Uhusiano Wenye Sumu: Jinsi Ya Kugundua Iwapo Mwanamme Anakutawala

Uhusiano Wenye Sumu: Jinsi Ya Kugundua Iwapo Mwanamme Anakutawala

Katika uhusiano wenye afya, mchumba wako anapaswa kukuheshimu. Hizi ni ishara za mwanamme anaye kutawala.

Ukweli kuhusu kutawaliwa ni kuwa kwa mara nyingi huanza bila kujua. Kama mwanamke, huenda ukaona kama jambo la kusisimua kwanza, kana kwamba anafanya mambo yanayo faa. Ila, kadri wakati unavyo zidi kusonga, unaanza kugundua ishara za mwanamme anaye kutawala. Mipaka uliyo puuza ama kupika bila kuwa makini sana. Na kwa bahati mbaya, kwa wakati huu, huenda ikawa umechelewa sana kuweka mipaka mipya. Huenda ikawa mmeipita sana, kwa kiwango kuwa kutatua shida hii huenda ukaenda kortini kupata talaka. Kwa hivyo una baki na kuyapitia haya yote, ukishangaa jinsi ulivyo kubalisha mambo yakazidi hivi. Kila mwanamke anahitaji kugundua iwapo mwanamme anakutawala.

how to tell of a man is dominant

Uhusiano wenye mapenzi wakati wote ni kuhusu watu wawili walio kuja pamoja kuonyesha mapenzi yao kwa kila mmoja (kuwa pamoja ama kuoana). Ila kuna imani kuwa lazima mmoja atupilie mbali vitu muhimu kujihusu ili kuwa na mtu huyo mwingine. Ni kweli, huenda kukawa na misuko suko ya kurekebisha kwa kila mmoja itakayo pelekea kupata usawa wenu kama kitu kimoja. Ila, haipaswi kuwa mmoja wenu kubadili ndoto zako na vitu muhimu kuhusu maisha yao ili kuwa kwa uhusiano na huyo mwingine. Na wanaume wanao tawala, unagundua kuwa usawa huu hauko. Makala haya yanakuonyesha mambo ya kuwa mwangalifu; jinsi ya kugundua iwapo mwanamme anakutawala.

Jinsi Ya Kugundua Iwapo Mwanamme Anakutawala

kugundua iwapo mwanamme anakutawala.

Iwapo ungependa kujua iwapo bwanako ama mchumba wako ni aina ya kutawala, haapa chini kuna ishara za kawaida.

  • Hataki uwe na maoni tofauti na yake

Iwapo katika hatua yoyote katika uhusiano wako unajipata katika hali ambapo unaogopa wakati wote kusema maoni yako yaliyo tofauti na yake, jua kwamba una mchumba anaye kutawala. Kuna tofauti kati ya hili na kufanya zoezi la kuficha maoni yako ama kutoyasema katika wakati wowote kwa sababu wakati sio sawa ama kufuatia sababu zinginezo.

  • Kukuangalia kwa njia fulani kunakufanya unyamaze

Uhusiano Wenye Sumu: Jinsi Ya Kugundua Iwapo Mwanamme Anakutawala

Hii ni mojawapo ya ishara za kawaida za mume anaye tawala. Huenda ukawa katikati ya sentensi na hapendi unacho sema, anakuangalia vibaya. Na hutagundua ama kujua jinsi unavyo jipata umenyamaza. Ni tendo usilo kusudia. Aina hii ya utawala hudhibitika kupitia kwa matendo ya kurudia ya kuchukua haki ya hisia zako hadi pale unapo hisi kana kwamba hauna haki ya kufanya kitu bila kibali chake.

  •  Haheshimu nafasi yako ya kibinafsi

Kwa mwanamme anayependa kutawala, hauko kiumbe binafsi. Kwa hivyo utaitishaje nafasi ama wakati wa kipekee? Kwake, uko hapo tu kwa faida yake. Huenda hata ukamwona akikupeleleza. Hapendi uwe na maisha ya kijamii. Marafiki wako huonekana kana kwamba ni tishio kwake, na wakati wote kuna maswali kuhusu chochote unacho kifanya. Na kulingana na Mayla Green, kocha wa uhusiano, ni kwa sababu unahofia kuwaambia marafiki wako kuhusu tabia yake ya kukutawala.

"Iwapo tutaanza kuwaongelesha wengine kuhusu tabia za kutawala za wachumba wetu, marafiki wetu wata hakikisha wanatujulisha kuwa tuko katika uhusiano wenye sumu na ni wakati tuanze kufikiria kutoka," Green alisema.

  • How To Tell If A Man Is Dominant: Correcting you during a conversationJinsi ya kuambia 

Hii ni njama ya kukutawala. Uko sentensi nusu na unafanya kosa, kutamka neno vibaya ama kutumia jina na ngeli iliyopita ama kutumia ngeli nyingine, na anakurekebisha kila mara. Huku kunatendeka mara kwa mara hadi unakosa ujasiri, unaanza kujishuku unapokuwa karibu naye. Unakosa hamu na haja ya kuongea anapokuwa karibu, hii ni ishara ya kukutawala. Ama inatendeka kuwa yeye ndiye ana hadithi njema wakati wote. Iwapo ulisema umechoka, anakwambia kuwa amechoka zaidi yako. Umekuwa na siku mbaya? Alikuwa na siku mbaya kushinda yako.

  • Wewe ndiye msichana wa kuangukia

kugundua iwapo mwanamme anakutawala.

Ishara nyingine kuwa anajaribu kukutawala ni kuwa kamwe hachukui jukumu kwa matendo yake. Matendo yake kwa saa zote ni kwa sababu ya ulicho fanya. Iwapo hungefanya kitu hicho hangefanya alicho fanya. Unapaswa kujua kuwa hauna jukumu lolote kwa matendo ya watu wengine. Kulingana na mwanasaikolojia Emily Roberts MA, LPC, "Lazima uwe tayari kuweka mipaka na kujithibiti na kujaribu kujiheshimu mwenyewe hata kama ni ndogo (kungoja dakika chache kuwapigia, kwa mfano). Unapaswa kutibiwa kwa hadhi na heshima.

Hitimisho

To be completely clear, a man always looking to dominate you every chance he gets; emotionally or otherwise, isn't a man you should be with. Anyone who loves you would never be looking to dim you in any way. They'd be doing the opposite instead. And if you find yourself with a dominating partner, don't hesitate to seek help. 

Ili kuwa wazi zaidi,

Soma pia: Mum Of 8 Slapped To Death And Signs Of An Abusive Relationship

Makala haya yaliandikwa kwa mara ya kwanza na Ayeesha kisha yaka tafsiriwa na Risper Nyakio.

Written by

Risper Nyakio