Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Jaribu Njia Hizi Bunifu Za Kuhimiza Watoto Kunywa Maziwa Kwa Urahisi

3 min read
Jaribu Njia Hizi Bunifu Za Kuhimiza Watoto Kunywa Maziwa Kwa UrahisiJaribu Njia Hizi Bunifu Za Kuhimiza Watoto Kunywa Maziwa Kwa Urahisi

Maziwa ni muhimu sana kwenye afya ya mtoto wako, na huenda ikawa vigumu kumfanya anywe. Tazama jinsi ya kuhimiza watoto kunywa maziwa!

Wazazi, mnafahamu kuwa maziwa ni sehemu muhimu katika lishe ya mtoto wako. Kwa hivyo, endelea kusoma ujue kwa nini wanahitaji maziwa na njia bunifu za kuhimiza watoto kunywa na kupenda maziwa.

Kuna faida nyingi za kumpa mtoto wako maziwa freshi. Lakini, unafanya nini ikiwa mtoto wako hapendi ladha ya maziwa? Sote tuna fahamu kuwa watoto mara nyingi wanaweza chagua vyakula ambavyo wanataka kula. Ila, habari njema ni kuwa unaweza tumia tabia hii kwa faida yako!

Jaribu baadhi ya vidokezo hivi rahisi bunifu vya kunywa maziwa na tuna fikiria kuwa tunaweza badilisha mtazamo wa mtoto wako kuhusu kunywa maziwa freshi.

Njia bunifu za kuhimiza watoto kunywa maziwa freshi

kuhimiza watoto kunywa maziwa

  1. Fanya kunywa maziwa kuwe jambo la kusisimua

Watoto wanapendelea kitu chochote kinacho husisha mchezo, kwa hivyo, tumia hili kwa faida yako. Jaribu kuwawekea kifaa cha kuvuta maziwa kutoka kwa chupa.

Njia nyingine ni kwa kuwawekea maziwa kwenye kikombe spesheli wanacho kipenda na ambacho kitakuwa cha kukwinyia maziwa tu. Kumbuka kufanya kunywa maziwa kuwe wakati wa kusisimua.

2. Ladha za kupendeza

Ikiwa mtoto wako mara nyingi huteta kuhusu ladha ya maziwa freshi, hili ni tatizo rahisi sana kutatua. Kuna hiari nyingi za kubadilisha ladha ya maziwa.

Mojawapo ya hiari hizi ni kununua maziwa freshi yaliyo na ladha kama vile ya krimu ama chokleti. Njia nyingine ni kusiaga matunda anayo yapenda pamoja na maziwa.

3. Waambie kuwa kunywa maziwa ni tuzo

Hii ndiyo siri ya kuwafanya watoto wako wanywe maziwa. Changanya na kitu unacho kipenda kisha wanapo fanya kitu kizuri, uwapongeze kwa kuwapatia.

4. Tengeneza mchezo

Milk for weight gain

Kuongeza kikombe cha maziwa kwenye utaratibu wa kulala wa mtoto wako huenda ikawa wakati mzuri wa kudumisha utangamano wenu. Tengeneza michezo ambayo ina husisha kunywa glasi ya maziwa freshi.

Mnaweza cheza mchezo wa kuona atakaye kuwa na kindevu kikubwa zaidi baada ya kumaliza kunywa maziwa.

5. Wapatie maziwa wanapo safiri

Nunua maziwa ya paki kisha uweke kwenye mikoba yao ili wakunywe wakati wa chamcha chao. Ikiwa hawapendi kunywa maziwa shuleni, unaweza wapatia maziwa hayo, mara tu wanapo toka shuleni. Na wakimaliza uwa pongeze kwa kuwakubalisha kutizama runinga.

Faida 5 za kunywa maziwa freshi:

  • Kalisi na vitamini D zinazo patikana kwenye maziwa freshi ni muhimu katika kujenga mifupa yenye nguvu na meno na ili kuepusha kugonjeka osteoporosis baadaye.
  • Maziwa ni chanzo kizuri cha protini kujenga misuli.
  • Ni chanzo kizuri cha vitamini B12 inayo hitajika kutengeneza seli nyekundu kwenye damu zinazo beba hewa kwenye misuli, ubongo na viungo muhimu.
  • Vitamini B2 (riboflavin) zina jukumu muhimu la kufanya kazi za kibiolojia na kukufanya uwe na tahadhari siku yote.
  • Maziwa yanampatia mtoto wanga kumsaidia kufanya kazi za kifizikia na kiakili.
  • Vitamini A ni nzuri kwa kuwezesha mtoto kuona vizuri, na pia kuegemeza ukuaji wa ngozi yenye afy, tishu, mifupa na meno na pia kutengeneza mfumo wa kinga wenye nguvu kuwezesha kupingana na maradhi.

Fuata njia hizi bunifu za kuhimiza watoto kunywa maziwa ili safari yenu ya kula iwe rahisi zaidi.

Soma zaidi: Mambo 6 Muhimu Mama Wote Wanapaswa Kufahamu Kabla Ya Kuwaanzishia Watoto Chakul Kigumu

 

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Feeding & Nutrition
  • /
  • Jaribu Njia Hizi Bunifu Za Kuhimiza Watoto Kunywa Maziwa Kwa Urahisi
Share:
  • Mbadala Bora Wa Maziwa Na Wenye Afya Kwa Watoto Wachanga

    Mbadala Bora Wa Maziwa Na Wenye Afya Kwa Watoto Wachanga

  • Sababu Kwa Nini Mtoto Wako Huenda Akanyongwa Anapo Nyonya

    Sababu Kwa Nini Mtoto Wako Huenda Akanyongwa Anapo Nyonya

  • Siri 5 Kuu Za Kuongeza Maziwa Ya Mama Kwa Mama Anaye Nyonyesha

    Siri 5 Kuu Za Kuongeza Maziwa Ya Mama Kwa Mama Anaye Nyonyesha

  • Vitu Muhimu Vya Kujua Unapo Nunua Maziwa Ya Formula Ya Mtoto

    Vitu Muhimu Vya Kujua Unapo Nunua Maziwa Ya Formula Ya Mtoto

  • Mbadala Bora Wa Maziwa Na Wenye Afya Kwa Watoto Wachanga

    Mbadala Bora Wa Maziwa Na Wenye Afya Kwa Watoto Wachanga

  • Sababu Kwa Nini Mtoto Wako Huenda Akanyongwa Anapo Nyonya

    Sababu Kwa Nini Mtoto Wako Huenda Akanyongwa Anapo Nyonya

  • Siri 5 Kuu Za Kuongeza Maziwa Ya Mama Kwa Mama Anaye Nyonyesha

    Siri 5 Kuu Za Kuongeza Maziwa Ya Mama Kwa Mama Anaye Nyonyesha

  • Vitu Muhimu Vya Kujua Unapo Nunua Maziwa Ya Formula Ya Mtoto

    Vitu Muhimu Vya Kujua Unapo Nunua Maziwa Ya Formula Ya Mtoto

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2022 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it