vyema kuzidi kufanya mazoezi ama kuanza kufanya mazoezi katika kipindi hiki.

3. Kupunguza na kudhibiti uzito

Kipindi cha ugumba huwa na mabadiliko mengi ya homoni mwilini. Na mwanamke huenda aka shuhudia ongezeko la uzito mwilini katika kipindi hiki. Ikiwa hako makini na chakula anacho kila, kuna hatari ya kuongeza uzani zaidi wa mwilini. Katika kipindi hiki, ni muhimu kwa mwanamke kuhakikisha kuwa anakula chakula chenye afya, na kufanya mazoezi kwa angalau lisaa limoja kila wiki.

kufanya mazoezi katika ugumba

Hitimisho

Kipindi hiki cha ugumba huenda kikawa mojawapo ya wakati wenye changamoto zaidi katika maisha ya mwanamke. Mwili wako unapitia mabadiliko mengi, yenye uchungu ama yasiyo na starehe na ungali unajifunza jinsi ya kuzidi kuupenda katika wakati huu. Shika usukani wa maisha na afya yao kwa kufanya mazoezi katika umri wa ugumba. Haijalishi aina ya mazoezi unayo amua kufanya, hakikisha kuwa hauketi kwenye nyumba siku yote bila kufanya chochote.

Mazoezi yana saidia afya yako kwa jumla, ya kifizikia, kiakili na kihisia. Kumbuka kuwa ikiwa haukupenda mazoezi hapo mbeleni, huu ndiyo wakati bora wa kuanza.

Soma Pia: Matatizo Ya Ugumba Na Jinsi Ya Kuya Jadili Kwa Uwazi

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Health
  • /
  • Sababu 5 Kwa Nini Ni Vyema Zaidi Kufanya Mazoezi Baada Ya Umri Wa Ugumba
Share:
  • Mambo 5 Muhimu Unayo Paswa Kufanya Kabla Ya Kufanya Mazoezi

    Mambo 5 Muhimu Unayo Paswa Kufanya Kabla Ya Kufanya Mazoezi

  • Ujauzito Na Mazoezi: Ni Salama Kufanya Mazoezi Katika Kipindi Hiki?

    Ujauzito Na Mazoezi: Ni Salama Kufanya Mazoezi Katika Kipindi Hiki?

  • Kuna Uwezekano Wa Mama Kupata Mimba Katika Umri Wa Ugumba?

    Kuna Uwezekano Wa Mama Kupata Mimba Katika Umri Wa Ugumba?

  • Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Unaongeza Uzito Hata Baada Ya kufanya Mazoezi

    Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Unaongeza Uzito Hata Baada Ya kufanya Mazoezi

  • Mambo 5 Muhimu Unayo Paswa Kufanya Kabla Ya Kufanya Mazoezi

    Mambo 5 Muhimu Unayo Paswa Kufanya Kabla Ya Kufanya Mazoezi

  • Ujauzito Na Mazoezi: Ni Salama Kufanya Mazoezi Katika Kipindi Hiki?

    Ujauzito Na Mazoezi: Ni Salama Kufanya Mazoezi Katika Kipindi Hiki?

  • Kuna Uwezekano Wa Mama Kupata Mimba Katika Umri Wa Ugumba?

    Kuna Uwezekano Wa Mama Kupata Mimba Katika Umri Wa Ugumba?

  • Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Unaongeza Uzito Hata Baada Ya kufanya Mazoezi

    Hizi Ndizo Sababu Kwa Nini Unaongeza Uzito Hata Baada Ya kufanya Mazoezi

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it