Africaparent Logo
Africaparent Logo
EnglishSwahili
  • COVID-19
  • Becoming a Mama
  • Ages & Stages
  • Parenting
  • Health
  • Feeding & Nutrition

Jinsi Ya Kuongeza Nafasi Zako Za Kujifungua Msichana Mrembo

3 min read
Jinsi Ya Kuongeza Nafasi Zako Za Kujifungua Msichana MremboJinsi Ya Kuongeza Nafasi Zako Za Kujifungua Msichana Mrembo

Lishe ni muhimu sana katika kutimiza lengo lako la kujifungua msichana mrembo. Hakikisha kuwa lishe yako ina viwango vingi vya matunda na mboga za kijani.

Je, unatamani kujifungua msichana mrembo? Ama una wa kiume tayari na ungependa kusawasisha nambari ya watoto wa kike na wakiume ulio nao. Ama huenda ikawa ungependa mtoto wako wa kwanza awe msichana. Kuna imani nyingi zinazo zingira nafasi zako za kupata mtoto msichana na mvulana.

Ila, kulingana na biolojia, nafasi za mwanamke kujifungua mtoto wa kike na wa kiume huwa sawa. Hata kama kuna baadhi ya wanandoa ambao hupata watoto wa kiume tu, huku wengine wakipata watoto wa kike watupu. Kinacho changia pakuu ni chromosome inayo achiliwa na mwanamme. Kwa hivyo mama, koma kujilaumu unapo jifungua jinsia ya mtoto usiye tarajia.

Vidokezo Muhimu Vya Kujifungua Msichana Mrembo

kujifungua msichana mrembo

  • Kula vyakula vinavyo egemeza uke wako kuwa na asidi, kama vile mboga za kijani, nafaka nzima, nyama, switi, mahindi na blueberries
  • Unaweza nunua kipimo cha alkaline cha kudhibitisha pH ya uke wako
  • Epuka kufanya ngono kwa mitindo tofauti, na uzingatie mtindo wa missionary ambapo mwanamke ako chini na mwanamme juu yake
  • Zingatia chati yako ya ovulation ama kupevuka kwa yai ili ujue kipindi unacho kuwa na rutuba zaidi
  • Fanya ngono kila siku kutoka siku unapo maliza kipindi chako cha hedhi hadi angalau siku mbili kabla ya kupevuka kwa yai lako

Wakati wa kufanya ngono

Ili kuongeza nafasi zako za kujifungua mtoto wa kike, punguza nafasi zako za kujifungua mtoto wa kiume. Unaweza fanya hivi kwa kuwa makini na wakati mnao fanya ngono. Kufanya mapenzi kwa wingi kuna ongeza nafasi zenu za kupata mtoto. Wakati ni muhimu sana, hakikisha kuwa mna fanya mapenzi hadi siku mbili ama nne kabla ya kupevuka kwa yai. Fanyeni mapenzi vya kutosha kabla ya siku ya mwanamke ku ovulate ili kuboresha nafasi zenu za kujifungua msichana mrembo.

Epuka kufanya mapenzi unapo ovulate ama baada ya hapo. Kufanya mapenzi baada ya ku ovulate hakuegemezi chromosome X inayo tengeneza mtoto wa kike kwani ina songa kwa upole ikilinganishwa na ya Y inayo tengeneza mtoto wa kiume.

Kufanya mapenzi unapo ovulate kuna ongeza nafasi zako za kujifungua msichana kwani kamasi inayo achiliwa kutoka kwa uke wako wakati huo huwa na asidi. Na hivyo kuongeza uwezekano wa kupata mtoto wa kike.

Lishe

kujifungua msichana mrembo

Kumbuka pia kuwa lishe ni muhimu sana katika kutimiza lengo lako la kujifungua msichana mrembo. Hakikisha kuwa lishe yako ina viwango vingi vya matunda na mboga za kijani. Ongeza nafaka nzima kama vile mchele na mkate, nyama, chokleti, keki, switi na blueberries. Vyakula vyenye viwango vingi vya magnesium kama samaki na uepuke kula njugu, hasa almonds.

Chanzo: Webmd

Soma Pia: Kujifungua Njia Ya Kawaida Ama Kupitia Upasuaji: Gani Ni Chungu Zaidi?

Got a parenting concern? Read articles or ask away and get instant answers on our app. Download theAsianparent Community on iOS or Android now!

img
Written by

Risper Nyakio

  • Home
  • /
  • Trying To Conceive
  • /
  • Jinsi Ya Kuongeza Nafasi Zako Za Kujifungua Msichana Mrembo
Share:
  • Jinsi Ya Kujifungua Mtoto Mrembo! Vyakula Hivi Vitakusaidia

    Jinsi Ya Kujifungua Mtoto Mrembo! Vyakula Hivi Vitakusaidia

  • Siri Ya Kupata Mtoto Mrembo: Mambo Muhimu Ya Kufanya!

    Siri Ya Kupata Mtoto Mrembo: Mambo Muhimu Ya Kufanya!

  • Vidokezo Vya Jinsi Ya Kupata Mtoto Mrembo Na Mwenye Busara

    Vidokezo Vya Jinsi Ya Kupata Mtoto Mrembo Na Mwenye Busara

  • Jinsi Ya Kuongeza Nafasi Zako Za Kutunga Mimba

    Jinsi Ya Kuongeza Nafasi Zako Za Kutunga Mimba

  • Jinsi Ya Kujifungua Mtoto Mrembo! Vyakula Hivi Vitakusaidia

    Jinsi Ya Kujifungua Mtoto Mrembo! Vyakula Hivi Vitakusaidia

  • Siri Ya Kupata Mtoto Mrembo: Mambo Muhimu Ya Kufanya!

    Siri Ya Kupata Mtoto Mrembo: Mambo Muhimu Ya Kufanya!

  • Vidokezo Vya Jinsi Ya Kupata Mtoto Mrembo Na Mwenye Busara

    Vidokezo Vya Jinsi Ya Kupata Mtoto Mrembo Na Mwenye Busara

  • Jinsi Ya Kuongeza Nafasi Zako Za Kutunga Mimba

    Jinsi Ya Kuongeza Nafasi Zako Za Kutunga Mimba

Get advice on your pregnancy and growing baby. Sign up for our newsletter
  • Becoming a Mama
    • Pregnancy
    • Delivery
    • Losing a Baby
  • Ages & Stages
    • Baby
    • Toddler
    • Kids
  • Parenting
    • News
    • Relationship & Sex
    • Parent's Guide
  • Health
    • Allergies & Conditions
    • Vaccinations
    • Diseases-Injuries
  • Feeding & Nutrition
    • Breastfeeding & Formula
    • Latching & Concerns
    • Weaning
  • More
    • TAP Community
    • Advertise With Us
    • Contact Us
    • Become a Contributor


  • Singapore flag Singapore
  • Thailand flag Thailand
  • Indonesia flag Indonesia
  • Philippines flag Philippines
  • Malaysia flag Malaysia
  • Sri-Lanka flag Sri Lanka
  • India flag India
  • Vietnam flag Vietnam
  • Australia flag Australia
  • Japan flag Japan
  • Nigeria flag Nigeria
  • Kenya flag Kenya
© Copyright Africaparent.com 2023 Tickled Media Pte Ltd. All rights reserved
About Us|Team|Privacy Policy|Terms of Use |Sitemap HTML

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it

We use cookies to ensure you get the best experience. Learn MoreOk, Got it