Yote Unayo Hitaji Kujua Kuhusu Kumnyonyesha Mtoto Aliyezaliwa Kabla Ya Kukomaa

Yote Unayo Hitaji Kujua Kuhusu Kumnyonyesha Mtoto Aliyezaliwa Kabla Ya Kukomaa

Maziwa ya mama yana antibodies na seli hai zinazo msaidia kukuza mfumo wa kinga wenye nguvu zaidi kwa sababu mtoto aliye zaliwa kabla ya wakati ana kinga asili.

Ikiwa wewe ni mama wa mara ya kwanza, una mengi kwenye sahani yako. Ila ikiwa mwanao alizaliwa kabla ya kukomaa, hilo litakuja na matatizo mapya. Na mojawapo ya matatizo makubwa yatakuwa kumnyonyesha mtoto aliyezaliwa kabla ya kukomaa.

Yote unayo hitajika kujua kuhusu kumnyonyesha mtoto aliyezaliwa kabla ya kukomaa

Yote Unayo Hitaji Kujua Kuhusu Kumnyonyesha Mtoto Aliyezaliwa Kabla Ya Kukomaa

Mtoto wa aina hii hutunzwa kwenye kitengo cha neo natala intensive care unit ili apate msaada wa kupoteza unyevu, kupumua, lishe na kudhibiti temprecha.

Mwendo wake asili wa mambo kama vile kunyonya, kushikilia chuchu ama kumeza na kupumua huenda kukawa hakuja komaa na kufanya kunyonyesha kuwe na matatizo mengi.

Lakini wakati ambapo kunyonyesha ni muhimu kwa watoto wote, ni muhimu zaidi kwa watoto walio zaliwa kabla ya wakati.

Kwa nini maziwa ya mama ni muhimu kwa mtoto aliye zaliwa kabla ya wakati

Maziwa yako yana chukua jukumu la placenta na kuendelea kumsaidia mtoto na ukuaji wake. Haya ni kwa sababu homoni zako kiasili hukusaidia kutoa maziwa ya mama yaliyo na virutubisho muhimu, madini, vitamini na protini ili kumsaidia mtoto.

Pia, maziwa yana viwango vya juu vya sodium, phosphorous, chloride, protini, iron, na ufuta. Zote ambazo ni muhimu kwa ukuaji mzuri wa mtoto na kusaidia na kuenda msalani.

Manufaa ya kumnyonyesha mtoto kama huyu

kumnyonyesha mtoto aliyezaliwa kabla ya kukomaa

  • Maziwa ya mama yana antibodies na seli hai zinazo msaidia kukuza mfumo wa kinga wenye nguvu zaidi kwa sababu mtoto aliye zaliwa kabla ya wakati ana kinga asili. Ako katika hatari ya kupata maambukizi ikilinganishwa na mtoto aliye zaliwa akiwa amekomaa.
  • Ni rahisi kuchakata formula na kwa sababu tayari inafanya kazi ili kuwa na kinga bora, ina saidia kuilinda gut ya mtoto.
  • Maziwa yako ya mama yana vitu vinavyo saidia na ukuaji wa ubongo sawa na mwili na mifupa

Napaswa kuanza kumnyonyesha mtoto wako lini?

Hili linaweza gawanywa katika umri ama wiki za mtoto wako mchanga.

  1. Katika wiki 28, mtoto wako mchanga anaweza shikilia chuchu anyonye kidogo kwa sababu katika wakati huu, rooting reflex yake inazidi kuwa na nguvu zaidi. Walakini, uwezo wake wa kufanya vitu pamoja hauja komaa na kunyonyesha huenda kukatatiza bado
  2. Kati ya wiki 30 na 32, mtoto wako ataweza kumeza maziwa kutoka kwa chuchu zako. Pia, uwezo wake wa kupumua utakua ume imarika
  3. Katika wiki ya 34, mtoto wako ataweza kunyonya sawa na watoto wengine wa kuzaliwa. Uwezo wa kufanya mambo pamoja utakuwa ume imarika pia na ataweza kushikilia pumzi yake anapo nyonya na kumeza maziwa

Soma Pia:Ushauri Kutoka Kwa Wataalum Kuhusu Jinsi Ya Kunyonyesha Mtoto Mchanga!

Written by

Risper Nyakio