Je, ni Rahisi Kujifungua Baada ya Kuharibika kwa Tumbo?

Je, ni Rahisi Kujifungua Baada ya Kuharibika kwa Tumbo?

Kuna imani nyingi kuhusu urahisi wa kujifungua kwa mama aliye shuhudia kuharibika kwa tumbo. Baadhi ya imani hizi si kweli. Mama huyu ataweza kujifungua kwa urahisi zaidi baada ya tukio hili.

Je, ni rahisi kwa mama kujifungua tena baada ya kuharibika kwa tumbo? Kuna hadithi kuhusu mama moja huko Nsukka aliye kuwa na kuharibika kwa tumbo. Alifaa kujifungua mtoto wake wa saba. Bwanake alimwita mkunga aje amshughulikie nyumbani kwani wakunga ndio waliojulikana zaidi. Kwa bahati mbaya, mama huyu alianza kutokwa na damu sana. Kila mtu alisimama kando yake na kumlaumu kwa kuto kuwa mwangalifu na pia kwa kupata mimba ingine kwa umri huo baada ya kujifungua mtoto wake wa sita. Hakuna aliye ona umuhimu wa kumkimbiza hospitalini.

 

Hadithi inaeleza kuwa wapiti njia walisimama kumwangalia damu nyingi ilipo bebwa kutoka chumbani alichokuwa amelala akitokwa na damu. Mkunga alipo jua kuwa kutoka kwa damu kumezidi kiwango anacho weza kushughulikia, alimshauri bwana ya mama huyu kumpeleka hospitalini. Mume huyu alikataa na kusema kuwa hakuwa na pesa za kutosha kumpeleka bibi yake hospitalini. Pia alisema kuwa bibi yake alijifungua watoto wao wengine nyumbani peke yake bila usaidizi kutoka kwa yeyote yule. Kwa hivyo hakuona jambo la dharura. Wakati alipo ona haja ya kumpeleka bibi yake hospitalini, alikuwa asha aga dunia kufuatia kupoteza damu nyingi. Kwa mazishi yake, Umuada- wamama wengine walio kuwa mameoleka kijijini- walikataa kula kwani walimlaumu bwana kwa kifo cha mkewe.

Katika hadithi hii ya kuhuzunisha, swali la je, ni rahisi kupata mimba baada ya kuharibika kwa tumbo halikua la muhimu kwani mama alikuwa asha aga dunia.

Mbona Kuharibika kwa tumbo hukuwa na tenga kubwa hivyo ilhali ni ugonjwa kama magonjwa mengine? Wakati mwingi, kuharibika kwa tumbo si lawama ya mama.

 

Hizi ni baadhi ya ukweli na hadithi zisizo kuwa kweli kuhusu kuharibika kwa tumbo

Alifaa kujifungua mtoto wake wa saba.

Uongo: Kuharibika kwa tumbo kunatokana mapepo ya kiroho. Mwanamke anapo shuhudiwa Kuharibika kwa tumbo, ana laumiwa kuwa mganga ama kuwa na bwana wa kiroho ambaye mama anamtumia watoto wake. Kwa hadithi ya mama aliye aga dunia, jambo la kuwa na mume wa kiroho halikua kwani alikuwa na watoto wengine waliokuwa hai. Kuna uwezekano alikuwa amejishughulisha na waganga walio mtoa mtoto wake mchanga kama sadaka ili akubalike. Ama pia ma adui wake walimtupia mapepo.

 

Haki: wana wake wenye umri mzee wako katika hatari ya kupata uharibifu wa tumbo. Japo mama anapo zeeka zaidi, ako katika hatari ya kupata tukio hili. Kwa hivyo kuharibika kwa tumbo ni hatari ya wamama wanao kusudia kujifungua katika umri mzee.

 

Uongo: watoto wa Ogbanje wanaleta bahati mbaya na kuchangia tukio la Kuharibika kwa tumbo. Mwanamke anapo shuhudia kuharibika kwa tumbo, analaumiwa kuwa na watoto wakarimu wa Ogbanje. Ogbanje ni watoto wanao semekana kuwa na pepo mbaya wanao kuja kuwa tatiza mama zao na furaha ya watoto ila kwa wao kukufa wakiwa wachanga. Watoto wa Ogbanje hawakomai. Kwa hivyo mama anapo shuhudiwa kuharibika kwa tumbo mara baada ya nyingine, imani iliyoko ni kuwa watoto wa ogbanje ni wakarimu kiwango cha kuto mruhusu kutatizika bure na kupata uchungu wa uzazi bure.

