Siri Kwa Kulea Mtoto Mwenye Furaha

Siri Kwa Kulea Mtoto Mwenye Furaha

Ni muhimu ku tambua juhudi za watoto katika mambo wanayo fuzu na pia katika vitu vinavyo wahamasisha kufanya kazi na kutia bidii.

Siku maisha yanakaa maandishi. Mipango imefanywa, darasa zina hudhuriwa. Miradi ya sanaa ina kusudiwa kuiga zinazo patikana kwenye mtandao wa pinterest. Siku za kucheza bure na kutengeneza kitu kutumia ubunifu wako zimepitwa na wakati. Watoto wengi leo wana fuata maandishi fulani. Wazazi wanasema wanataka mambo mengi kwa watoto wao, lakini kitu kikuu, wanataka wawe na furaha. Kwa hivyo, nini humfanya mtoto awe na furaha?

Kati ya vitu vya kifedha na mahusiano?

kumlea mtoto mwenye furaha

Watoto katika somo la mwaka wa 2009 huko Queensland, wali ulizwa waorodheshe vitu vilivyo wafanya wawe na furaha. Sio jambo la kushangaza kuwa kulikuwa na vitu vya kifedha kwenye orodha hizi. Sio jambo linalo wafurahisha baadhi ya wazazi, kwani huenda wakawa na shaka kuwa hawana fedha za kuwa nunulia vitu hivi. Habari njema ni kuwa, watoto wengine walio orodhesha watu, wanyama wa nyumbani, mambo wanayo penda kufanya, michezo na mambo mengine kama vitu vinavyo wafanya kuwa na furaha.

Vitu vya kifedha huenda vikawa muhimu kwa watoto, ila sio vitu muhimu zaidi kwa watoto katika somo hili. Walipo ulizwa wachague kati ya vitu vya kifedha na vinginevyo, mshindi hakuwa vitu vya kifedha, watoto walipendelea watu na wanyama wa nyumbani. Kwa hivyo wazazi watafuzu kivipi kumlea mtoto mwenye furaha?

Jinsi ya kumlea mtoto mwenye furaha

kumlea mtoto mwenye furaha

Kwanza, baadhi ya sehemu za furaha ya mwanao zitalingana na vitu anavyo penda. Hakuna jambo moja sawa la mbinu ya ulezi. Lakini ukimsikiza mwanao, hauta noa. Pia, vidokezo vifuatavyo vitamsaidia mwanao pakubwa. Baada ya muda, utaanza kuona manufaa yake.

Tambua juhudi zao

Watoto husoma kwa kasi kuwa jamii ina thamini kufuzu, na wanahisi shinikizo la kufuzu katika nyanja fulani. Ni muhimu ku tambua juhudi zao katika mambo wanayo fuzu na pia katika vitu vinavyo wahamasisha kufanya kazi na kutia bidii. Tambua wanapo fuzu na pia wanapo kuwa makini kwa jambo.

  1. Kudhamini tamaduni za kifamilia

 

Siri Kwa Kulea Mtoto Mwenye Furaha

Una tengeneza jamii imara kwa mtoto wako unapo weka mambo, shughuli na matukio hasa ya kufuata. Watafiti katika Shirika la Ukuaji wa Watoto walidokeza umuhimu wa tamaduni za kifamilia kwa watoto kuwa:

  • Zina iga tabia chanya kwa watoto
  • Watoto wanapata chanya na wakati wa kueleza hisia zao
  • Kuimarisha uhusiano kati ya watu wazima na watoto
  • Watu wazima wanapata chanya cha kuangalia nyanja ambazo watoto wao wana tatizika
  • Watoto wanapata nafasi ya kuhisi wao ni muhimu na wana tunzwa

2. Kutengeneza makumbusho yenye furaha

faida za kifizikia za kuitwa baba

Watafiti wako makini kutu kumbusha kuto puuza umuhimu wa kutengeneza makumbusho yenye furaha na watoto wao. Na kuwafunza watoto kuwa watu wazima wenye furaha na wenye huruma.

Katika utafiti ulio fanyika Harvard, wana saikolojia walipata kuwa watu wazima kukumbuka makumbusho chanya wakiwa wachanga walikuwa na nafasi zaidi za kusaidia katika jambo, kutahini tabia hasi kama isiyo faa, na kupatiana pesa zaidi kwa wasio jiweza. Kwa hivyo unapo panga safari nzuri, kucheka na watoto wako ama kucheza mchezo, una tengeneza matukio ambayo yata himiza maisha mazuri, yenye mapenzi na tabia chanya kwenye maisha yao ya usoni.

3. Wapatie wakati mwingi wa kucheza

athari za watoto kwa uhusiano

Kulingana na utafiti, michezo huwapatia watoto fursa ya kusoma kwa wengine. Na kupata chanya cha kutumia ubunifu wao, kukuza uwezo wa kutangamana na wengine na kufahamu mambo wanayo yapenda.

4. Kuwa na furaha

Njia kuu ya kuhamasisha furaha kwa watoto wako ni kwa kuwa na furaha maishani mwako. Wanapata mazingira chanya ambapo wanakua kuiga watu wanao weza kujiingiza na kupiku matatizo yao. Ikiwa una tabasamu na kuwa wakati mwema, watoto wako wata kuiga.

Chanzo: Laws of Attraction

Soma PiaKuboresha Uhusiano Kati Ya Mzazi Na Mtoto: Vidokezo Muhimu Kutoka Kwa Zozibini Tunzi

Written by

Risper Nyakio