 

Ukweli: kuwa na muda mrefu kati ya kushuhudia kuharibika kwa tumbo mara baada ya nyingine. Kliniki ya Mayo inashauri kuwa mwanamke anapo pata mtoto, anapaswa kuukubalisha mwili wake kupona kabla ya kupata mtoto mwingine. Jambo hili pia ni muhimu kwa mama aliye shuhudia kuharibika kwa tumbo. Kama ulishuhudia kuharibika kwa tumbo haimaanisha kuwa hautapata mtoto aliye komaa kwa hivyo usiwe na pupa. Hii ni kweli kama unataka kufahamu ama unaweza pata mtoto baada ya kupata uharibifu wa tumbo.

 

Uongo: Mama waja wazito hawapaswi kutembea sana. Ni baina kuwa mawazo mengi- ya kimwili ama kihisia- yanaweza sababisha mama kumpoteza mtoto mchanga. Kwa hivyo mama mja mzito hafai kukaribia mahali pa mazoezi ama kuji husisha na mazoezi ya aina yeyote ile.

 

Ukweli: ni kweli kuwa fikira nyingi zina weza changia katika kupoteza mtoto mchanga kufuatia shinikizo la damu. Ambalo lina weka maisha ya mama na mtoto hatarini. Ila ni mazoezi mengi ambayo yata changia katika jambo hili. Mazoezi ya kila siku hayana hatari kwa mama ama mtoto. Bali wana wake waja wazito wana shauriwa kufanya mazoezi mara kwa mara baada ya kuchukua maagizo yanayo stahili kutoka kwa daktari. Wakati wa uja uzito, kuna mengi wanayo endelea mwilini. Kwa hivyo kama unataka kufanya mazoezi wakati huu, chukua ushauri wa daktari wako.

 

Uongo: Usili liongelee jambo la kuharibika kwa tumbo. Katika sehemu za ndani za nchi, kupoteza mtoto ni miiko. Haupaswi kuliongelelea jambo hili usi dharauliwe.

 

Ukweli: ni muhimu kuongelelea tatizo lako la Kuharibika kwa tumbo. Kwani utawafaidi wengine kwa kuwapa moyo na nguvu. Na hutapitia majonzi haya peke yako. Kuongeza ni njia ya uponaji. Inasaidia kuongea na wengine kuhusu uchungu unao pitia.

Kama ulimpotezea mwanao nyumbani, ni muhimu kuli sajili tukio hilo hospitalini. Wata fanya vipimo vitakavyo sababisha tukio hili tena. Kwa yote unayo yafahamu, linaweza kuwa jambo sugu la kiafya. Kama una wasi wasi iwapo kupata mimba inawezekana baada ya kupoteza mtoto, kupata mimba ingine inawezekana.

 

Uongo: Usihuzunike kuhusu maziwa yaliyo mwagika kwani hayazoleki. Wa mama hawa kubalishwi kupitia tanzia baada ya kumpoteza mtoto kwani ni ishara kutoka kwa Mungu kuwa mtoto angeishi maisha mafupi. Kwa hivyo badala ya kufa katika umri mdogo, mwache mtoto aache kutatiza mamake na uchungu wa kujifungua na kuaga punde baada ya kuzaliwa.

 

Ukweli: Kuharibika kwa tumbo ni hali ya kimatibabu na ni sawa kuhuzunika. Kwa bahati mzuri, mtoto atapata usaidizi kutoka kwa wapendwa watakao kuja pamoja na kumpa moyo. Kama bado unashangaa iwapo ni rahisi kupata mimba baada ya kupoteza mtoto, jua kuwa matumaini yote hayaja isha. Kliniki ya Mayo inasema kuwa si rahisi wana wake kushuhudia Kuharibika kwa tumbo mara ya pili. Asilimia 1 peke yake ya wanawake ndio wanao semekana kupata tukio hili mara ya pili na ya tatu. Wana wake wengi wana tunga mimba na kupata watoto walio komaa. Je ni rahisi kwa mama kujifungua baada ya kushuhudia kuharibika kwa tumbo? Jibu ni ndio!

Read Also: Recurrent Miscarriage: Causes And Treatment

 

Written by

Risper Nyakio